Elections 2015 Lowassa afunika Dakawa, ni akiwa njiani kwenda Dodoma

Mungu aendelee kumlinda our next president 2020[/QUOTE]

Kama mlishindwa 2015 msitegemee tena kuchukua madaraka forever
 
Hivi lowasa ni mashoto ule mkono wa kulia mbona huwa hautumiiu sana kuzungusha anazungusha mkono kushoto akipungia akisema si mapenzi ni mahaba ni kushoto
 
Hivi Lowasa anawapa mafunzo gani?
 
Hahaha nyumbu bwana imekuwa 2020 tena ?!?!


Baadae itakuwa 2050
 
Ukiwa na filosofa wenye akili kama yako, ambao mipasho ndoo hudhani ni akili ujue Taifa limefikia kikomo kufikiri
 
lowassa gembe weng walijua atahama chama
 
habari yake ina impact gani kwa nchi. hao wamasai wenzake hata akiamua akale nao chumba kimoja mwaka mzima sawa tu. haina relation na maendeleo ya wananchi na taifa. angepiga kimya kimya tu.
habari kuu ni kwamba anaenda kusimamia chama chake na kuwapa semina elekezi wabunge wake watambue kuwa yeye ndie mmiliki halali sasa wa chama. hakuna mwingine labda. mtake msitake.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Lowassa bado anapendwa sana na watanzania wengi. Hekima, Busara, Maarifa na Uvumilivu ndio silaha yake kubwa ya mafanikio.
Hakuna namna unaweza ukazuia nyota yake ya kisiasa ising'ae, yupo bado mioyoni mwa Watanzania wengi.
 

A spent force!
 
Our next president ya lini? IKULU NI MAHALI PATAKATIFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…