msemaji wake(mbatia)alikuwa wapi? Sasa umefuka wakati afatane na lowassa kila sehemu, mzee akae pembeni na mpambe ndio aongee.Hatimaye mgombea urais ashindwa kuhutubia kutokana na tatizo la ugonjwa linalomkabili, inasemekana hali yake ilibadilika ghafla ikabidi waahirishe mkutano ili kupunguza aibu kwa wanachama.
We Gamba peleka utumbo wako Lumumba. ITV wameshaonyesha na tunafahamu sababu.
Asante! Mungu akibariki mpaka kizazi chako cha tatu!Magufuli alipodondoka kule KATAVI ulijikausha
mungu yupi !? maana nyie mnao watatu !Mungu ameamua kumtumia LOWASSA kuiondoa CCM, hakuna namna nyingine! LOWASSA anatosha!!!!
Huyo Mungu aliepanga unachokiunga mkono ana matatizo makubwa sana. Im just saying!
Sidhani kama tunashindana hapa Chifu....Vipi Magufuli aliposhindwa kuhutubia kule mbeya alipokwamwa na sauti ikawa haitoki alikuwa anauguwa ugonjwa gani?
Mkuu jiandae Kisaikolojia! LOWASSA ndiye president wako sasa!Sidhani kama tunashindana hapa Chifu....
As for Magufuli Mbeya nadhani ilikuwa clear kwamba alipanda jukwaani akaanza kumwaga sera...Akaongea zaidi ya dakika 20 sauti ikakwama akiwa katikati ya shughuli....Wakaendelea wengine...Na ilielezwa wazi kwamba shida iko kwenye koo kukauka...
Sasa sijui leo hali ilikuwaje...
Team mafidadi wanahangaika ili kujiokoa na jela ya Magufuli
Mapambano!!....Nina uhakika 100% kuwa LOWASSA ndiye Rais ajaye! Matokeo ya uchaguzi kinyume na haya! Bora Nchi ilipuke tu! Tuko tayari kwa mapambano!
Kwani ndugu we nani mpaka umkatae na hali wazalendo wameshaamua.
Binafsi sina shida ya Lowassa kuwa Rais....Mkuu jiandae Kisaikolojia! LOWASSA ndiye president wako sasa!
Mapambano!!....
Teh......
JF ina watu wa ajabu sana.....Yaani unaaongea as ifu umeshika akili za watanzania wapiga kura wote....
Kuanza kutoa vitisho vya aina hii ni dalili ya kushindwa.....Bahati mbaya si watanzania wote watakuunga mkono na upuuzi wako huu wa 'Bora nchi ilipuke'.......Mbaya zaidi vitisho vyenyewe unavito ukiwa anonymous....Tena nyuma ya keyboard...
Tuwe wakweli maana tuliona akijitahidi kusema lakini akashindwa.jamaa mmoja akamnong'oneza sikioni apumzike.Ndipo Lissu akatoa udhuru kiutu mzima ili wasepe.ndio sababu ni muhimu kuomba bila kukoma.Lowassa ameshindwa kusema alisahau kila akikumbushwa wapi kashindwa kusema zaidi ya ccm oyeee
Kiukweli hapa hakuna propaganda Chifu.... Kilichowekwa hapa ni kile kilichozungumzwa na Lissu na kilichotokea pale Geita....Kilichozungumzwa hapa ni ukweli mtupu...N watu wanahoji iweje vipaza sauti vibovu vitumike na Lissu kufikisha ujumbe wa kuahirissha mkutano?.....Mbona Chato vilikuwa vibovu yet Lowassa akamanage kuhutubia?....Kwa nini Geita ambapo ni makao makuu ya mkoa ashindwe hata kuwasalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza?Kwa hizi propaganda za kushtukiza,sio siri tena kuwa Lowassa amekuwa nongwa na amewazidi ccm kwa kila hali.
Nina uhakika 100% kuwa LOWASSA ndiye Rais ajaye! Matokeo ya uchaguzi kinyume na haya! Bora Nchi ilipuke tu! Tuko tayari kwa mapambano!