Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
AK
Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao.

Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta.

Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost. Handbags, viatu na perfume alinunua YSL, Gucci, na Channel.

Alishazoea kulala five star hotels. Mzee alikua ana credit account yake kila mwezi. Kwakua yuko busy na familia yake walionans kwa nadra sana.

Siku danga liliposema it’s over between us dada alipata mental break down.
AKAKUFA!!!
 
Hivi wanaume walio na hela huwa wanawashwa kulamba wanawake tofauti au huwa kusambaza umeme wa REA?
Hahahahah wana endeleza mradi wa REA sema wanasambazia mjini hapa hapa sio vijijini! Wanagawa vi step down transformer kwa speed ya mshale!

Its easy kukamata hawa mastaa kuliko mademu wa kawaida uswahilini😅
 
Hahahahah huo utoto wa kutongoza tunafanya vijana.Wakubwa wanaweka order tu kupitia mawakala[emoji28] wao wa kuaminika!

Kuwadi akija anaomba account number kwanza anainject mpunga wa kukukata wenge kisha maongezi yanaendelea! Unaambiwa huo ni mwanzo tu, unataka nini katika haya maisha wewe? Hebu twende mzee anakungoja Serena hapo[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yani dhaaaa vijana ndo tunateseka
Na kutongoza tongoza Tu
Unaskia huu....

Alaf hawa mawakala wanakula
Pension mara mbili
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yani dhaaaa vijana ndo tunateseka
Na kutongoza tongoza Tu
Unaskia huu....

Alaf hawa mawakala wanakula
Pension mara mbili
Eeh anakula kwa tajiri, pia anakula kwa mlengwa 😅😅😅 anapewa 10M za kazi ana kabidhi 3M!
Zilizobakia anaishi nazo tu ndio yale unaskia Tivu akee anamiliki Tofali mbweni 😅 wakati kazi ya maana hana!
 
Inatosha mkuu kuna raha yake, siyo unaenda kujifia na kansa huko unateseka mi operation kama yote. Unakula viagra the unakula mbususu kwa raha zako paradisoo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] et Kwa
Raha zako paradiso haa haa
 
Eeh anakula kwa tajiri, pia anakula kwa mlengwa [emoji28][emoji28][emoji28] anapewa 10M za kazi ana kabidhi 3M!
Zilizobakia anaishi nazo tu ndio yale unaskia Tivu akee anamiliki Tofali mbweni [emoji28] wakati kazi ya maana hana!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Ila ukiwa wakala ukose hata kibanda kigamboni
C utakua wazimu
Tivu Ake yeye naona hakucheza
Vibaya alijanjaruka Sana[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Eeeeh hyo n kawaida Bora mzgo upo
Mezan

Hata fixed march si unaona ukiweka
Mzgo mezan wala husumbuan na
Refa yy anaenda kufanya kaz yake tu
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Ila ukiwa wakala
Wa hiz mbusus ukose hata kibanda kigamboni
C utakua wazimu
Tivu Ake yeye naona hakucheza
Vibaya alijanjaruka Sana[emoji1][emoji1][emoji1]
Mapema sana tena akakaa jikoni kabisa kwenye kilinge cha wana Mboga Mboga political party! Yani ingalikuwa JK ameendelea kuwa madarakani mpaka leo angekuwa anamiliki hata VX V8 mbili uwani😅
 
Mapema sana tena akakaa jikoni kabisa kwenye kilinge cha wana Mboga Mboga political party! Yani ingalikuwa JK ameendelea kuwa madarakani mpaka leo angekuwa anamiliki hata VX V8 mbili uwani[emoji28]
Huchoki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilikuwa lazma anyakuliwe tu kwenda kumlaki bwana Yesu mawinguni!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa unajua
Nmechoka kucheka aiseee
Ntazma data mm [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom