Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

Uwezo wa lowasa ni kuongoza ng'ombe sio watu
 
wakuu lowasa aliitisha mkutana na waandishi lkn kwa hali isiyo ya kawaida nasikia mkutano umevurugika na watu wa usalama wapo kwake asiongee lolote sasa sijui alikuwa anataka kusema nn
 
Mzee Lowassa

Natumaini unaendelea kujikongoja baada ya a bitter defeat. Lakini nikukumbushe - haya pia yatapita. Mwisho wa siku yote yatapita.

Kumbuka -Jambo la muhimu kuliko yote kwa mtu yoyote ni familia. Bado unayo familia yako iliyo kuwepo na itakayokuwepo.

Kumbuka - Bwana ndio mchungaji wako hutapungukiwa na chochote

Madhumuni ya barua hii ni kukumbusha kile kitabu maarufu cha THE ART OF WAR BY SUN TZU.

Katika kitabu kile Tzu anaandika kuwa, you must know how to choose your battles and you must choose your battles carefully. Sio kila vita lazima upigani. Zingine ziache zipite.

Katika issue hii ya urais, you have won some battles and you have lost battles. But overall you are loosing the WAR.

Nakushauri uache sasa. Usiendelee kupigana. You are loosing the WAR!

Iache vita hii ipite Mzee.
Sina uhakika kama ujumbe huu utafika kwani una mantiki
 
mkuu majizi waliopo ccm wananguvu zaidi ya huto tu michina.hata kikwete mlisema hivi hivi na kumpa jina la jk mpya mara mjeda.lkn yako wapi.magufuli hafanyi yake anafanya chama kinachoagiza na chama kilishashikwa namajangili.akikaza shingo yanamkuta ya mwakye.

jk kwa huruka na magufuli ni watu wawili tofauti hata yeye jk mwenyewe juzi aliwambia viongozi wengine kuwa wabadilike magufuli sio sawa na yeye,
pili mkuu kama rais haujiwezi basi ataongozwa na baraza la mawaziri na baadhi ya marafiki zake lakini kama anajiweza kila kitu kabla hakijafanyiwa maamuzi anaona yeye wezi hawawezi kuwepo,
nakupa ushaidi tafuka makandalasi ambao wamefanya kazi na magufuli wakwambe ukiomba tenda ya kandarasi ukandanganya magufuli anakufanya je.
 
CCM wamejipeleka kaburini wenyewe...

Oktoba watajizika.. nilijua tu, Lowassa ndio kashika uhai wa CCM ...
 
jk kwa huruka na magufuli ni watu wawili tofauti hata yeye jk mwenyewe juzi aliwambia viongozi wengine kuwa wabadilike magufuli sio sawa na yeye,
pili mkuu kama rais haujiwezi basi ataongozwa na baraza la mawaziri na baadhi ya marafiki zake lakini kama anajiweza kila kitu kabla hakijafanyiwa maamuzi anaona yeye wezi hawawezi kuwepo,
nakupa ushaidi tafuka makandalasi ambao wamefanya kazi na magufuli wakwambe ukiomba tenda ya kandarasi ukandanganya magufuli anakufanya je.

Acheni kujazana ujinga.
 
Akihama CCM kwanza kesi ya Richmond inafufuliwa na CCM, kesi itaendeshwa na hukumu kutolewa ndani ya wiki moja, kisha ataswekwa ndani akampe kampani Mramba na Yona. We chezea chama dola. Na yeye alikuwa huko huko
Mbona mnamtisha mzee! ! Mmepanic kesi ni ushahidi
 
Washauri wa lowasa wamesha mshauri kumuunga mkono Magufuli na hakuna tamko litakalo kuwa kinyume na hicho..
Nadhani EL hana washauri. Pamoja na miscalculations zote walizofanya, bado walisonga mbele kwenye "SAFARI yao ya MATUMAINI HEWA".

Na sasa wanataka kufanya makosa mengine. Nadhani team yote ni sikio la kufa.

Labda niwatakie kila la heri na tutaona Casualty Room!
Mrembo by Nature wala usijali Lowasa hawezi kusema against CCM na akisema atasema ana ungana na chama kumsindikiza Magufuli!

Kwanza angalia hiyo list hapo juu karibu wote hao marafiki zake walisha surrender na kukubali matokeao na bila shaka wamesha mshauri atangaze kumuunga mkono Magufuli usitegemee tofauti na hivyo! Hata hivyo Lowasa hawezi kukisumbua chama
CCM imemlea sana lowassa (kiislamu tunaita kusitiri). Alivyoona anasitiriwa kwa kufichiwa aibu ya maovu yake aliona anaogopwa mwisho wake akataka kukipanda chama kichwani. Amepata stahili yake. Atulie atubu madhambi yake ya kuchangia kuitia nchi umasikini. Hakuna aliye zaidi ya chama.
 
Last edited by a moderator:
Mzee Lowassa

Natumaini unaendelea kujikongoja baada ya a bitter defeat. Lakini nikukumbushe - haya pia yatapita. Mwisho wa siku yote yatapita.

Kumbuka -Jambo la muhimu kuliko yote kwa mtu yoyote ni familia. Bado unayo familia yako iliyo kuwepo na itakayokuwepo.

Kumbuka - Bwana ndio mchungaji wako hutapungukiwa na chochote

Madhumuni ya barua hii ni kukumbusha kile kitabu maarufu cha THE ART OF WAR BY SUN TZU.

Katika kitabu kile Tzu anaandika kuwa, you must know how to choose your battles and you must choose your battles carefully. Sio kila vita lazima upigani. Zingine ziache zipite.

Katika issue hii ya urais, you have won some battles and you have lost battles. But overall you are loosing the WAR.

Nakushauri uache sasa. Usiendelee kupigana. You are loosing the WAR!

Iache vita hii ipite Mzee.

Ulishapigana vita wewe? Si unafahamu ule msemo wa "we have lost the battle but not the war" when you loose the battle you retreat to reorganise. AU? Pengine wewe unastaili ingine ya kupigana vita.
 
Bavicha mnapoteza muda kudhani CCM itapasuka au Lowasa atahama CCM! Hapa ni kama mnasubiri meli air port!
Mhmmmm magamba mmevurugwa sana this time, Ukawa keep it up!!.

Watanzania wanasubiri kuona mwaga na kupata nuru kesho #UKAWA Julai 14

Namuunga mkono 100% ... JK amemfanyia Uhuni .... Mtaji anao wakutosha, Sababu anazo, nia anayo .... Hakika CCM itapasuliwa tu ...

Lowassa ni mtu wa watu,kama anataka kuhama basi aje UKAWA ila akienda kwingine atapotea kabisaaaaaaaaaa!
 
Kigeugeu wa uchu wa kurudisha pesa alizokula dili na kuzipoteza kwa kuhonga kuwa raisi kabla hata hajachaguliwa kupeperusha bendera ya CCM mimi simpi kura yangu.

Pesa za wizi hakujali zimetumikaje sasa anatamani bado kuchukua madalaka na kutuibia sie wananchi pesa zetu

Hapati kura yangu, akatulie sasa maana hata hao wanaomshangilia watamkimbia tu.

Magufuli hadi sasa anafaaa akiletwa Lowassa itakuwa kura kati ya mtenda kazi na anayetaka uraisi kwa uchu wa kujitajirisha na kutajirisha wengine kwa kujuana bila kujali wanaochapa kazi kuendeleza nchi yetu.

Lowassa katulie upumzike.

Na hao ukawa wakimchukua kura yangu siwapi na walionizukuka pia hawampi ng'oo.
 
Aende act akagombee uraisi chochote kinawezekana akatimize ndoto zake,ikiwa ndoto yake ni kugombea uraisi.
Afanye kama alivyofanya Sumaye, aende Uingereza kwenye makazi yake akapumzike walau miezi 6 apumzishe akili.
 
Back
Top Bottom