Elections 2015 Lowassa: Viwanda bila elimu ni sawa na kazi bure


Tibaijuka alikuwa Boss UN HABITAT, Migire naibu katibu mkuu UN ! Bolshevick jipange !
 
Last edited by a moderator:
Umewahi kuomba kazi kwenye mashirika ya kimataifa au hata hapa nc b ini ambapo uajiti uko open kwa wayu wote wa dunia? Elimu bora ni muhimu na wala mimi sisemi ya bure bali nasisitizia elimu iliyo bora.
 
Sio sawa na ndio maana kwa kutumia uzoefu wa Wamasai wa Monduli, anadhani kuwa watanzania ni wajinga wa kuhitaji elimu.
 
So, the current plants/factories we do have now, how are we operating them? The dude is a fool and dumb.

Nenda kwenye plants na factories tafuta ni watanzania wangapi wanashikilia nafasi za juu za uongozi au uendeshaji. Baada ya hapo rudi kwenye hii comment yako halafu uone nani ni fool na dumb!
 
Umesema cha maana sana. Wasomi wapo kibao na vyuo vinawatapika kila mwaka, wapo mitaani hawana kazi. Ndo hao wa kwenda kuanza huko viwandani.

Hao 'wasomi' tunaozalisha ni wa aina gani? Wasomi wengi wanaotapikwa na vyuo vyetu nchini ni vilaza wa kutupwa hata hawaajiriki!
 

Hata wewe unahitaji Elimu pia,maana unarukaruka hapo cafteria za UDSM halafu mwisho wa siku unakosa ajira..ELIMU,ELIMU,ELIMU..Jinsi gani utaweza kufaid urukarukaji wako cafteria.
 
Nenda kwenye plants na factories tafuta ni watanzania wangapi wanashikilia nafasi za juu za uongozi au uendeshaji. Baada ya hapo rudi kwenye hii comment yako halafu uone nani ni fool na dumb!
Tataizo ni sera ya ajira na.utashi wa wenye viwanda

Wewe hapo ulipo kwa fani yako huwezi pewa high post ukaitendea haki??!!!
Kwa nini unadhani waliosomea engineering, HRM, accounts, marketing etc hawawezi??!!

We shall need transition period na on job trainings then watu wanashika vitengo, viwanda vinawezekana. . . . .
 
Tibaijuka alikuwa Boss UN HABITAT, Migire naibu katibu mkuu UN ! Bolshevick jipange !

angalia hao uliowataja wana hadhi gani TIBAIJUKA,MIGIRO na si Bandiwe,Bolshevick wala muxar.nadhani lowassa anazungumzia elimu kwa watz wa kawaida sana,na sio vigogo na watoto wao kwa sababu hao wana Tanzania yao na Elimu yao tofauti na hii yetu.Hata hivyo viwandani wengi ni sisi wa kawaida.ELIMU,ELIMU,ELIMU.
 
Last edited by a moderator:

Hujanisoma, elimu yetu inayotolewa vyuo vingi nchini ni duni kiasi kwamba kijana anamaliza chuo ila ukimpa kazi ya taaluma yake hawezi kuifanya.
 
 

Hata tukisoma wote hatuwezi kufanya kazi viwandani, wanaitakiwa kufanya kazi hizo wqpo wengi sana na ni watu wa kawaida sana hao watoto unaowaita wa vigogo wengi hawana lolote katika elimu, mbeleko kibao mwanzo mwisho. . . . .

Wako watu wengi sana wanafanya kazi na makampuni ya nje. . . .Weengi sana tu anzia Toyota, Atlas Copco, Caterpillar na mengine wabongo wapo wenye uwezo huo wa kuendesha viwanda. . . . .constrction industries nenda, Derm electrics na mengine ni wabongo wanavuja jasho huko. . . . .

Watu wamesoma na wana uwezo achana na siasa. . . . .
 
So, the current plants/factories we do have now, how are we operating them? The dude is a fool and dumb.

tatzo la kuongea ukiwa lumumba ni hili...hebu nenda
rhino cement tanga
lake cement-kimbij
rhino cement mkuranga
mtibwa sugar
kagera sugar
ukitoka huko uje uongee tena huu upuuzi wako!!

i think umeishia la 7 b wewe
 
 
Na kama tujuavyo Tanzania ina uhaba wa wanasayansi, ajira zimekua ngumu kwani majority tunasoma masomo ya arts so mzigo unakua mkubwa kwa sekta zisizo za kisayansi. Ni aibu kwa nchi kama Tanzania kutegemea failures kuwa walimu, na hiyo yote ni sababu ya maslahi mabovu katika sekta ya elimu, iwapo maslahi yangekua mazuri hata yule aliyepata div 1 angeenda ualimu kwa kuwa ana passion ya ualimu
 
Monduli ofisi yake mbunge kaijenga kwa more than 800 milions.watoto shuleni wanakaa chini, na wananchi hawana maji. familia yake mambo inaenjoy tuu. halafu eti huyo ndo awe rais haiwezekani, na haitawezekana kamwe hatufai hatufai hatufa mwizi mkubwa na fisadi la kutupwa
 
tatzo la kuongea ukiwa lumumba ni hili...hebu nenda
rhino cement tanga
lake cement-kimbij
rhino cement mkuranga
mtibwa sugar
kagera sugar
ukitoka huko uje uongee tena huu upuuzi wako!!

i think umeishia la 7 b wewe

Ni ubabaishaji wa sera ya ajira tu mkuu, mshaurini mgombea huyu akimaliza kampeni aitishe mkutano na watu waliosomea fani zinazohusiana na viwanda kuanzia technicians mpaka managers halafu mjadala utaanzia hapo. . . . ..

Kama kweli nia ipo. . . . .
 

Mkuu why waste your time respond to this empty trash?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…