Uchaguzi 2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

Lowassa Kwisha Habari yake ....kabakia mpiga debe kaama Sheikh Kassim Mtopea ..anaelekea kuwa kama Mrema sasa
Wanatafuta msaada wa mazishi washajikatia tamaa.
Huwezi ukapambana na mifumo uliyoweza ibadili ukiwa kwenye system ukaweza ibadili badala ya kuwa nje ya system
 
Litakuwa jambo la busara sana Mh Mbowe na uongozi mzima wa Chadema kuwaomba radhi Prof Lipumba na Dr Slaa, UKAWA ilikuwa na muelekeo mzuri na wenye matumaini mpaka kufikia hatua ya kutaka kusimamisha mgombea mmoja wa uraisi. Nina imani ipo siku tutafaham ukweli kilichotokea nyuma ya pazia na kuua ule umoja.
 
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake

Ukiwa Fisadi na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.

Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.

Yale yale Membe atafanya.
Lowassa hajawahi kugombea urais kupitia CCM kwa kuwa ni fisadi, ila aligombea urais kupitia chadema.
Kwa hiyo ukiwa Fisadi na Jizi nchi hii huwezi kugombea chama tofauti na chadema.
 
Lowassa hajawahi kugombea urais kupitia CCM kwa kuwa ni fisadi, ila aligombea urais kupitia chadema.
Kwa hiyo ukiwa Fisadi na Jizi nchi hii huwezi kugombea chama tofauti na chadema.

hili lichama ni bora lifutwe tu maaana halina usaidizi wowote kwenye taifa: hauwezi kuwaamini kamwe, maaana mda wowote wanaweza kufanya kituko na ni mara mia ivo vituko viishie kwenye chama lao ila wasije leta vituko kwenye taifa, yaani nmeshachoka kukiskia iki chama ni bora tuendelee na vyama vingine vya upinazani
 
View attachment 1487688

Kutoka kuwa kamanda hadi kulazimika kumdhamini mtu ambaye huamini falsafa yake ni jambo la kuhuzunisha mno !

labda Kwa faida ya wanajf na wengine wasiojua ni kwamba Mzee Lowassa ni miongoni mwa wengi waliosalimu amri baada ya kusomeshwa namba na utawala wa awamu ya 5 , Mpaka naandika haya Mkwe wake yuko selo kwa kesi ya kutakatisha pesa .

Natoa wito kwa watu wote kwamba ukishajiona wewe ni legelege usijaribu kushiriki siasa za upinzani , utajuta .

Lazima asalimu amri tu,si wanajua ma ufisadi yake na wana CCM wenzake.

Wakina Che Guevara,Malcom X,Martin Luther JR na watu kibao hawakuwahi kusaliti mapambano kwa sababu za kijinga jinga kama hizo.
 
Wallah ni kweli; kama hujafa hujaumbika. Kwa nini Lowasa anadhalilishwa hivi na kiasi hiki? Pengine hana watoto waliosoma wamshauri kutojidhalilisha kufikia hatua hii? Isitoshe muda wake wa kuishi umebaki kidogo, anaangaika na nini hadi ajidhalilishe hivi na kiasi hiki? Hakika, genuinely, nimesikitika sana!

Inauma Kwa kweli
Hutamuona Warioba au Malecela au Msuya akiangaika kwenda kuunga foleni Juani ili tu kufhibibitisha anamuunga mkono JPM
WATOTO WAKE WALINDE HESHIMA YA BABA YAO
 
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee aliyechukua fomu ya kuwania Urais Tanzania kupitia Chama hicho.
Sasa huyo fisadi alieona chadema hakuna ufisadi akaamua kwenda kwa mafisadi wenzake unafikiri atafanya nini amebanwa mbavu hapumui.
 
Lowassa hajawahi kugombea urais kupitia CCM kwa kuwa ni fisadi, ila aligombea urais kupitia chadema.
Kwa hiyo ukiwa Fisadi na Jizi nchi hii huwezi kugombea chama tofauti na chadema.
Ni kweli na hata ATCL Chadema ndio waliihamishia kule ofisi kuu ili isikaguliwe hesabu na CAG na mambo kuwekwa hadharani.
 
hili lichama ni bora lifutwe tu maaana halina usaidizi wowote kwenye taifa: hauwezi kuwaamini kamwe, maaana mda wowote wanaweza kufanya kituko na ni mara mia ivo vituko viishie kwenye chama lao ila wasije leta vituko kwenye taifa, yaani nmeshachoka kukiskia iki chama ni bora tuendelee na vyama vingine vya upinazani
Na uzuri ni Chadema ndio waliotunga pia sheria ya wao kuogopa kushtakiwa wakitoka madarakani kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya.
 
Huyu Mzee alinifanya niwadharau sana sana sana Chadema kwa Kitendo cha wao kumsimamisha awe Mgombea wao 2015..
Baba Mukya alivuta pesa ndefu sana pale. Ka-invest Dubai. Anawachora makamanda wakideki barabara tu. Kumbe akaunti Yake imenona toka 2015
 
Na uzuri ni Chadema ndio waliotunga pia sheria ya wao kuogopa kushtakiwa wakitoka madarakani kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya.

ni mara mia ccm na mapungufu yao aisee, hawa jamaa wanachosha tu akili kuwaskiliza
 
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake

Ukiwa Fisadi na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.

Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.

Yale yale Membe atafanya.
Tatizo hata Lisu na team yake walikuwa nyuma ya Lowasa.
 
Mzee Lowassa anatia huruma kwelikweli. Funzo kwa vijana: wekeni akiba ya maneno.
 
A
View attachment 1487688

Kutoka kuwa kamanda hadi kulazimika kumdhamini mtu ambaye huamini falsafa yake ni jambo la kuhuzunisha mno !

labda Kwa faida ya wanajf na wengine wasiojua ni kwamba Mzee Lowassa ni miongoni mwa wengi waliosalimu amri baada ya kusomeshwa namba na utawala wa awamu ya 5 , Mpaka naandika haya Mkwe wake yuko selo kwa kesi ya kutakatisha pesa .

Natoa wito kwa watu wote kwamba ukishajiona wewe ni legelege usijaribu kushiriki siasa za upinzani , utajuta .
Anaamini falsafa yake ndio maana kaungana naye mh lowassa hakutoka ccm Kwa sababu hakipendi chama cha mapinduzi Bali alitoka Kwa sababu ya kwenda kutekeleza nia yake ya kugombea urais ndio maana alisema yeye mgombea urais ndani ya chama cha mapinduzi na nje ya chama cha mapinduzi. Halafu lazima ujue katika siasa kinachoangaliwa ni maslahi Kwanza ili kufikia malengo ulojiwekea ndio maana kwenye siasa hakuna urafiki wa kudumu wala uwadui wa kudumu bali kinachoangaliwa ni maslahi ya kudumu. Kwa hiyo Mzee mwanasiasa anacheza mchezo wa siasa na anajua nini anachokifanya.
 
Wacha ujinga wewe! Wewe nani humu hadi uzuie watu uhuru wao wa kujadili kile watakacho!? 😳😳😳
Ukipungukiwa ufahama,wahka hukujaa na busara huvia. Kwani ukitulia huwezi kujadili? Wapi nimemzuia mtu kujadili? Narudia, tulia ulisha dekishwa lami na kukiri alipo upo.
 
Ni UJUHA kuandika huu UPUUZI WAKO ukiwa huna ushahidi wowote wa kuthibitisha ulichoandika. Mimi na fisadi Lowassa wapi na wapi? 😳😳😳😳

Ukipungukiwa ufahama,wahka hukujaa na busara huvia. Kwani ukitulia huwezi kujadili? Wapi nimemzuia mtu kujadili? Narudia, tulia ulisha dekishwa lami na kukiri alipo upo.
 
Yeyote yule ambae anaweza kumuamini Lowassa au anachosema lowassa basi anahitaji kupimwa akili. Wapo wengi watu kama Lowassa ambao huruka kutoka katika chama kimoja kwenda kingine na kurudi walikoanzia, watu kama hawa wanakuwa wote wana sifa moja tu nayo ni kujali manufaa yao tu, hawajali wanamtukana nani, wanamuumiza nani, wanamuaibisha nani as long as wanapata tija na manifaa yao. Watu kama hawa hawashindwi hata kuwasukuma ndugu zao wa tumbo moja baharini na wazame ilimradi tu yao yafanikiwe, walichokiweka mbele ni pesa.

Kama nilivyosema watu kama Lowassa wapo tele na kila siku wanahama kutoka chama kimoja kwenda kingine si kwa sababu yeyote ile ila "pesa".
Watu kama hawa ingelikuwa vyema watu wakawa hawawapi kura zao kabisa.
 
Back
Top Bottom