Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Sasa ndoa inaponaje na ushahidi wa mtoto kabisa
Hapo sasa, yani jamaa yuko kwa akina Jet Li huko na sidhani kama hata anarudigi ubongo wa fureva huku hata kucheki madogo huenda anatumia zoom tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ama skype maana whatsapp hairuhusiwi kule๐Ÿ˜…
 
Hahahahah uzi unahitaji akili komavu huu na uwe mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea katika jamii!

Ukiwa kilaza utamaliza spana kuomba omba ufungulie code!
 
Dogo kweli mbugila mbugila๐Ÿ˜…! Inaonekana kale ka songi ka โ€œKanyaga Twendeโ€ hakajawahi kupenya kwenye ngoma za masikio yake...Ilitakiwa achape windows 11 aanze kula update za town. Chance za kuokoa familia watu wanazichezea kizembe wakati vifungashio vya MSD vinagawiwa bure!
 
Betina hakuamini Hilo Jambo lilitokea ghafla bin vuu na aliutafta ubunge kwa nguvu zote plus misaada mbona sikuhizi haitoa tena huko jimboni. Mr. Too atamnyoosha njia nyeupe.
Ila Mr. Slow slow enzi za jabali alikuwa untouchable juu ya kila kitu, yeye ni yeye ni alfa na omega hadi kuita V8 vieti sikuhizi kawa mdogo ka piritoni anapinga tu chanjo hajui anajichimbia kaburi lake mwenyewe. Jamani tuheshimu watu sponsa hufariki
 
Ama kweli mjini mambo mengi sana nipo Downtown kitambo katika Jiji la kibiashara lakini sijui memba wenzangu wanazungumzia nini hapa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
 
Mwanaume design ya jabali hafai sasa akukule yuko busy uwe tu una msubiria na hamu zako not fair at all. DC mwenyewe alifungiwa vioo hatari
Hahahaha baada ya kuanza kuvaa sare na yule mchimba chumvi wake pale uhalawe kidongo chekundu nilimsikia alwatani Jabali akimtia spana kwenye kadamnasi kuwa โ€œNilishamwambia aachane na mambo ya wake za watuโ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila Jabali alikuwa Mwamba sana yani. Hapo hapo akadai jamani wananchi hii pisi hamuioni jamani imenyooka namna hii! Akawasakizia wahuni wamtafune DC bigjii
 
Ama kweli mjini mambo mengi sana nipo Downtown kitambo katika Jiji la kibiashara lakini sijui memba wenzangu wanazungumzia nini hapa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
Mzee piga supu na chapati mbili kwanza๐Ÿ˜… humu mambo wanaelewa wandewa
 
Eeh watu waheshimiwe jamani๐Ÿ˜… sponsor hudanjar! Na akifa watu wanapoteana kabisa yani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚! Betina ndoa itakuwa imekata na cheo hana sasa sijui ataelekea wapi!

Jamaa sema naskia aliwatafuna mno yani kwa kupitia mgongo wa Ilani ya chama๐Ÿ˜…
 
Wotazo kwa kile kidemu aiseeeee! Ya skendo zote zile,Mwamba aliziba masikio! Akavuta chuma ndani! Aiseeeee! Suala la Marehemu kahausi na suala la Marehemu yule Mzee kaputeni Yohana Kamba!!
Mwamba ana msimamo sema pia mtoto kipuri chake cha kati kiko vizuri!
 
Na hapo ndoa ilifungwa kijusi kilikua kishatungwa... mi nikashangaa kwa mashauzi yake mbona ndoa imepooza km uji uliotiwa chumvi ya mawe
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ