Mbona swali la kiaina sana hili...Alphatel ilipataje mkataba wa kugawa vocha Vodacom?
Kwa hiyo voda nayo imeokotwa!?Wana Jf.
Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Hivi ni watanzania (wachache) wana his a zao huko?Watanzania tuna hisa zetu tunazimiliki huko lazima tuhoji
Angalia usiingize siasa usije ukakataliwa kama wa nassari dhidi ya mnyetindio nakusanya ushahidi hapa niupeleke TAKUKURU.....kwani wewe unaelewa nini kuhusu lowasa kujimilikisha Vodacom?
Wana Jf.
Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Mnataka kumuundia zengwe tu mzee wa watu ili naye akanyage pale Kisutu. Maana ndiyo zenu ccm kuwasumbua watu.
Tangu muanze kuibua tuhuma nzito za uhujumu uchumi na ufisadi ni nani amefungwa?? Wooote wanashinda. Mnakurupuka mno.
Alphatel inamilikiwa na nani?Kumbe huna lolote unalojua bali kuwashwa washwa tu...na wala huelewi kuwa Alphatel si wamiliki wa hisa Vodacom bali ni wakala tu, stupid
sio umbea mkuu tunainyoosha nchi ....Hii nchi hapa ilipo ni pabaya kuliko kabla ya uhuru!! Unafiki na majungu ndo tunu tumeamua kujivika kama falsafa yetu kuelekea nchi ya viwanda! Nchi imekosa dira, na wameamua kufanyia kazi mambo ya umbea tu. Imagine raisi anasema kuna dola bil moja zimekamtwa, kumbe ni mil moja tu. Na watz wengi wanapenda umbea kama mleta mada! Kulikua na haja gani kuleta hii mada na huna lolote unalolijua? Na je unatofauti gani na mwananmke anaecha kazi zake na kuanza kuzunguka nyumba za watu akisaka umbea?
Tuanzie hapa mkuu. Hisa kwa viettel zikoje aise? Na nani wabia? Naona safari hii tutafika salama maana tumepanda gari...Ujue mtoa mada kwa nafasi yako ya "Presidential appointee" hupaswi kuleta vitu cheap kiasi hiki! ni wivu huo huo kwa EL uliomfanya m/kiti mstaafu kumuonea wivu kisa alikua anaingiza $400000 per day ndio yeye akaja na "viettel" ..acheni ufyolo..
hilo swali ungemuuliza Lowasa pesa za kumiliki vodacom amepata wapiSawa
Hakuna aliekataa tuonyeshe huo wizi wa Lowassa!!vijana wa Lumumba mmebakiza akili za kwendea msalani tu ndagu ya magufuli imewakamata vilivyo
Kuwa mwanaccm inahitaji uwe mlemavu wa akili kiasi.
Hahahahaha mpaka uote mkiaMi naona ni kinyume chake! Leo unaambiwa fisadi, yupo katika list of shame, kesho mgombea urais. Leo Nyalandu mwizi, kesho shujaa, Jana Nape takataka Leo eti shujaa. Upinzani eti una vichwa, wakija kutoka ccm ndio wanakuwa wagombea na kushika hatamu. Upinzani kuna wasomi, lakini hawafahamu kuwa chairman mtuhuru hats kidato cha nne hajamaliza. Viongozi karibu wrote Wa upinzani waliokuwepo 2009 wamehamia CCM isipokuwa Mbowe, sasa sijui upinzani wana uhakika gani waliopo sasa hawatahama. Chama kimoja kimeondokewa na Makamu Mwenyekiti, Katibu mkuu, Naibu katibu mkuu, viongozi Wa nazfa zote za juu katika vijana wamejiuzulu madiwani wabunge wamejiuza, wenye akili hawana uhakika waliobaki kama hawatajiuza, wala watakaowachagua kama hawatakuwa nao madada poa lakini wamo tu, kweli unahitajika uchizi uwaamini wapinzani Wa aina hii
Ni kampuni ya sirikali au binafsi?As long as i know inamilikiwa na Lowassa family
Kwani Vodacom nao wanahusika na ttcl?Wana Jf.
Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Yaani wewe ni hovyo kweli! Wewe ndiye umeleta mada halafu unasema mwenye taarifa zaidi atoe. Kama mtu angekuwa nayo si angeshaandika. Tulia utafiti upate ukweli au taarifa za kitosha halafu ndiyo utupe hapa. Au ndiyo majungu yamekuwa mtaji siku hizi?Wana Jf.
Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Sasa kama hata Masamaki aliwashinda, hilo jini lenu lilotoroka kwenye chupa za Lumumba mtaliweza?Akifikishwa court hiyo msije sema kaonewa kwa kua ni mchezaji wenu