Elections 2015 Lowassa afunika Dakawa, ni akiwa njiani kwenda Dodoma

Naikumbuka sana mwaka Jana baada ya kuzidiwa alianza kupiga vyombo kwenye suruali, Watu waliambulia nzi tu. Huyu mzee kashampola mbowe Chama
Akili yako inaendelea kupukutika bila kujijua sababu ya kutumikishwa sana hapo lumumba
 
Dakawa wamasai wa kumwaga!
Mimi natoka Iringa lakini kinachonisikitisha ni kuona comment zenye mwelekeo wa kikabila zikishika kasi.Sijui nchi hii miaka ijayo itakuwaje.Uchaguzi uliopita niliwasikia watu fulani mahala fulani kuwa wangempigia kura za urais mgombea fulani kwa kuwa ni anatoka kabila lao.Hapo mahala hadi leo huwa sipiti tena kupata yale maji yetu ya Ilala.Nikikumbuka hoja ile huwa narukwa akili.Ila tu huwa sifikirii kujinyonga.
 
HUJUI KAMA LOWASSA ANAPENDWA? BASI UTAKUWA NA TATIZO LA UELEWA HALAFU MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUSEMA LOWASSA HANA LOLOTE HUYO ATAKUWA NA TATIZO LA AKILI TU...LOWASSA NI LOLOTE KWA TANZANIA NA WATU MAMILIONI YANAMUHESHIMU SANA
 
wew ni mtu m1,..huna effect,..
lowassa anapendwa na majority wenye weledi wao,...
co na kna nyie 0-mind
 
Nyumbu ni ccm ambao Nchi haina maendeleo lakini wameishi kwa matumaini kuwa ipo siku Mungu atashusha muujiza CCM watazinduka na maendeleo kuja kwa kasi .
 
Ukisikia anakuja mgeni,oga,fanya usafi wa nguo na mwili
 
Nyumbu ni ccm ambao Nchi haina maendeleo lakini wameishi kwa matumaini kuwa ipo siku Mungu atashusha muujiza CCM watazinduka na maendeleo kuja kwa kasi .
Kweli kabisa mkuu ma ccm ni sawa na walevi wa gongo wanakunywa kumeza lazima wafumbe macho,ni sawa na ccm wanalalamika maisha magumu lkn bado wanaendelea kulibeba hilo lichama lao
 
Lowasa ashukuru sana busara za JPM na CCM maana ingekuwa ni nchi ingine hali isingekuwa hivyo.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Mbona unaonekana dhairi kakushika pabaya?Hahaha Maana hilo povu umetoa hapo mwanaume hata kufika hajafika,Je akifika Dodoma si utalia wenyeeee
Dodoma ukawa hawana jimbo, kumbuka hilo!
 
Jamaa anataka kushindana na Magufuli kumeki headline. ..!
Huyu mzee anavyo vituko balaa...ati anashindana na rais magufuli tehteh...jamani mwambieni akafuge ng'ombe wake na wajukuu zake siasa aachane nazo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…