Uchaguzi 2020 Lowassa: Huko kina Lissu wameanza kujipambanua kwa sera, fujofujo mpaka matv mengine yanatisha. Rais wetu usitishike

Bola ccm kuliko wanaochangisha mpaka maskini harafu wanazila.

Eti watafuta kodi, mda huo wanatembeza bakuri kwa raia wao.
😂😂😂 mchango wa ukombozi ni hiari lakini kitambulisho cha mjasiliamali ni lazima mpaka Rais Lissu alipowasemea wanyonge.
 
Huo umma anao uzungumzia ni upi ,labda hao hao walio kwenye mzunguko wao wa kuneemeka na Madaraka ya uwepo wa CCM Mamlakani.Wananchi wa kawaida tunaisomba Namba vilivyo.

Mwishoni sija muelewa ,mifano aliyo itoa ni kama amechanganya mafaili.

Tarehe pia hizi Sio Salama Sana kwake..msamehe
 
😂😂😂 mchango wa ukombozi ni hiari lakini kitambulisho cha mjasiliamali ni lazima mpaka Rais Lissu alipowasemea wanyonge.

Njaa au uhanga bado unakuumiza dada, wakati mwingine ukiwa shabiki utakuwa unasubiri kushangilia tu.

Rais alisema kitambulisho siyo lazima, km unaona nishida kuwa nacho acha nawatu wasilazimishwe kukikata!! Ila nao wasilalamike kuchangishwa kila siku au kukamatwa na mgambo.

Unadhani kulikuwa na chakushangilia hapo?? Au lisu aliwasemea nini dada.
 
Ha ha ha ! Nilijua utakuwa mfupa! Umekukwama eeeh ukaona sarufi!
Msg sent...and delivery

Unapo toa Ujumbe ulio ukusudia ni lazima uandike kwa usahihi na maneno sahihi bila ya kukosea herufi ,neno linapokosewa linapoteza ile maana halisi iliyo kusudiwa.Umerekebishwa kubali achana na ushabiki.
 
Lissu anaonekana kwenye mativii gani?? Au alimahanisha Mwalimu Magufuli, maana ndo anayeonekana kwenye TV.
 
Mzee wa kurekebisha , mrekebishe mwingine huyo☝️ wa mativii nayo ndo nini, ila cc wajuvi 2memuelewa.
 
Nyinyi mtu wenu tena mtu mweusi hana nguvu za kimitume anakwenda anawaambia Taifa lake, jamani tumuendee mwenyezi, tumuombe atusaidie tuondokane na hili janga. Watu wa ajabu, wakasema huyu anababaisha tu. Anababaisha? Imepita wiki mbili, tatu hamna korona.
Nimekipenda sana kipande hiki!
 
Waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa akiwa Monduli kwenye kikao cha chama cha mapinduzi ambapo mwanae Fred Lowassa anawania jimbo hilo, alipata fursa ya kuongea na kumuelezea Dkt. Magufuli aliyoyafanya katika vita dhidi ya Korona. Pia kwenye kikao hicho alikuwepo Mizengo Pinda.

Lowassa: Mimi sina mashaka juu ya kushinda, mashaka yangu atapita kwa kura ngapi. Huko kwa kina Lissu wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo zile, wanaonekana kwenye mamitaa, matv, matv mengine yanatisha tisha lakini tulimwambia Rais wetu usitishike hata kidogo.

Umma wa watanzania uko nyuma yako na dunia inajua kwamba kuna mwanaume Tanzania. Nasema hivyo kwa sababu, Australia kama ulisikiliza BBC leo, Rais anajiuzulu, kule Bolivia Rais anajiuzulu yote kwa sababu ya hii kitu, Corona si mchezo.

Nyinyi mtu wenu tena mtu mweusi hana nguvu za kimitume anakwenda anawaambia Taifa lake, jamani tumuendee mwenyezi, tumuombe atusaidie tuondokane na hili janga. Watu wa ajabu, wakasema huyu anababaisha tu. Anababaisha? Imepita wiki mbili, tatu hamna korona.

Hivi hao marais walotajwa kweli wamejiuzulu? Mbona mimi sijasikia popote?
 
Lissu anaonekana kwenye mativii gani?? Au alimahanisha Mwalimu Magufuli, maana ndo anayeonekana kwenye TV.
Hahahaha!!! jmn muoneeni huruma mtu huyo, mwenyewe baada ya huo mkutano akiwa nyumbani kwake akawa anawauliza watoto wake akichokiongea. Yani hakujua wala kukumbuka alichokiongea.
 
Waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa akiwa Monduli kwenye kikao cha chama cha mapinduzi ambapo mwanae Fred Lowassa anawania jimbo hilo, alipata fursa ya kuongea na kumuelezea Dkt. Magufuli aliyoyafanya katika vita dhidi ya Korona. Pia kwenye kikao hicho alikuwepo Mizengo Pinda.

Lowassa: Mimi sina mashaka juu ya kushinda, mashaka yangu atapita kwa kura ngapi. Huko kwa kina Lissu wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo zile, wanaonekana kwenye mamitaa, matv, matv mengine yanatisha tisha lakini tulimwambia Rais wetu usitishike hata kidogo.

Umma wa watanzania uko nyuma yako na dunia inajua kwamba kuna mwanaume Tanzania. Nasema hivyo kwa sababu, Australia kama ulisikiliza BBC leo, Rais anajiuzulu, kule Bolivia Rais anajiuzulu yote kwa sababu ya hii kitu, Corona si mchezo.

Nyinyi mtu wenu tena mtu mweusi hana nguvu za kimitume anakwenda anawaambia Taifa lake, jamani tumuendee mwenyezi, tumuombe atusaidie tuondokane na hili janga. Watu wa ajabu, wakasema huyu anababaisha tu. Anababaisha? Imepita wiki mbili, tatu hamna korona.

This guy has quickly become useless with time, even more than the velocity we predicted.
 
Njaa au uhanga bado unakuumiza dada, wakati mwingine ukiwa shabiki utakuwa unasubiri kushangilia tu.

Rais alisema kitambulisho siyo lazima, km unaona nishida kuwa nacho acha nawatu wasilazimishwe kukikata!! Ila nao wasilalamike kuchangishwa kila siku au kukamatwa na mgambo.

Unadhani kulikuwa na chakushangilia hapo?? Au lisu aliwasemea nini dada.
1600941135726.png
 
Back
Top Bottom