GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
KAMA NI KWELI, As unbiased and independent ANALYST, hilo litakuwa anguko takatifu la CHADEMA NA UKAWA.
6
Kama Nilivyokwisha Sema Huko Mwanzo Kuwa Magufuli Atakuwa Ndiyo Chaguo La CCM Kwa Vile Vigezo Nilivyowapeni Sasa Katika Hali Ya Kujiamini Kabisa Nawapeni Taarifa Hii Kuwa Mzee Mtei Amekubali Rasmi Kujitaoa Muhanga Kwa Kumtoa Katika Kinyang'anyiro Dr. Slaa Kuwa Mgombea Wa Urais Kwa Tiketi Ya UKAWA Na Sasa Ni Rasmi Kuwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Muda Wowote ANAHAMIA RASMI Kutoka CCM Na Kuhamia CHADEMA Na Hapo Hapo Kupewa Nafasi Ya Kupeperusha Bendera Ya UKAWA Katika Mbio Za Kuelekea IKULU Mwezi October Tarehe 25.
Muda Wowote Kutoka Sasa Walinzi Wake Wakiongozwa Na Bwana Aloyce Tendewa Wanarudi Idarani Kuendelea Na Majukumu Yao Mengine Na Kinachosubiriwa Sasa Upande Wa UKAWA Kumtangaza Ni Kuwa Wanaweka Mambo Sawa Katika Nyanja Zote Na Katika Siku 3 Hizi Lowassa ATATANGAZWA Rasmi Kuwa Ametua CHADEMA Japo Mke Wake Mama Regina Amejitahidi Mno Kumsihi Mumewe Asihame CCM Lakini Lowassa Bado Ana Machungu, Hasira Huku Akishawishiwa Vibaya Na Washauri Wake Wakuu Haswa Haswa Mzee Apson Mwang'onda.
Mliokuwa Mkinidhihaki Kuhusu Magufuli Na Akawa Yeye Sasa Wote Mmepotea Hebu Nidhihikani Na Hili Pia Na Nina Uhakika 100% Wa Hii Breaking News Yangu Kwenu. Lowassa Kuhamia CHADEMA Rasmi Na Kuwa Mpeperusha Bendera Kwa Tiketi Ya UKAWA. Take It From Me! Fumbo Alilolifumba Jana Mbunge James Mbatia Mlilielewa?
We ni mbu::::::mbu kweli...Nifkri humu. Tuko great thinkers tu kumbe kuna na ke:::::nge? Sasa katika post unasema walinzi wake wanarudi idarani
Inamaana walikuwa walinzi wa ccm au serkali? Na swali akihama chama serkali inamnyanganya walinzi? Na je yeye alikuwa waziri mkuu wa ccm au tanzania?
Bahati Mbaya Sana Huwa Nina Allergy Kujibizana Na MAPOPOMA Na WALIBERALI Kama Wewe. Usipoteze Muda Wako Kutaka KIKI Kwangu.
Mpaka hapo naamini hujui unachokiandika,apson aliwekwa kwenye kambi ya lowassa na idara kwa lengo la kuharibu mipango ya lowassa kuwa rais pasipo mtu yoyote kugundua, at the moment, lowassa amegundua kwamba apson amemuuza na hawaongei,lowassa amesusa, nakushangaa unavyosema spson anamshawishi lowassa ahamie ukawa,that's totaly wrong
na hapo malengo ya ukawa yatakuwa wazi.... kama kuna mtu ametukanwa na ukawa ni huyu mh,, na yule wa vijisenti... kama wanamtakatisha huyu basi mgombea mwenza awe mama tiba,, au wa kwetu
Kama Nilivyokwisha Sema Huko Mwanzo Kuwa Magufuli Atakuwa Ndiyo Chaguo La CCM Kwa Vile Vigezo Nilivyowapeni Sasa Katika Hali Ya Kujiamini Kabisa Nawapeni Taarifa Hii Kuwa Mzee Mtei Amekubali Rasmi Kujitaoa Muhanga Kwa Kumtoa Katika Kinyang'anyiro Dr. Slaa Kuwa Mgombea Wa Urais Kwa Tiketi Ya UKAWA Na Sasa Ni Rasmi Kuwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Muda Wowote ANAHAMIA RASMI Kutoka CCM Na Kuhamia CHADEMA Na Hapo Hapo Kupewa Nafasi Ya Kupeperusha Bendera Ya UKAWA Katika Mbio Za Kuelekea IKULU Mwezi October Tarehe 25.
Muda Wowote Kutoka Sasa Walinzi Wake Wakiongozwa Na Bwana Aloyce Tendewa Wanarudi Idarani Kuendelea Na Majukumu Yao Mengine Na Kinachosubiriwa Sasa Upande Wa UKAWA Kumtangaza Ni Kuwa Wanaweka Mambo Sawa Katika Nyanja Zote Na Katika Siku 3 Hizi Lowassa ATATANGAZWA Rasmi Kuwa Ametua CHADEMA Japo Mke Wake Mama Regina Amejitahidi Mno Kumsihi Mumewe Asihame CCM Lakini Lowassa Bado Ana Machungu, Hasira Huku Akishawishiwa Vibaya Na Washauri Wake Wakuu Haswa Haswa Mzee Apson Mwang'onda.
Mliokuwa Mkinidhihaki Kuhusu Magufuli Na Akawa Yeye Sasa Wote Mmepotea Hebu Nidhihikani Na Hili Pia Na Nina Uhakika 100% Wa Hii Breaking News Yangu Kwenu. Lowassa Kuhamia CHADEMA Rasmi Na Kuwa Mpeperusha Bendera Kwa Tiketi Ya UKAWA. Take It From Me! Fumbo Alilolifumba Jana Mbunge James Mbatia Mlilielewa?
Lowassa UMESHAJIPOTEZA Rasmi Kisiasa.
Kwani ni ajabu Lowasa kujiunga CHADEMA??
Alijiunga Dr Slaa toka CCM,wakampokea,
Mtei mwenyewe alikuwa CCM,sasa nani
alikuwa KANU hapo??
Acheni utoto,
Thread closed
Mzee Kingunge kashasema EL yuko tayari kumuunga mkono Magufuli. Habari yako ni feki brother.
Mimi nahusikaje na taarifa hii?
Hahahaa ngoja nijiandae mbavu zangu kabisa kwa majibu atakayokupa GENTAMYCINE
Leo Wengi Sana Mtapata KIKI Kwa Kuweza Kujibizana Na Mathematician Mimi Na Si Ajabu Hata Huko Mitaani Kwenu Mkajisifu KIPOPOMA.
kweli nimeamini hakuna upinzani wa kweli,CHADEMA WANAFIKI,huyo ROWASA kisa katoka kaskazini,?kweli nimeamini CHAGADEMA mradi wa wanakaskazini,