Elections 2015 Lowassa afunika Dakawa, ni akiwa njiani kwenda Dodoma

Mbona kwenye majukwaa ya kampeni zake alikuwa anasisitiza watu wajitahidi kuiondoa CCM uchaguzi huu kwani ikishindikana haitawezekana labda baada ya miaka hamsini mingine,akitaka kuwa next pres.agombee baada ya miaka hamsini.
 

Kabisa. Lakini kama mwanaume kweli aende chato
 
Duuh next presida kwan uchaguzi ni mwezi gani??
 
Kumbe walikuwa wamasai wenzie wanaosumbua wakulima, huyu jamaa anapenda sifa sana ila zama zake zimeisha
 
baadhi ya watz wananisikitisha sana kwa kutaka el awe rais wa nchi hii. napata shaka kama wanaelewa siasa za nchi ya kwa miaka 10 iliyopita. napata shaka kama kweli wanaielewa ccm.
kwa kifupi sana maana sina muda, uozo unaoibuliwa nchini ulitokana na ccm kutoisimamia serikali yake. ccm hiyo dhaifu ilikuwa imehodhiwa na wanamtandao. wanamtandao walijipanga kwa muda mrefu sana bosi wao awe rais 2015 lakini alipigwa kumbo ndani ya chama chake. akakimbilia cdm, akagombea urais, watz wakamtosa. wakampa jpm urais ambae hakuwahi kuwa mwanamtandao,
sasa jpm anapoufumua MFUMO
wa wanamtandao uliohujumu nchi yetu, bado kuna watz wanawaza bosi wa wanamtandao aje kuwa rais, lohh!! hawa wenzetu kichwani wapo sawasawa kweli? ni kina nani hawa? au ni wale waliokuwa wakipiga pedeli hewani mbele nyuma huku
wakimwimba kuwa yeye ndo mabadiliko? kama ndo hao, watz tusiwaruhusu kutimiza azma yao kwa kura zetu 2020.
watz tuseme hapana kwa wanamtandao daima. wametutesa na kutuibia sana. ni enzi ya kizazi kipya na tumeanza na jpm.
 
To do what in

To do what in Dodoma? He is no longer an MP and in Chadema he is just a member! He promised to go back to his livestock if he fails to be president. Au ana mifugo huko Dodoma?
 
Tumefarijika sana kumuona rais wetu wa ukweli, mungu ambariki awe na maisha marefu
 
Kwani wamasai hawatakiwi kuwa DAKAWA...Hivi mashabiki wa CCM mtaacha lini fikra za Kibaguzi?? unataka kuwaamisha watu kuwa Lowasa alichaguliwa/anapendwa na wamasai tu?
Mkuu yaani mijitu kama hiyo nafasi yao kwa mungu ni motoni maana ubaguz ubaguzi
 
Huyo ndiye rais wetu tu
 
Huyo idawa ni guberi linaloshinda kona bar usiku na mchana kutafuta mkate wa kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…