cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah huu Uzi na hizi code's mi hoiGenStar- Sugar cane - Gamma rays
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah huu Uzi na hizi code's mi hoiGenStar- Sugar cane - Gamma rays
Nishafungua mkuu ni teacher yule wa tangaOmba 16 box ufungue code[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukilia utafanya waja wapate cha kusemaWanazengo wazee wa toolbox ukawilii kupigwa spana kilioni[emoji28][emoji28][emoji23]
Yaani acha tu nilipoanza kusoma nikawa nashangaa tu [emoji849][emoji849][emoji18][emoji18][emoji18][emoji14][emoji14][emoji14] sijui A wala BZinahitajika uwe umefuzu fuzu kwenye umbea [emoji23][emoji23]
Jabali nae alikuwa anawaweka mashine ila pia anapandikiza ma spy 😅😅😅 ukionekana umenyea kambi anakupotezea tu!Sio ukiacha huyo kuna malaika msanii, huyo wife wa ambassador alimuuzi jabali kwa kuchepuka na Waziri mmoja, dada akakatwa na mwenzake akakosa cheo
Hapo sasa, yani jamaa yuko kwa akina Jet Li huko na sidhani kama hata anarudigi ubongo wa fureva huku hata kucheki madogo huenda anatumia zoom tu😂😂😂 ama skype maana whatsapp hairuhusiwi kule😅Sasa ndoa inaponaje na ushahidi wa mtoto kabisa
Hahahahah uzi unahitaji akili komavu huu na uwe mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea katika jamii!Huu uzu nimeupenda sana! Watu wanatembea na code tu,unashangaa wana wanakusagia kunguni na wewe una comment kwenye Uzi huu huu! Ha ha ha ha!.
Hawa vigogo acheni tu,yule Mzee wa mia tisa ha kenda na yeye yumo kwenye mambo! Kuna kidada kipo Dodoma,pale hadi amekijengea house! Mzee wa kutoa macho kama kapigwa kabari na vibaka wa mwananyamala!
Mzee wa Bagawise (Phase 4) ana file lake la matibabu😂 na ndie aliemuweka kwenye ramaniNampongeza Yule msanii wa kibao cha wanawake na maendeleo kwan hajatajwa popote katika huu uzii kabisa mana yake
Ni sehem sahihi pale
Dogo kweli mbugila mbugila😅! Inaonekana kale ka songi ka “Kanyaga Twende” hakajawahi kupenya kwenye ngoma za masikio yake...Ilitakiwa achape windows 11 aanze kula update za town. Chance za kuokoa familia watu wanazichezea kizembe wakati vifungashio vya MSD vinagawiwa bure!Nakubaliana na wewe,Kuna jamaa kwao Ni kigoma,wanaukaribu wa kifamilia na kigogo mmoja hv,jamaa akapata mchongo wa kumuendesha mama,imeenda kumbe mama kamtamani huyo jamaa...
Maza akawa anamletea mapichapicha mshikaji, jamaa alivyombugila kaenda kumsanua mzee kumuambia maza anamletea ndivyo sivyo....
Hv ninavyoongea mchizi karudi kwao kigoma anaendesha fuso
Mzee kampiga biti asikanyage mjini
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Betina hakuamini Hilo Jambo lilitokea ghafla bin vuu na aliutafta ubunge kwa nguvu zote plus misaada mbona sikuhizi haitoa tena huko jimboni. Mr. Too atamnyoosha njia nyeupe.Betina atakula moto wa Mr.Too Proud [emoji28][emoji28][emoji28] ni hapo 2025 tu atafute kazi ingine...
Nikikumbuka kiji clip cha mwenezi mstaafu mzee wa V8 tutafundisha watu adabu kipindi hiki...na raha yake hilo lije kwa suprise! Eeh ndio imekuwa hivyo mjomba utafute kazi ingine [emoji28]!!!
Hii clip siifuti kwenye kisemeo changu humu huwa nikichoka naifungua nacheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo 3 bila wanapigwa makapuku tu😅 ila wenye nyadhifa wanapeta tu yanamalizwa kifamilia😅Yaani hata hakuogapa mvua 30??
Hahahaha baada ya kuanza kuvaa sare na yule mchimba chumvi wake pale uhalawe kidongo chekundu nilimsikia alwatani Jabali akimtia spana kwenye kadamnasi kuwa “Nilishamwambia aachane na mambo ya wake za watu” 😂😂😂 ila Jabali alikuwa Mwamba sana yani. Hapo hapo akadai jamani wananchi hii pisi hamuioni jamani imenyooka namna hii! Akawasakizia wahuni wamtafune DC bigjiiMwanaume design ya jabali hafai sasa akukule yuko busy uwe tu una msubiria na hamu zako not fair at all. DC mwenyewe alifungiwa vioo hatari
Mzee piga supu na chapati mbili kwanza😅 humu mambo wanaelewa wandewaAma kweli mjini mambo mengi sana nipo Downtown kitambo katika Jiji la kibiashara lakini sijui memba wenzangu wanazungumzia nini hapa🤣🤣🤣.
Eeh watu waheshimiwe jamani😅 sponsor hudanjar! Na akifa watu wanapoteana kabisa yani 😂😂😂! Betina ndoa itakuwa imekata na cheo hana sasa sijui ataelekea wapi!Betina hakuamini Hilo Jambo lilitokea ghafla bin vuu na aliutafta ubunge kwa nguvu zote plus misaada mbona sikuhizi haitoa tena huko jimboni. Mr. Too atamnyoosha njia nyeupe.
Ila Mr. Slow slow enzi za jabali alikuwa untouchable juu ya kila kitu, yeye ni yeye ni alfa na omega hadi kuita V8 vieti sikuhizi kawa mdogo ka piritoni anapinga tu chanjo hajui anajichimbia kaburi lake mwenyewe. Jamani tuheshimu watu sponsa hufariki
Mwamba ana msimamo sema pia mtoto kipuri chake cha kati kiko vizuri!Wotazo kwa kile kidemu aiseeeee! Ya skendo zote zile,Mwamba aliziba masikio! Akavuta chuma ndani! Aiseeeee! Suala la Marehemu kahausi na suala la Marehemu yule Mzee kaputeni Yohana Kamba!!
Hahahahahah eti malkia wa Uingereza 😂😂😂Huyo Mr Singeli anawalamba kama wote, anakuja nao mpk kwenye vikao yule Malkia wa uingereza habari yake ishaisha ametulia tu saivi
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Na hapo ndoa ilifungwa kijusi kilikua kishatungwa... mi nikashangaa kwa mashauzi yake mbona ndoa imepooza km uji uliotiwa chumvi ya mawe