Tetesi: Lowassa alijimilikisha hisa za Vodacom na Alphatel kinyume cha sheria?

Alinunua hisa 35% katoka kwa yule bwana wa bot Ila mwenye data anaweza kuweka
 
Ujulishwe nini wakati wewe unajuwa kila kitu kilichobaki peleka hiyo taarifa yako takukuru I'll hatua unazozitaka zichukuliwe na hasa ukitilia maanani Mahakama ya uhujumu uchumi mmekwisha anzisha .
ndio nakusanya ushahidi hapa niupeleke TAKUKURU.....kwani wewe unaelewa nini kuhusu lowasa kujimilikisha Vodacom?
 
Wana siasa wa Tanzania wanakera mno. Kuna wengine ni wezi wa kama wezi wa mifukoni?
 
Ujue mtoa mada kwa nafasi yako ya "Presidential appointee" hupaswi kuleta vitu cheap kiasi hiki! ni wivu huo huo kwa EL uliomfanya m/kiti mstaafu kumuonea wivu kisa alikua anaingiza $400000 per day ndio yeye akaja na "viettel" ..acheni ufyolo..
Kwa rais huyu anayewateua watu kuwa mawaziri halafu anawaita wapumbavu yeye mwenyewe, presidential appointee siku hizi si deal.

Hata mpumbavu anaweza kuwa presidential appointee.
 
tanzania ndio nchi ni miongoni mwa nchi chache ambazo wanasiasa wanatajirika na kuwa mabilionea kupitia siasa
 
Alinunua hisa 35% katoka kwa yule bwana wa bot Ila mwenye data anaweza kuweka
Alinunua sehemu ya hisa kutoka kwa Peter Noni wa Planetel ndiyo akafikisha 35%. Rostam alikuwa smart, aliona mbali akijua Vodacom itakuwa ndiyo maana akazinunua mapema.
 
Mleta Uzi inaonekana hana hoja na mashiko. Wapelekwe kina change,ngeleja,Tibaijuka kwanza alafu Sizonje kwa skendo ya kujiizia nyumba za serikali
 
jibu swali Alphatel inamilikiwa na nani?
Kwani mkuu wewe hoja ipi hasa?
Vodacom kampuni binafsi, wanahisa wanajulikana na hakukuwahi kutokea malalamiko kuwa kuna Mtu kadhulimiwa hisa zake! In-fact hisa nyingi zinamilikiwa na Watu wa nje.

Pili kama nilivyoeleza Alphatel ni super dealer tu wa Vodacom na si mwanahisa Vodacom. Tatizo liko wapi?

Tatizo jingine la Watanzania ni kumtukana anayeleta mada badala ya kumjibu kwa hoja.

Ndio maana Mtu yeyote anaweza kuleta mada akiwa anajua ya uongo na Watu wakawa wanamjibu kwa hoja kwa matusi badala ya kumuelewesha tu!
 
Ujue mtoa mada kwa nafasi yako ya "Presidential appointee" hupaswi kuleta vitu cheap kiasi hiki! ni wivu huo huo kwa EL uliomfanya m/kiti mstaafu kumuonea wivu kisa alikua anaingiza $400000 per day ndio yeye akaja na "viettel" ..acheni ufyolo..
Mkuu huyu kapuku unmpa cheo kikubwa hivyoo?
Presidental appointee anafanya nn JF 24hrs?
 
Nilifungua uzi fasta nikijua nitakuta mi-evidence kumbe tantalila tu....
 
huku mitaani watanzania wengi wanajua kila simu unayopiga ya vodacom kuna pesa inaingia kwa Lowasa......hata AIRTEL ni kampuni binafsi mkuu
 
Hi habari mbaya kwa kivuruge sasa,
 
Waulize wamiliki.
Kwani wewe mfanyabiashara flani akikupa tenda tutajua ulipataje. Kama Vodacom ingekuwa wakati huo ni PLC tungehoji!
Vodacom kuna ufisadi ulifanywa sana mpaka mkurugenzi wake bwana Reeza akakimbia nchi na ulihusisha Alphatel.....Vodacom watanzania tuna hisa zetu huko lazima tuhoji
 
Ujinga mkubwa! Vodacom ni kampuni ya serikali tangu lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…