Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Huu uzu nimeupenda sana! Watu wanatembea na code tu,unashangaa wana wanakusagia kunguni na wewe una comment kwenye Uzi huu huu! Ha ha ha ha!.

Hawa vigogo acheni tu,yule Mzee wa mia tisa ha kenda na yeye yumo kwenye mambo! Kuna kidada kipo Dodoma,pale hadi amekijengea house! Mzee wa kutoa macho kama kapigwa kabari na vibaka wa mwananyamala!
Hahahahah uzi unahitaji akili komavu huu na uwe mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea katika jamii!

Ukiwa kilaza utamaliza spana kuomba omba ufungulie code!
 
Nakubaliana na wewe,Kuna jamaa kwao Ni kigoma,wanaukaribu wa kifamilia na kigogo mmoja hv,jamaa akapata mchongo wa kumuendesha mama,imeenda kumbe mama kamtamani huyo jamaa...
Maza akawa anamletea mapichapicha mshikaji, jamaa alivyombugila kaenda kumsanua mzee kumuambia maza anamletea ndivyo sivyo....

Hv ninavyoongea mchizi karudi kwao kigoma anaendesha fuso

Mzee kampiga biti asikanyage mjini

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Dogo kweli mbugila mbugila😅! Inaonekana kale ka songi ka “Kanyaga Twende” hakajawahi kupenya kwenye ngoma za masikio yake...Ilitakiwa achape windows 11 aanze kula update za town. Chance za kuokoa familia watu wanazichezea kizembe wakati vifungashio vya MSD vinagawiwa bure!
 
Betina atakula moto wa Mr.Too Proud [emoji28][emoji28][emoji28] ni hapo 2025 tu atafute kazi ingine...

Nikikumbuka kiji clip cha mwenezi mstaafu mzee wa V8 tutafundisha watu adabu kipindi hiki...na raha yake hilo lije kwa suprise! Eeh ndio imekuwa hivyo mjomba utafute kazi ingine [emoji28]!!!

Hii clip siifuti kwenye kisemeo changu humu huwa nikichoka naifungua nacheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Betina hakuamini Hilo Jambo lilitokea ghafla bin vuu na aliutafta ubunge kwa nguvu zote plus misaada mbona sikuhizi haitoa tena huko jimboni. Mr. Too atamnyoosha njia nyeupe.
Ila Mr. Slow slow enzi za jabali alikuwa untouchable juu ya kila kitu, yeye ni yeye ni alfa na omega hadi kuita V8 vieti sikuhizi kawa mdogo ka piritoni anapinga tu chanjo hajui anajichimbia kaburi lake mwenyewe. Jamani tuheshimu watu sponsa hufariki
 
Mwanaume design ya jabali hafai sasa akukule yuko busy uwe tu una msubiria na hamu zako not fair at all. DC mwenyewe alifungiwa vioo hatari
Hahahaha baada ya kuanza kuvaa sare na yule mchimba chumvi wake pale uhalawe kidongo chekundu nilimsikia alwatani Jabali akimtia spana kwenye kadamnasi kuwa “Nilishamwambia aachane na mambo ya wake za watu” 😂😂😂 ila Jabali alikuwa Mwamba sana yani. Hapo hapo akadai jamani wananchi hii pisi hamuioni jamani imenyooka namna hii! Akawasakizia wahuni wamtafune DC bigjii
 
Ama kweli mjini mambo mengi sana nipo Downtown kitambo katika Jiji la kibiashara lakini sijui memba wenzangu wanazungumzia nini hapa🤣🤣🤣.
Mzee piga supu na chapati mbili kwanza😅 humu mambo wanaelewa wandewa
 
Betina hakuamini Hilo Jambo lilitokea ghafla bin vuu na aliutafta ubunge kwa nguvu zote plus misaada mbona sikuhizi haitoa tena huko jimboni. Mr. Too atamnyoosha njia nyeupe.
Ila Mr. Slow slow enzi za jabali alikuwa untouchable juu ya kila kitu, yeye ni yeye ni alfa na omega hadi kuita V8 vieti sikuhizi kawa mdogo ka piritoni anapinga tu chanjo hajui anajichimbia kaburi lake mwenyewe. Jamani tuheshimu watu sponsa hufariki
Eeh watu waheshimiwe jamani😅 sponsor hudanjar! Na akifa watu wanapoteana kabisa yani 😂😂😂! Betina ndoa itakuwa imekata na cheo hana sasa sijui ataelekea wapi!

Jamaa sema naskia aliwatafuna mno yani kwa kupitia mgongo wa Ilani ya chama😅
 
Wotazo kwa kile kidemu aiseeeee! Ya skendo zote zile,Mwamba aliziba masikio! Akavuta chuma ndani! Aiseeeee! Suala la Marehemu kahausi na suala la Marehemu yule Mzee kaputeni Yohana Kamba!!
Mwamba ana msimamo sema pia mtoto kipuri chake cha kati kiko vizuri!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom