Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Wanatafuta msaada wa mazishi washajikatia tamaa.Lowassa Kwisha Habari yake ....kabakia mpiga debe kaama Sheikh Kassim Mtopea ..anaelekea kuwa kama Mrema sasa
Lowassa hajawahi kugombea urais kupitia CCM kwa kuwa ni fisadi, ila aligombea urais kupitia chadema.Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake
Ukiwa Fisadi na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.
Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
Yale yale Membe atafanya.
Lowassa hajawahi kugombea urais kupitia CCM kwa kuwa ni fisadi, ila aligombea urais kupitia chadema.
Kwa hiyo ukiwa Fisadi na Jizi nchi hii huwezi kugombea chama tofauti na chadema.
View attachment 1487688
Kutoka kuwa kamanda hadi kulazimika kumdhamini mtu ambaye huamini falsafa yake ni jambo la kuhuzunisha mno !
labda Kwa faida ya wanajf na wengine wasiojua ni kwamba Mzee Lowassa ni miongoni mwa wengi waliosalimu amri baada ya kusomeshwa namba na utawala wa awamu ya 5 , Mpaka naandika haya Mkwe wake yuko selo kwa kesi ya kutakatisha pesa .
Natoa wito kwa watu wote kwamba ukishajiona wewe ni legelege usijaribu kushiriki siasa za upinzani , utajuta .
Wallah ni kweli; kama hujafa hujaumbika. Kwa nini Lowasa anadhalilishwa hivi na kiasi hiki? Pengine hana watoto waliosoma wamshauri kutojidhalilisha kufikia hatua hii? Isitoshe muda wake wa kuishi umebaki kidogo, anaangaika na nini hadi ajidhalilishe hivi na kiasi hiki? Hakika, genuinely, nimesikitika sana!
Sasa huyo fisadi alieona chadema hakuna ufisadi akaamua kwenda kwa mafisadi wenzake unafikiri atafanya nini amebanwa mbavu hapumui.Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee aliyechukua fomu ya kuwania Urais Tanzania kupitia Chama hicho.
Ni kweli na hata ATCL Chadema ndio waliihamishia kule ofisi kuu ili isikaguliwe hesabu na CAG na mambo kuwekwa hadharani.Lowassa hajawahi kugombea urais kupitia CCM kwa kuwa ni fisadi, ila aligombea urais kupitia chadema.
Kwa hiyo ukiwa Fisadi na Jizi nchi hii huwezi kugombea chama tofauti na chadema.
Na uzuri ni Chadema ndio waliotunga pia sheria ya wao kuogopa kushtakiwa wakitoka madarakani kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya.hili lichama ni bora lifutwe tu maaana halina usaidizi wowote kwenye taifa: hauwezi kuwaamini kamwe, maaana mda wowote wanaweza kufanya kituko na ni mara mia ivo vituko viishie kwenye chama lao ila wasije leta vituko kwenye taifa, yaani nmeshachoka kukiskia iki chama ni bora tuendelee na vyama vingine vya upinazani
Baba Mukya alivuta pesa ndefu sana pale. Ka-invest Dubai. Anawachora makamanda wakideki barabara tu. Kumbe akaunti Yake imenona toka 2015Huyu Mzee alinifanya niwadharau sana sana sana Chadema kwa Kitendo cha wao kumsimamisha awe Mgombea wao 2015..
Na uzuri ni Chadema ndio waliotunga pia sheria ya wao kuogopa kushtakiwa wakitoka madarakani kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya.
Tatizo hata Lisu na team yake walikuwa nyuma ya Lowasa.Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake
Ukiwa Fisadi na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.
Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
Yale yale Membe atafanya.
Anaamini falsafa yake ndio maana kaungana naye mh lowassa hakutoka ccm Kwa sababu hakipendi chama cha mapinduzi Bali alitoka Kwa sababu ya kwenda kutekeleza nia yake ya kugombea urais ndio maana alisema yeye mgombea urais ndani ya chama cha mapinduzi na nje ya chama cha mapinduzi. Halafu lazima ujue katika siasa kinachoangaliwa ni maslahi Kwanza ili kufikia malengo ulojiwekea ndio maana kwenye siasa hakuna urafiki wa kudumu wala uwadui wa kudumu bali kinachoangaliwa ni maslahi ya kudumu. Kwa hiyo Mzee mwanasiasa anacheza mchezo wa siasa na anajua nini anachokifanya.View attachment 1487688
Kutoka kuwa kamanda hadi kulazimika kumdhamini mtu ambaye huamini falsafa yake ni jambo la kuhuzunisha mno !
labda Kwa faida ya wanajf na wengine wasiojua ni kwamba Mzee Lowassa ni miongoni mwa wengi waliosalimu amri baada ya kusomeshwa namba na utawala wa awamu ya 5 , Mpaka naandika haya Mkwe wake yuko selo kwa kesi ya kutakatisha pesa .
Natoa wito kwa watu wote kwamba ukishajiona wewe ni legelege usijaribu kushiriki siasa za upinzani , utajuta .
Hata utukane, matusi sio mkuki. Ila uhakika ni kuwa lami mlideki.Aliwadekisha labda babako na mamako mimi sijawai mpigia kura mwizi kama lowassa.
Ukipungukiwa ufahama,wahka hukujaa na busara huvia. Kwani ukitulia huwezi kujadili? Wapi nimemzuia mtu kujadili? Narudia, tulia ulisha dekishwa lami na kukiri alipo upo.Wacha ujinga wewe! Wewe nani humu hadi uzuie watu uhuru wao wa kujadili kile watakacho!? π³π³π³
Ukipungukiwa ufahama,wahka hukujaa na busara huvia. Kwani ukitulia huwezi kujadili? Wapi nimemzuia mtu kujadili? Narudia, tulia ulisha dekishwa lami na kukiri alipo upo.