Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Hivi ule uzi uliotupiwa jana hapa na pasco kuwa yupo chini ya uangalizi mkali ili hasiwasiliane na watu wa nje ni kweli?
we uoni kwenye msafara wake alivyo na walinzi wengi, bila shaka ndio maana baada ya vijana kumzuia njiani wakitaka aseme lolote hakusema kitu, haya ni maelekezo aliyopewa. Don't talk and live or talk and die. Mtu uko nyumbani unashindwa hata kusalimia ndugu zako au kusema tu nashukuru kwa kuwa pamoja nami asanteni sana ?!! no , there is something hidden here !!Let us be patient days will tell.
 
Hili suala likitimia basi nitawaona ukawa hsahasa CHADEMA kuwa ni walaghai,waongo,wapenda madaraka na wapumbavu kabisa.Si ni haohao ambao kila siku wanapia kelele kuhusu ufisaid?leo iweje wamkaribishe ambaye kila siku wanasema ni fisadi.Mark my words,wakimkaribisha Tu wajue huo ndio mwaczo wa kuporomoka kwao.

Na kwa upande wa Lowasa ananjidanganya tu,nje ya CCM Lowasa si lolote si chochote,zaidizaidi anajitafutia presha za bureee....haya safar njema mzee,Na ukawa shauri yenuu

Dr.Slaa wakikutoa kwenye nafasi ya kugombea Urais rudi CCM halafu hapo mchezo utakuwa umenoga...

Tundu Lisu vp?wewe si ndiyo mpinga ufisadi?hapo kwa Lowasa vp?

Tumaini Makene wewe je?juzi si ulikuja na habari yako ya kukanusha?na hili likitokea utatuambia nini?je mtamsafisha Zitto na chama chake mliowachafua humu?

Binafsi ndiyo maana niliamua kutowapigia kura wapinzani kwa kuwa nimejua ni WAONGO,WALAGHAI NA HAWANA NIA YA KUMSAIDIA MTANZANIA.

BORA WENDAWAZIMU ULIOZOEA KULIKO UKICHAA MPYA.
 
atajishusha hadhi kumbe anamalengo ya utawala siyo

na hapo malengo ya ukawa yatakuwa wazi.... kama kuna mtu ametukanwa na ukawa ni huyu mh,, na yule wa vijisenti... kama wanamtakatisha huyu basi mgombea mwenza awe mama tiba,, au wa kwetu
 
hi tarifa haina mashiko hata kama kwenye siasa hakuna logic. kwa hali hiyo tuheshimiane jamani na kulinda hadhi ya jukwaa hili. mambo ya kuota mchana kweupe ni kuvunjia watu heshima zao.
 
EL alishawahi kusema kwamba ikitokea akashindwa hatoondoka CCM
 
Nimegundua watz wenye uelewa mpana wanatamani mabadiliko hata kwa njia haramu, nami nawasapoti ili mradi tulitokomeze hili zimwi linaloitwa CCM.
 
Kama Nilivyokwisha Sema Huko Mwanzo Kuwa Magufuli Atakuwa Ndiyo Chaguo La CCM Kwa Vile Vigezo Nilivyowapeni Sasa Katika Hali Ya Kujiamini Kabisa Nawapeni Taarifa Hii Kuwa Mzee Mtei Amekubali Rasmi Kujitaoa Muhanga Kwa Kumtoa Katika Kinyang'anyiro Dr. Slaa Kuwa Mgombea Wa Urais Kwa Tiketi Ya UKAWA Na Sasa Ni Rasmi Kuwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Muda Wowote ANAHAMIA RASMI Kutoka CCM Na Kuhamia CHADEMA Na Hapo Hapo Kupewa Nafasi Ya Kupeperusha Bendera Ya UKAWA Katika Mbio Za Kuelekea IKULU Mwezi October Tarehe 25.

Muda Wowote Kutoka Sasa Walinzi Wake Wakiongozwa Na Bwana Aloyce Tendewa Wanarudi Idarani Kuendelea Na Majukumu Yao Mengine Na Kinachosubiriwa Sasa Upande Wa UKAWA Kumtangaza Ni Kuwa Wanaweka Mambo Sawa Katika Nyanja Zote Na Katika Siku 3 Hizi Lowassa ATATANGAZWA Rasmi Kuwa Ametua CHADEMA Japo Mke Wake Mama Regina Amejitahidi Mno Kumsihi Mumewe Asihame CCM Lakini Lowassa Bado Ana Machungu, Hasira Huku Akishawishiwa Vibaya Na Washauri Wake Wakuu Haswa Haswa Mzee Apson Mwang'onda.

Mliokuwa Mkinidhihaki Kuhusu Magufuli Na Akawa Yeye Sasa Wote Mmepotea Hebu Nidhihikani Na Hili Pia Na Nina Uhakika 100% Wa Hii Breaking News Yangu Kwenu. Lowassa Kuhamia CHADEMA Rasmi Na Kuwa Mpeperusha Bendera Kwa Tiketi Ya UKAWA. Take It From Me! Fumbo Alilolifumba Jana Mbunge James Mbatia Mlilielewa?

Lowassa UMESHAJIPOTEZA Rasmi Kisiasa.

Mpaka hapo naamini hujui unachokiandika,apson aliwekwa kwenye kambi ya lowassa na idara kwa lengo la kuharibu mipango ya lowassa kuwa rais pasipo mtu yoyote kugundua, at the moment, lowassa amegundua kwamba apson amemuuza na hawaongei,lowassa amesusa, nakushangaa unavyosema spson anamshawishi lowassa ahamie ukawa,that's totaly wrong
 
Wote hao unaowasema hawakuwa na kasfa yoyote,ni wazi CHADEMA ikimpokea itapoteza robo tatu ya wanachama wake na inaweza kuwa ndio mwisho wa siasa za upinzani Tanzania hadi generation nyingine,kwani watu wanachokichukia na ambacho kimewafanya wahamie upinzinzani kitakuwa hakipo kabisa,hii itakuwa ni highest degree of the betrayal of the people's trust.

CDM itapoteza 3/4 na CCM pia itapoteza 3/4 je in chama kipi kitakuwa kimepata hasara kwa kuondokewa na wanachama wengi?
 
Fuatilia mchakato wote na utendaji wake mie sijaona sehemu ambayo Lowassa katajwa kama fisadi hata Richmond.

Wakati wa mjadala wa Richmond mlengwa hakuwa Lowassa bali serikali nzima na utendaji mbovu wa Rais wetu Kikwete.

Lakini pia ilionekana kuwa Lowassa aliafanyakazi kiasi cha kufanya Kikwete asijulokane kama yupo na ndiyo kisa cha baadhi kutompenda.

Kujiuzulu kwake kuliendana na uwajibikaji wa kisiasa na kuokoa serikali ya Kikwete isianguke kabisa.

Ni bahati mbaya sana kuwa wasomi, usalama wa Taifa na hata wanasiasa wengi pamoja na Rais wetu Kikwete wanajua hivyo.

Leo mtu aliyewasaidia wamemgeuka na kumuona mbaya hii haiwezi kukubalika.

Hatuwezi kuwa na Taifa la watu waongo na wanafiki na wasiojifunza kusema ukweli kuanzia mdogo hadi mkubwa.

Ni bahati mbaya sana kuwa ukweli kama huu hufanya baadhi yetu ama kwa kutoelewa au kwa makusudi kutuporomoshea matusi.

Namshukuru sana aliyenijibu kuwa mie mjinga just kwa kutoa mawazo yangu.

Wenye akili endeleeni kuutafakari huo ijumbe mtaelewa!!

Kweli utaendelea kuwa mjinga kama unaamini lowasa kaonewa,unawezaje kutisha chama wakuache hivi hivi kana kwamba bila wewe chama hakipo?mijitu iliyozoea kunyoga mkichinjiwa mtaona haramu tu.
 
Kwanini watu wanalazimisha sana Lowassa aingie Chadema badala ya chama kingine chochote?
 
na hapo malengo ya ukawa yatakuwa wazi.... Kama kuna mtu ametukanwa na ukawa ni huyu mh,, na yule wa vijisenti... Kama wanamtakatisha huyu basi mgombea mwenza awe mama tiba,, au wa kwetu

wewe a.c.t toka lini ukaishabikia chama kubwa cdm?
 
Cdm walimuorodhesha kwenye list of shame (mafisadi) Leo awe mgombea wao. Kwa hiyo mgombea wa ukawa awe fisadi

Hayana kumbukumbu maana kwenye list of shame Dk slaa alitoa hoja nyingi juu yake,mbona hajawahi kwenda mahakamani.Leo zee chovu fisadi la ubunge terminal linasema ni ufisadi wa kutungwa.subiri ahame chama wamwache uchi.
 
acha kiherehere wewe. Kama ni kweli mbona umeandika unconfirmed? Au hujui maana yake? Shame upon u

Hiyo Unconfirmed Wameweka Mods Hivyo Lawama Zako Zipeleke Kwao Ila Mimi Bado Nabaki Na Msisitizo Kuwa Lowassa Anahamia Rasmi CHADEMA Muda Wowote Kuanzia Sasa Na Kisha Atapitishwa Na UKAWA Kuwa Mpeperusha Bendera Wao. Siongezi Wala Sipunguzi Na Matusi Yenu au Maneno Yenu Ya Kashfa Kwangu Wala Hayanitishi Na Hayanivunji Moyo Na Napenda Sana Mnavyonitusi au Kunikashifu Halafu Baada Ya Siku Yale Yote Niliyoyasema Yanakuja Kuwa Kweli. Je Kuna Kashfa Nyingine Uliyoibakisha Kwangu? Najimini 100%.
 
wala sioni ubaya lowassa kuhama ccm haya ndio maamuzi magumu. na believe me,wananchi watapokea vizuri suala hili na mtashangaa.
 
Back
Top Bottom