Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Kuwa na adabu basi
sio wote humu machizi chizi
jiheshimu huwezi acha kuni quote....

Huyo jamaa huwa anawa-quote waongea pumba tu. Sie tunaoongeaga points huwa hashughuliki nasi.
 
Haki ya nani nyie mapopoma!
Hivi mmetumwa na kulipwa kiasi gani?? Mtakuja kufa kwa presha, huyu fisadi wenu keshachinjiwa baharini, mpeperusha bendera wa sisiemu ni yule mzenjibari. Hivi mna familia kweli nyie?? njaa kitu kibaya sana!
MR.PRESIDENT
 
Last edited by a moderator:
Labda ukawa ya Lumumba. UKAWA haiwezi kuchangamana na mafisadi
 

unaumwa wewe!
 
Haki ya nani nyie mapopoma!
Hivi mmetumwa na kulipwa kiasi gani?? Mtakuja kufa kwa presha, huyu fisadi wenu keshachinjiwa baharini, mpeperusha bendera wa sisiemu ni yule mzenjibari. Hivi mna familia kweli nyie?? njaa kitu kibaya sana!
MR.PRESIDENT



Nashukuru kutunanga, whatever u like, say it all.... mtabakia mnalipwaaa...!!!

Days are coming, UTAKUWA KTK SAFARI YA MATUMAINI... nakuombea heri na baraka tele duniani, Tunaelekea Canan, so jiunge nasi, tutakuacha...!!!
 
Last edited by a moderator:



Mkuu,

Ushakula maharage ya monduli nini?

Game bado bichi....
 
Nataka kuwaambia wana Chadema na hata UKAWA pia,kumbukumbu zangu zinaonyesha Chadema ni chama kinachochukia Ufisadi haijapata kutokea.Hivyo hakuna namna ya kumu-accomodate Lowasa ndani ya CHADEMA.Niwakumbushe kauli ya Mwenyekiti Mh.A.Mbowe kuwa Lowasa kwenye kukemea ufisadi ni Bubu.Vilevile Katibu Mkuu Dr.Slaa mbali na kumuweka Lowasa kwenye List of Shame amesisitiza kuwa Watanzania wanahitaji Safari ya Uhakika na sio ya Matumaini.Hivyo basi kwa wana Chadema wanaomtaka Lowasa nawashauri watangulie ACT Tanzania atawakuta huko.TAHADHARI:Kama Chadema mtamsafisha Lowasa mjiandae kwenda na Maji,na kabla ya hapo mmeze kwanza matapishi ya List of Shame.c.c Mungi, Crashwise, MWANAKIjiji
 
Last edited by a moderator:
Hii ni nini sasa??

Mleta mada alikuwa na heshima yake kubwa tu hapa Jukwaani lakini kila siku anazidi kuporomoka kama Maporomoko ya ardhi..!! Sasa sijui huu umbea kautoa wapi na unamaana gani? maana hatakuulewa ameelewa mwenyewe tu aliyeandika..!!

BACK TANGANYIKA
 

We kichekesho kweli,
Kwa kuraa!
 
Umechanganyikiwa wewe!
 
Unapenda taarab eeehh...!!! mchezo mchafu ndio kazi yako...!!!

Hapa hatufanyi ukafiri, tunamwongelea mwana pekee wa Mungu, Mh. Lowassa, mpango wa Mungu, taarab kale nayo malimaoooooooo....!!!!

Umechanganyikiwa siyo bure.
Cc Lizabon
 
Last edited by a moderator:
jana waziri mkuu wa zaman edward lowasa alikuwa muwaz zaid pale alipo nukuu ya nyerere kuwa wtz wanataka mabadiliko na wasipo yapata ndn ya ccm watayatafuta nje ya ccm.nae akasema anataka mabadiliko asipo yapa ndn ya ccm atayatafuta nje ya ccm.hongera mh,lowasa umenena.
 
Lowasa yupo kwa wakati muafaka wa kuua ccm
 
Mnamkubali huyu jamaa wa monduli eeeeh?

Anawaumiza akili Sana...hahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…