Mnongane
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 260
- 364
Fisadi? Huyu muliekua mnampigia deki barabarani? Mliyekuwa mnasema kama fisadi mbona hapelekwi mahakamani. Ndio huyu au?Anashangaa fisadi anakumbatiwa na ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fisadi? Huyu muliekua mnampigia deki barabarani? Mliyekuwa mnasema kama fisadi mbona hapelekwi mahakamani. Ndio huyu au?Anashangaa fisadi anakumbatiwa na ccm
Huyu anakingia kifua mali zake. Hana namnaLowasa ni mchumia tumbo asiyeshiba wala kutosheka, yeye anelekea kule harufu ya pilau iko.
😀😀😀😀Lowasa ni mchumia tumbo asiyeshiba wala kutosheka, yeye anelekea kule harufu ya pilau iko.
[emoji38][emoji38][emoji38] mzee Lowasa anachanganya ma file Bolivia Australia maraisi wanajiuzulu kwa Korona mara fujo mara nini....
Tuendelee kumstahi maana alituinua kiasi chake 2015....
Jipeni moyo kwa hali na mali na hiyo ni haki yenu! Binafsi sijawahi sikia wala kusoma mahali popote mshindani akisema ATASHINDWA; hata huyo kibaraka wenu, Amsterdam, hawezi kusema TRUMP ATASHINDWA kwenye uchaguzi wao wa Novemba! Anayo haki ya kukomaa hadi mwish, na nyie hivyo hivyo! Na hata hapo mtakapo shindwa mtazua mengine mengi - aaah tumeibiwa kura, aaah mawakala wetu walifukuzwa vituoni, aaah walibeba na kukimbia na sanduku/masanduku ya kura na mengine mengi ya aina hiyo!Kumbe mzee ametishika na nguvu ya Lissu eeh???😂😂😂😂
Sasa mwambieni atulie. Watanzania tunaenda kuandika historia mwaka huu kwa kumuondoa Jiwe madarakani.
Yeye mwenyewe kanyanyaswa sana na Jiwe hadi akaamua kuunga mkono juhudi. Sasa atulie atuache watu tumtoe nduli Jiwe madarakani
Kwani umemuelewa amesema nini? Sentensi zake sizielewagi kabisa. Anaongea kama anatetemeka, anaogopa kitu. Kwa kweli sijamuelewa. Kitu kimoja wazi kabisa: Lissu ataua mtu/watu kwa presha. Subiri mambo yakolee, ndege iingie runway.Lowasa ni mchumia tumbo asiyeshiba wala kutosheka, yeye anelekea kule harufu ya pilau iko.
hiyo ni video clip nisome nini? wazee wengine kwa kukariri!Soma, soma tena kwa utaratibu ndipo utakapo muelewa huyo mzee anasema nini! Taabu yenu ni kuwa ulisha funga akili yako kwa mambo wanayosema wa upande huo, wewe unataka kusoma na kusikiliza ya upande wako/huu tu! Hiyo mentality itakudumaza.
Haya ISIKILIZE!hiyo ni video clip nisome nini? wazee wengine kwa kukariri!
Amini amini nakwambia ndugu. CCM ni kambi rasmi ya upinzani bungeni 2020 - 2025Jipeni moyo kwa hali na mali na hiyo ni haki yenu! Binafsi sijawahi sikia wala kusoma mahali popote mshindani akisema ATASHINDWA; hata huyo kibaraka wenu, Amsterdam, hawezi kusema TRUMP ATASHINDWA kwenye uchaguzi wao wa Novemba! Anayo haki ya kukomaa hadi mwish, na nyie hivyo hivyo! Na hata hapo mtakapo shindwa mtazua mengine mengi - aaah tumeibiwa kura, aaah mawakala wetu walifukuzwa vituoni, aaah walibeba na kukimbia na sanduku/masanduku ya kura na mengine mengi ya aina hiyo!
Tusubiri tuone, kwa nini tuandikie MATE NA BALLOT PAPER IPO!?Amini amini nakwambia ndugu. CCM ni kambi rasmi ya upinzani bungeni 2020 - 2025