mangonifera indica
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 845
- 1,467
Hahaaaaa... Wadeki lami
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Lowassa sasa anazeeka vizuri!Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020
Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee aliyechukua fomu ya kuwania Urais Tanzania kupitia Chama hicho
Vipi 2015 Mbowe alipobadili gia angani. Hakula matapishi yake? Ahahahaha!Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake
Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.
Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
Tulieni alisha wadekisha lami huyo.Mtende FISADI hana aibu na haachi asili yake ya uongo uongo na UNAFIKI.
Tulieni alisha waekisha lami huyo.
Laigwanan kaufyata siku hazigandi itafika mahali lazima pumzi ikate,taka usitake utaungana naye tu hakuna namnaWaziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020
Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee aliyechukua fomu ya kuwania Urais Tanzania kupitia Chama hicho
CCM wote Ni mashetani,kwakuwa Lowassa Ni CCM ,nayeye Ni Shetani.View attachment 1487688
Kutoka kuwa kamanda hadi kulazimika kumdhamini mtu ambaye huamini falsafa yake ni jambo la kuhuzunisha mno !
labda Kwa faida ya wanajf na wengine wasiojua ni kwamba Mzee Lowassa ni miongoni mwa wengi waliosalimu amri baada ya kusomeshwa namba na utawala wa awamu ya 5 , Mpaka naandika haya Mkwe wake yuko selo kwa kesi ya kutakatisha pesa .
Natoa wito kwa watu wote kwamba ukishajiona wewe ni legelege usijaribu kushiriki siasa za upinzani , utajuta .
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake
Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.
Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
Yamekuchoma mkuu tapikaHaya ni matumizi mabaya ya serves za JF.
Kuna mtu aliuliza je jamaa ni ASSET or LIABILITY? Sasa twazidi kujionea wenyewe. Ingawapo inauma lakini CDM kwa huyu kaka walibugi big time. Nategemea wamejifunza vya kutosha na hawata rudia tena.Lowasa anajitukana matusi ya nguoni
Sasa lowasa kumdhamini magufuli kina ajabu??, Au sio mwanachama wa ccm? Acha kuwaza km wanakula jichoImekuuma?
Kumbe na wewe huwa ni hovyo hivi!Sasa lowasa kumdhamini magufuli kina ajabu??, Au sio mwanachama wa ccm? Acha kuwaza km wanakula jicho
Aliwadekisha labda babako na mamako mimi sijawai mpigia kura mwizi kama lowassa.Mimi nafurahi alivyo wadekisha barabara. Wakati huo mlikuwa hamsikii la muadhini wala mpiga kengele.
Mbona nyinyi ACT mlimbembeleza pia aje kwenu?Huyu Mzee alinifanya niwadharau sana sana sana Chadema kwa Kitendo cha wao kumsimamisha awe Mgombea wao 2015..
Na alikuwa mgombea wa uraisi chadema na mlipiga deki barabara na kuzungusha mikono Kama feni
Kweli!?
Na tulipo mpokea cdm alikuwa malaika?
Ebu usiwe na jazba, kawaulize Mbowe, Msigwa, Lisu, Sefu, Mshana Jr , tindo, n.k. waulize, je lowada fisadi? maana kuna uwezekano ndio umetiza miaka 18 so huu ndio uchaguzi wako wa kwanza.
Sema walimpa nafasi ya kugombea sio kusema tulimpa! sijawai na sitofanya ujinga wa kuchagua wezi kama Lowassa, Sumaye Au Membe.Fisadi na jizi lakini mlimpa agombee Urais huko kwenu
Na Membe ndio huyo anakuja.View attachment 1487688
Kutoka kuwa kamanda hadi kulazimika kumdhamini mtu ambaye huamini falsafa yake ni jambo la kuhuzunisha mno !
labda Kwa faida ya wanajf na wengine wasiojua ni kwamba Mzee Lowassa ni miongoni mwa wengi waliosalimu amri baada ya kusomeshwa namba na utawala wa awamu ya 5 , Mpaka naandika haya Mkwe wake yuko selo kwa kesi ya kutakatisha pesa .
Natoa wito kwa watu wote kwamba ukishajiona wewe ni legelege usijaribu kushiriki siasa za upinzani , utajuta .
Inawezekana uhovyo umetokana na mawazo yako ya hovyo pia.Kumbe na wewe huwa ni hovyo hivi!
Lowassa anaakili nyingi alipoona hawezi kuwa raisi akaamua ajisafishe kwa kuja kwa wanaomtukana. Wakamsafisha akarudi kwao akiwa msafi.
Sasa Lowassa ni mtu huru na kelele hamna.
Mbowe alifanya makosa, Lowassa Ni Jizi Tu Na ndio maana anaogopa kumkosoa magufuli kwa Kuhofia Kubinywa Kende Ila Ni Jizi Tu!Vipi 2015 Mbowe alipobadili gia angani. Hakula matapishi yake? Ahahahaha!