Mkuu hata mimi nimeisikia hiyo kauli nikawa na swali kama hilo kichwani mwangu. Ameenda mbali zaidi na kusema kwamba yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ndani ya CCM. Mwaka huu kazi ipo
Mkuu ujue bila lowasa hakuna ccm
Tena kasema kuwa yeye ni mmoja wa wanaohitaji mabadiliko ndani ya CCM. Na asipoyapata atatafuta nje ya CCM. sasa sijui anatafuta mabadiliko au madaraka? Binafsi Lowasa simuelewi hata kidogo. Huwa anajichanganya sana
Mkuu hata mimi nimeisikia hiyo kauli nikawa na swali kama hilo kichwani mwangu..........Mwaka huu kazi ipo
Magamba mwaka huu watauana sana Lowasa anashikilia roho yao
Angalia vizuri huenda hujakamilisha tiba yako pale milembe, unadhani utamwelewa vipi wakati we mwenyewe ndo umechanganyikiwa?
Magamba mwaka huu watauana sana Lowasa anashikilia roho yao
Nimekuwa nikiyasema haya kabla ya kauli ya lowasa ya leo.Nilisema kuwa,Lowasa hana washauri makini na wenye waledi..wapambe wake wakakataa!.Nilisema kuwa lowasa alipokuwa singida alisema kuwa "asipopata urais akiwa ccm,taupata urais nje ya ccm"..wapambe wakasema mimi ni team makongoro/membe/sitta.Nikasema uwezo wa lowasa ni mdogo kiuongozi na upeo wake wa kuchagua maneno ni mdogo sana hata uenyekiti wa mtaa hawezi,wapambe wakasema ninachuki binafsi.Nikasema kuwa kauli za zitto na lowasa zinalandana..wakati zitto yupo chadema,wapambe wake wakaniita mimi ni ukawa.Sasa nasema tena:LOWASA AKIWA RAIS siku moja atasema hivi"KAMA GESI NA URANIUM HATACHIMBA ROSTAM,BASI ATACHIMBA KARAMAGI"...HAFAI KUWA RAIS WA TANO WA TANZANIA,BORA MTIKILA KULIKO YEYE!!!!...?????
Mwache ahamie ACT ili wagawane kura na miccm ili UKAWA wapate upenyo.
Huo ndio utakuwa mwisho wa ccm hapa tanzania
Wakati akiwa Arusha, kutangaza nia, alimkariri Nyerere akisema, watanzania wanataka mabadiliko, na wakiyakosa ndani ya CCM watayapata nje ya CCM. Leo tena kairudia. Ni dhahiri, Lowassa akitemwa CCM, atakimbilia upinzani.
Lowasa ndo alisema asiyemtaka ndani ya ccm aondoke yeye ?mnafiki mkubwa leo ndo anajifanya kutumia mwl.Nyerere mbona hakusema haya:
mtu yeyote anayetumia gharama kubwa kusaka madaraka hafai kuwa kiongozi ni wakuogopwa kama ukoma .Mwl Nyerere