Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

Hatimaye mgombea urais ashindwa kuhutubia kutokana na tatizo la ugonjwa linalomkabili, inasemekana hali yake ilibadilika ghafla ikabidi waahirishe mkutano ili kupunguza aibu kwa wanachama.
msemaji wake(mbatia)alikuwa wapi? Sasa umefuka wakati afatane na lowassa kila sehemu, mzee akae pembeni na mpambe ndio aongee.
 
kweli leo lowasa kaboa sana geita tumechomwa jua tumeshinda njaa harafu anifika na kurud bila hata neno moja kwa wananchi
 
hizo ni fikra zako mkuu na ninaziheshimu kwa kutumia kipengere cha democrasia ichukue mkondo wake...kupishana kimtazamo ni muhimu katika ujenzi wa nchi...nivyema mkajiandaa kuikosoa serikali ya lowassa iliiwaboreshee maisha kuliko sasa.

Huyo Mungu aliepanga unachokiunga mkono ana matatizo makubwa sana. Im just saying!
 
Vipi Magufuli aliposhindwa kuhutubia kule mbeya alipokwamwa na sauti ikawa haitoki alikuwa anauguwa ugonjwa gani?
Sidhani kama tunashindana hapa Chifu....

As for Magufuli Mbeya nadhani ilikuwa clear kwamba alipanda jukwaani akaanza kumwaga sera...Akaongea zaidi ya dakika 20 sauti ikakwama akiwa katikati ya shughuli....Wakaendelea wengine...Na ilielezwa wazi kwamba shida iko kwenye koo kukauka...

Sasa sijui leo hali ilikuwaje...
 
Nina uhakika 100% kuwa LOWASSA ndiye Rais ajaye! Matokeo ya uchaguzi kinyume na haya! Bora Nchi ilipuke tu! Tuko tayari kwa mapambano!
 
Mkuu jiandae Kisaikolojia! LOWASSA ndiye president wako sasa!
 
Nina uhakika 100% kuwa LOWASSA ndiye Rais ajaye! Matokeo ya uchaguzi kinyume na haya! Bora Nchi ilipuke tu! Tuko tayari kwa mapambano!
Mapambano!!....

Teh......

JF ina watu wa ajabu sana.....Yaani unaaongea as if umeshika akili za watanzania wapiga kura wote....

Kuanza kutoa vitisho vya aina hii ni dalili ya kushindwa.....Bahati mbaya si watanzania wote watakuunga mkono na upuuzi wako huu wa 'Bora nchi ilipuke'.......Mbaya zaidi vitisho vyenyewe unavitoa ukiwa anonymous....Tena nyuma ya keyboard...
 
Kwa hizi propaganda za kushtukiza,sio siri tena kuwa Lowassa amekuwa nongwa na amewazidi ccm kwa kila hali.
 
Kwani ndugu we nani mpaka umkatae na hali wazalendo wameshaamua.

Kwani Wewe Ndugu Yangu Mzalendo Unamdefine Vipi?Au Mzalendo Ni Yule Aliyesema Fisadi!Fisadi!Fisadi! Nchi Nzima Ikamuelewa,Leo Hii Yule Yule Anakataa Kile Alichokisema Na Kutaka Tena Kuwaaminisha Watanzania Kitu Opposite Na Kile Alichowaaminisha?Au Mzalendo Ni Yule Aliyewajenga Watz Katika Msingi Fulani Leo Hii Yuleyule Anataka Kuubomoa?Mzalendo Ni Yupi Unayemtaja,yule Aliyewaongoza Watu Vitani Na Kushinda Vita Nyingi Dhidi Ya adui Lakini Leo Hii Anamchukua Kamanda Wa Maadui Na Kumfanya Amiri Mkuu Wa Jeshi Na Kusahau Mbinu Zote Walizotumia Kushinda Vita Zilizopita?
 
Mkuu jiandae Kisaikolojia! LOWASSA ndiye president wako sasa!
Binafsi sina shida ya Lowassa kuwa Rais....

Rais atapatikana kwa njia ya sanduku la kura....Na si kwa maneno/porojo/vitisho vya MSALANI na wenzake.....
 
Mapambano!!....

Teh......

JF ina watu wa ajabu sana.....Yaani unaaongea as ifu umeshika akili za watanzania wapiga kura wote....

Kuanza kutoa vitisho vya aina hii ni dalili ya kushindwa.....Bahati mbaya si watanzania wote watakuunga mkono na upuuzi wako huu wa 'Bora nchi ilipuke'.......Mbaya zaidi vitisho vyenyewe unavito ukiwa anonymous....Tena nyuma ya keyboard...

Kwa nini mnamuogopa Lowassa,tulieni awanyoe
 
Nimeangalia ITV. Spika ndo zilikua na shida, na lowasa pia alijaribu kuongea, spika zikazingua
 
Lowassa ameshindwa kusema alisahau kila akikumbushwa wapi kashindwa kusema zaidi ya ccm oyeee
Tuwe wakweli maana tuliona akijitahidi kusema lakini akashindwa.jamaa mmoja akamnong'oneza sikioni apumzike.Ndipo Lissu akatoa udhuru kiutu mzima ili wasepe.ndio sababu ni muhimu kuomba bila kukoma.
 
Kwa hizi propaganda za kushtukiza,sio siri tena kuwa Lowassa amekuwa nongwa na amewazidi ccm kwa kila hali.
Kiukweli hapa hakuna propaganda Chifu.... Kilichowekwa hapa ni kile kilichozungumzwa na Lissu na kilichotokea pale Geita....Kilichozungumzwa hapa ni ukweli mtupu...N watu wanahoji iweje vipaza sauti vibovu vitumike na Lissu kufikisha ujumbe wa kuahirissha mkutano?.....Mbona Chato vilikuwa vibovu yet Lowassa akamanage kuhutubia?....Kwa nini Geita ambapo ni makao makuu ya mkoa ashindwe hata kuwasalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza?
 
Nina uhakika 100% kuwa LOWASSA ndiye Rais ajaye! Matokeo ya uchaguzi kinyume na haya! Bora Nchi ilipuke tu! Tuko tayari kwa mapambano!

we ni nani mpaka utoe kauli uzitakazo?unalofikiri wewe sio wote wanafikiria the same,kama wewe unataka kupambana pambana na demu wako kitandani ukishindwa malaya wapo kibao...
 
Back
Top Bottom