Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Hayo ameongea wapi na saa ngapi?

Kumbuka Shetani ana watu wengi kuliko Lowassa.
 
Ile jeuri yake kwamba yeye hatoki CCM na wasiomtaka ndo waondoke imeyeyukaje? Kweli Lowasa ameanza kuchizika
 
Binafsi nimemsikia kupitia ITV ingawa sikumsikia vizuri.
Tena kasema kuwa yeye ni mmoja wa wanaohitaji mabadiliko ndani ya CCM. Na asipoyapata atatafuta nje ya CCM. sasa sijui anatafuta mabadiliko au madaraka? Binafsi Lowasa simuelewi hata kidogo. Huwa anajichanganya sana
 
Ile jeuri yake kwamba yeye hatoki CCM na wasiomtaka ndo waondoke imeyeyukaje? Kweli Lowasa ameanza kuchizika

Huyu mzee amewehuka nakwambia. Yupo mithili ya nyati alojeruhiwa mwituni.

Unaambiwa siku hizi ni MKALI mno, anaweza kumrarua mtu.

Ni kama Binadamu anayeelekea kukata roho.
 
Huyu mzee amewehuka nakwambia. Yupo mithili ya nyati alojeruhiwa mwituni.

Unaambiwa siku hizi ni MKALI mno, anaweza kumrarua mtu.

Ni kama Binadamu anayeelekea kukata roho.
Siku zake zinahesabika. Soon atakuwa chizi
 
Kwa mtazamo wangu Dkt Pombe Magufuli au Prof Muhongo ndo wagombea Sahihi otherwise tuangalie jirani atakuja na mali ipi, Sifa ya Msingi kwa mgombea kutoka CCM ni kupata mtu asiemuonea aibu Mtu, Jk sababu kubwa ya kushindwa kwake ni kuwaonea aibu watu wake, Chadema angalau ilimsaidia kupunguza kasi ya wanamtandao maana walimzingira kama nzi kwny Kidonda lakini angalau ilisaidia
 
Na lowasa atapigwa kwenye NEC atapigwa mapema atatimukia act tz na sisi kama ukawa wavulugane wenyewe sisi ikulu yetu hawatushindi mafisadi wezi?!!!!!! Ccm kazi mnayo!!!!!?
 
CCM ikipita salama kwenye uchaguzi huu basi itadhihilisha kuwa chama kilichokomaa
 
Nashinda kwenye majumba ya ibada nikiomba mungu ccm wakate jina la mzee EL ili magogoni ukawa waende kama kumsukuma mlevi
Omba sana,kwa sababu Lowassa atashika nafasi ya pili na Dr Slaa atashika nafasi ya tatu.
 
Tena kasema kuwa yeye ni mmoja wa wanaohitaji mabadiliko ndani ya CCM. Na asipoyapata atatafuta nje ya CCM. sasa sijui anatafuta mabadiliko au madaraka? Binafsi Lowasa simuelewi hata kidogo. Huwa anajichanganya sana
Lowassa ameshaona dalili ya jina lake kukatwa hivyo anawaandaa kisaikolojia wafuasi kuwa anapanga kuhama CCM.

Tatizo ametumia hela nyingi mno hivyo hawezi kukubali zipotee hivi hivi bila adhima yake kutimia.
 
Tunachokosa Watanzania ni akili iliyojaa fikra pevu ndio maana tunafikiri kama watu wasio na akili. Si rahisi kwa mtu asiye na Fikra akawa na maono PEVU.Kukosekana kwa hayo ndio maanawengi wanaona Lowassa anafaa.Hawajui kuwa Lowassa anajidaia mali aliyoiba Kwa umma. Wavivu kwao tafakuri hayupo, fikra amesafiri na haijulikani atarudi lini.Wanawaza upumbavu ambao hatawalioishi karne ya 3 hawakuwaza hivyo ni aibu kubwa kwa watu weusi wa Tanzania kushangilia wezi bila hata kuona aibu wala kumuogopa Mungu.Kweli tumelaaniwa na tumepotezasifa za kuishi. Haiingii akilini Watanzania waliolelewa kimaadili eti Leo hii wanajigamba na kushangilia wezi kwa mafuriko.Ninamuomba Mungu awape stahili zao wote wanaenende kinyume na maadili na kulibomoa Taifa kwa makusudi.Nchi zote za Africa Mashariki na Dunia vinatushangaa Eti wale walioondolewa kwenye ofisi za umma kwa sababu za wizi, leo tunawafuata mithili ya kundi la ng'ombe.Hata wezi wa juzi tu hatamwaka haujaisha nao tunawashangilia halafu Tunakwenda makanisani namisikitini kufanya unafiki mbele yaMungu na tunapenda eti tubaki salama.Kwa hapa tulipofika Watanzania na vitendo vyetu vya kujiondoa akili makusudi na kumkejeli Mungu makanisani na misikitini, tujiandae kwa gadhabu na mapigokutoka kwa Mungu.Mtanzania wa leo ameamua kujivika ubwege, uvivu, ujinga, upumbavu na kila aina ya uchafu. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Kwa mtazamo wangu Dkt Pombe Magufuli au Prof Muhongo ndo wagombea Sahihi otherwise tuangalie jirani atakuja na mali ipi, Sifa ya Msingi kwa mgombea kutoka CCM ni kupata mtu asiemuonea aibu Mtu, Jk sababu kubwa ya kushindwa kwake ni kuwaonea aibu watu wake, Chadema angalau ilimsaidia kupunguza kasi ya wanamtandao maana walimzingira kama nzi kwny Kidonda lakini angalau ilisaidia

Ndani ya Ccm hamna mgombea mwenye sifa hata mmoja.
Viatu JK kivifanya over size vinampwaya kila mtu
Watu pekee wenye saizi ya viatu vya Jk japo vimechakaa ni ukawa tu
 
Ndani ya Ccm hamna mgombea mwenye sifa hata mmoja.
Viatu JK kivifanya over size vinampwaya kila mtu
Watu pekee wenye saizi ya viatu vya Jk japo vimechakaa ni ukawa tu

Mimi natazama mtu wewe unatazama Kundi, Mgombea wa Ukawa usishangae akawa ni mmoja katika watia nia 39 wa Ccm mara akikatwa au kura zisipotimia atahamia huko na atakuwa mgombea Safi kwa kanuni uliyojiwekea
 
Back
Top Bottom