Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika kama ujumbe huu utafika kwani una mantikiMzee Lowassa
Natumaini unaendelea kujikongoja baada ya a bitter defeat. Lakini nikukumbushe - haya pia yatapita. Mwisho wa siku yote yatapita.
Kumbuka -Jambo la muhimu kuliko yote kwa mtu yoyote ni familia. Bado unayo familia yako iliyo kuwepo na itakayokuwepo.
Kumbuka - Bwana ndio mchungaji wako hutapungukiwa na chochote
Madhumuni ya barua hii ni kukumbusha kile kitabu maarufu cha THE ART OF WAR BY SUN TZU.
Katika kitabu kile Tzu anaandika kuwa, you must know how to choose your battles and you must choose your battles carefully. Sio kila vita lazima upigani. Zingine ziache zipite.
Katika issue hii ya urais, you have won some battles and you have lost battles. But overall you are loosing the WAR.
Nakushauri uache sasa. Usiendelee kupigana. You are loosing the WAR!
Iache vita hii ipite Mzee.
mkuu majizi waliopo ccm wananguvu zaidi ya huto tu michina.hata kikwete mlisema hivi hivi na kumpa jina la jk mpya mara mjeda.lkn yako wapi.magufuli hafanyi yake anafanya chama kinachoagiza na chama kilishashikwa namajangili.akikaza shingo yanamkuta ya mwakye.
Ana nini huyu nae jogoo wa kuchora tu. Hawiki hadonoi mbwembwe nyiiingi kakalishwa chini. Huyu mzee atulie ajiuguze tu
Magufuli anapayuka tu. Hana uwezo wa kuzuia rushwa CCM
CCM wamejipeleka kaburini wenyewe...
Oktoba watajizika.. nilijua tu, Lowassa ndio kashika uhai wa CCM ...
jk kwa huruka na magufuli ni watu wawili tofauti hata yeye jk mwenyewe juzi aliwambia viongozi wengine kuwa wabadilike magufuli sio sawa na yeye,
pili mkuu kama rais haujiwezi basi ataongozwa na baraza la mawaziri na baadhi ya marafiki zake lakini kama anajiweza kila kitu kabla hakijafanyiwa maamuzi anaona yeye wezi hawawezi kuwepo,
nakupa ushaidi tafuka makandalasi ambao wamefanya kazi na magufuli wakwambe ukiomba tenda ya kandarasi ukandanganya magufuli anakufanya je.
Mbona mnamtisha mzee! ! Mmepanic kesi ni ushahidiAkihama CCM kwanza kesi ya Richmond inafufuliwa na CCM, kesi itaendeshwa na hukumu kutolewa ndani ya wiki moja, kisha ataswekwa ndani akampe kampani Mramba na Yona. We chezea chama dola. Na yeye alikuwa huko huko
Mrembo by Nature wala usijali Lowasa hawezi kusema against CCM na akisema atasema ana ungana na chama kumsindikiza Magufuli!Nadhani EL hana washauri. Pamoja na miscalculations zote walizofanya, bado walisonga mbele kwenye "SAFARI yao ya MATUMAINI HEWA".
Na sasa wanataka kufanya makosa mengine. Nadhani team yote ni sikio la kufa.
Labda niwatakie kila la heri na tutaona Casualty Room!
CCM imemlea sana lowassa (kiislamu tunaita kusitiri). Alivyoona anasitiriwa kwa kufichiwa aibu ya maovu yake aliona anaogopwa mwisho wake akataka kukipanda chama kichwani. Amepata stahili yake. Atulie atubu madhambi yake ya kuchangia kuitia nchi umasikini. Hakuna aliye zaidi ya chama.
Mzee Lowassa
Natumaini unaendelea kujikongoja baada ya a bitter defeat. Lakini nikukumbushe - haya pia yatapita. Mwisho wa siku yote yatapita.
Kumbuka -Jambo la muhimu kuliko yote kwa mtu yoyote ni familia. Bado unayo familia yako iliyo kuwepo na itakayokuwepo.
Kumbuka - Bwana ndio mchungaji wako hutapungukiwa na chochote
Madhumuni ya barua hii ni kukumbusha kile kitabu maarufu cha THE ART OF WAR BY SUN TZU.
Katika kitabu kile Tzu anaandika kuwa, you must know how to choose your battles and you must choose your battles carefully. Sio kila vita lazima upigani. Zingine ziache zipite.
Katika issue hii ya urais, you have won some battles and you have lost battles. But overall you are loosing the WAR.
Nakushauri uache sasa. Usiendelee kupigana. You are loosing the WAR!
Iache vita hii ipite Mzee.
CCM wamejipeleka kaburini wenyewe...
Oktoba watajizika.. nilijua tu, Lowassa ndio kashika uhai wa CCM ...
Mhmmmm magamba mmevurugwa sana this time, Ukawa keep it up!!.
Watanzania wanasubiri kuona mwaga na kupata nuru kesho #UKAWA Julai 14
Namuunga mkono 100% ... JK amemfanyia Uhuni .... Mtaji anao wakutosha, Sababu anazo, nia anayo .... Hakika CCM itapasuliwa tu ...
Lowassa ni mtu wa watu,kama anataka kuhama basi aje UKAWA ila akienda kwingine atapotea kabisaaaaaaaaaa!
Afanye kama alivyofanya Sumaye, aende Uingereza kwenye makazi yake akapumzike walau miezi 6 apumzishe akili.Aende act akagombee uraisi chochote kinawezekana akatimize ndoto zake,ikiwa ndoto yake ni kugombea uraisi.
Mnajidanganya time will tell!CCM wamejipeleka kaburini wenyewe...
Oktoba watajizika.. nilijua tu, Lowassa ndio kashika uhai wa CCM ...