Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Watu wanarithisha watoto pesa, magari, elimu, viwanja na nyumba, Kajala kamrithisha mtoto mboo za mjini, hatari sana
Hahaa kajala ana maisha magumu akikosa mwanaume ujue hawali msosi madeni kila corner yet kamridhisha mwanaume hyo biashara ambayo na yeye inamtesa had umri huo hajui kesho wanaishije
 
Wema ana majuto sana moyoni, na huyo anatumikaje bila kulipwa Hawa master wetu ni shida

Wema alibugi enzi za CK wa ikulu ,kile kipindi ndio alitakiwa atoke kimaisha , kwenye garage ya wema alikuwa na ndinga kama nne ,Q7,Harrier Pink,Mark X na Murano ,samani za ndani worth 50m ,endless fame company , receptionist anatumia mac ya milioni 4,amechezea maisha sana
 
Inaweza kuwa the more you sex with different partners the more unabeba ma negative energy, ila hawa maslay queen wengi hukesha kwa waganga ili wapate wanaume wenye kipato sasa hapo ndo huwatia magundu
 
Acha tu sasa ajute unapata hela watumia vibaya mara kumtoa Kajala aliyekuja kumuibia bwanake.

Uwoya naye IPO siku atajuta
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…