Uchaguzi 2020 Lowassa: Huko kina Lissu wameanza kujipambanua kwa sera, fujofujo mpaka matv mengine yanatisha. Rais wetu usitishike

Uchaguzi 2020 Lowassa: Huko kina Lissu wameanza kujipambanua kwa sera, fujofujo mpaka matv mengine yanatisha. Rais wetu usitishike

VIPI PRESSURE YA MAJIMBONI KWA UCHAGUZI HUU NDUGU ZANGU !? NAOMBA KWA YEYOTE ANAYEWEZA KUTUPA UCHAMBUZI WA MAJIMBONI , KWA MAJIMBO YENYE WAGOMBEA , ATUTUMIE HAPA HAPA JAMII FORUM ! MOTO UMEWAKA MAJIMBONI !
 
Aliyemuelewa huyu mzee afafanue kwa kirefu alichoongea 😃😃
Nimeshindwa kumwelewa...kuna kitu ametaja kuwa Bolivia na Australia Marais wamejiuzulu sababu ya Corona...yan bado anazungumzia Corona wakati Mtu yuko hoi pacemaker imefyatuka huko Dodoma😀
 
Nimekosa cha kuandika, sijamwelewa mzee Lowassa alichosema na yupo na wasiwasi na mashaka ni kama analazimishwa aseme neno ili arudishiwe mashamba yake.
Nimekustahi mzee wetu. Pole kwa unavyopitia. Ukombozi wa kweli na kwa wote ni October 28.
 
Hakuna kitu pale , maneno meengi yaliyojaa ulalamishi na shutuma , ambayo binadamu asietumia ubongo wake vizuri, hua anavifurahia na kuona ni faraja yake dhidi ya matatizo yake binafsi , kumbe kiuhalisia siyo. # Magufuli 5 tena.
 
Fisadi? Huyu muliekua mnampigia deki barabarani? Mliyekuwa mnasema kama fisadi mbona hapelekwi mahakamani. Ndio huyu au?
Tulikuwa tunamsanifu tu. Tulijua lazima arudi nyumbani kwa mafisadi wenzake. Si unaona alivyopokelewa kwa bashasha na fisadi mwenzake pale Lumumba na dereva wake alikuwa fisadi mwandamizi RA
 
Amehutubia dakika ngapi?? Rekodi yake ya kuhutubia dakika 1 sekunde 41 bado haijavunjwA,
emoji3.png
emoji3.png
 
Amini amini nakwambia ndugu. CCM ni kambi rasmi ya upinzani bungeni 2020 - 2025
Mlimpa sifa hizi hizi Membe na Mage Kimambi lakini kilichotokea wote tulishuhudia, wabongo bana, mchana wenu usiku mna yenu. umejiandikisha??
 
Huyu mzee nae ajitahidi kuficha upumbavu wake, tangu auze ushindi wetu wa 2015 tulimpuuza asidhani bado ana nguvu za kumshawishi mtu, labda wajinga wenzake wa CCM.
 
Katika watu niliofundishwa usibishane nao ni mgonjwa na Mzee. Huyu ana vyote so tumsamehe tuuu
 
Lowassa: Mimi sina mashaka juu ya kushinda, mashaka yangu atapita kwa kura ngapi. Huko kwa kina Lissu wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo zile, wanaonekana kwenye mamitaa, matv, matv mengine yanatisha tisha lakini tulimwambia Rais wetu usitishike hata kidogo.
Hii kauli ya Lowassa bila shala wanaccm mmemwelewa.
 
Mzee jikalie nyumbani waachie wenyewe.
Hivi kuna aliyeponya korona au aliamuru hakuna kupima wala kutoa taarifa za maambukizi. Ilibidi hata waziri wa afya apumzike kwani naye alinyamazishwa.
Tutakaa nayo hivyo hivyo hofu imeondoka miongoni na sio aliponya!!
 
Huyo Lowassa apumzike apate muda wa kujiunguza,asije kudondoka barabarani
 
Mi nikikumbuka Akina Lissu walivotuletea huyu mzee kutuzungusha mikono nchi nzima 2015, halafu leo Lisu yuleyule ndo kampokea kijiti - anatuchangisha sadaka nchi nzima - Nawashangaa saana kuona bado kuna watu HAWASHTUKI tu.
 
Back
Top Bottom