Uchaguzi 2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

Mzee Lowassa sasa anazeeka vizuri!
 
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake

Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.

Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
Vipi 2015 Mbowe alipobadili gia angani. Hakula matapishi yake? Ahahahaha!
 
Daaaah huyu Mzee kanifanya niilani ile kura yangu nlompigia,nlipanga folen kwa masaa karibia manne,niliamka asubuh,nkaenda kusali na kumuombea kwa Mungu halaf anafanya haya daaah walahi sitapiga kura tena ,wacha nitafute maisha ya familia yang tu
 
Laigwanan kaufyata siku hazigandi itafika mahali lazima pumzi ikate,taka usitake utaungana naye tu hakuna namna
 
CCM wote Ni mashetani,kwakuwa Lowassa Ni CCM ,nayeye Ni Shetani.
 
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake

Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.

Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.

Lowassa anaakili nyingi alipoona hawezi kuwa raisi akaamua ajisafishe kwa kuja kwa wanaomtukana. Wakamsafisha akarudi kwao akiwa msafi.
Sasa Lowassa ni mtu huru na kelele hamna.
 
Huyu Mzee alinifanya niwadharau sana sana sana Chadema kwa Kitendo cha wao kumsimamisha awe Mgombea wao 2015..
Mbona nyinyi ACT mlimbembeleza pia aje kwenu?
 
Na alikuwa mgombea wa uraisi chadema na mlipiga deki barabara na kuzungusha mikono Kama feni
Kweli!?
Na tulipo mpokea cdm alikuwa malaika?
Ebu usiwe na jazba, kawaulize Mbowe, Msigwa, Lisu, Sefu, Mshana Jr , tindo, n.k. waulize, je lowada fisadi? maana kuna uwezekano ndio umetiza miaka 18 so huu ndio uchaguzi wako wa kwanza.
Fisadi na jizi lakini mlimpa agombee Urais huko kwenu
Sema walimpa nafasi ya kugombea sio kusema tulimpa! sijawai na sitofanya ujinga wa kuchagua wezi kama Lowassa, Sumaye Au Membe.
 
Na Membe ndio huyo anakuja.
 
Lowassa anaakili nyingi alipoona hawezi kuwa raisi akaamua ajisafishe kwa kuja kwa wanaomtukana. Wakamsafisha akarudi kwao akiwa msafi.
Sasa Lowassa ni mtu huru na kelele hamna.
Vipi 2015 Mbowe alipobadili gia angani. Hakula matapishi yake? Ahahahaha!
Mbowe alifanya makosa, Lowassa Ni Jizi Tu Na ndio maana anaogopa kumkosoa magufuli kwa Kuhofia Kubinywa Kende Ila Ni Jizi Tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…