OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
maelezo ni haya figganigga kapotoshaooooh!
Samahani, nilidhani umeitoa kwenye credible sources kumbe ni hilo gazeti la udaku, alafu ni kichwa cha habari tuu, maelezo yake ndani yanaweza kuwa tofauti kabisaaaaa!
Nasikitka kwa jambo hili . Soma mtanzania gazeti la leo .Mbowe amesema kuwa Anaona kama CCM wanamwamini sana Lowassa akasema UKAWA wanamsubiri ulingoni wao hawamhofii ni cha mtoto tu na hatamweza mgombea wa ukawa kwani kocha wa yanga akisema nawataka simba hata kesho maana yake simba ije kuwachezea mechi? hata kama tunaishi bara kiswahili si kigumu hivyo
Siko tayari KUISHI KWA MATUMAINI KTK HIYO SAFARI YENU, usinijumuishe TAFADHARI.
hivi ulikuwa na lengo gani kupotoshaNdo nmetoka kanisani, Mimi sio muhuni kama unavojiona wala hayo uyasemayo siyajui
Nasikitka kwa jambo hili . Soma mtanzania gazeti la leo .Mbowe amesema kuwa Anaona kama CCM wanamwamini sana Lowassa akasema UKAWA wanamsubiri ulingoni wao hawamhofii ni cha mtoto tu na hatamweza mgombea wa ukawa kwani kocha wa yanga akisema nawataka simba hata kesho maana yake simba ije kuwachezea mechi? hata kama tunaishi bara kiswahili si kigumu hivyo
uanachama ni zaidi ya kadi,unadhani Zito hakuwa na kadi?hama wewe kwanza kadi yako namba ngapi
Mkuu muache huyo kijana na umsamehe,Kuwa na adabu basi
sio wote humu machizi chizi
jiheshimu huwezi acha kuni quote....
lengo ni kuhakikisha anawaharibia CCM wakimtema.
Una hakili sana. HILO NDILO OMBI LA WENGI.Nashinda kwenye majumba ya ibada nikiomba mungu ccm wakate jina la mzee EL ili magogoni ukawa waende kama kumsukuma mlevi
Kumbe kuna wafuasi wa Chadema wanamtaka Lowassa nilikuwa sijajua ili.
hilo ndo analojivunia,na atawapata tu
Kweli kabisa. Ila sio utamaduni wao, akipitishwa mmoja, wanamsapoti.
Acha ushambenga wewe Lowassa hatoki ccm na atakuwa Raisi kupitia ccm..
Nashinda kwenye majumba ya ibada nikiomba mungu ccm wakate jina la mzee EL ili magogoni ukawa waende kama kumsukuma mlevi
leo waziri mkuu wa zaman mh,edward lowasa amevunja ukimya na kushangaza wana ccm kwa kusema yeye ni mmoja ya watu wanaotaka mabadiliko asipo yapata ndan ya ccm atayatafuta nje ya ccm.
Ile jeuri yake kwamba yeye hatoki CCM na wasiomtaka ndo waondoke imeyeyukaje? Kweli Lowasa ameanza kuchizika
Huyu mzee amewehuka nakwambia. Yupo mithili ya nyati alojeruhiwa mwituni.
Unaambiwa siku hizi ni MKALI mno, anaweza kumrarua mtu.
Ni kama Binadamu anayeelekea kukata roho.
Nje ya CCM Lowasa hana jeuri yoyote
Tena kasema kuwa yeye ni mmoja wa wanaohitaji mabadiliko ndani ya CCM. Na asipoyapata atatafuta nje ya CCM. sasa sijui anatafuta mabadiliko au madaraka? Binafsi Lowasa simuelewi hata kidogo. Huwa anajichanganya sana