Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Una Data za kutosha kwamba Rasilimali za Tanganyika zinatosha kuendesha Nchi bila kuchukua Mikopo ? Budget ya Nchi ni TZS Ngapi na Mapato ya Ndani ni Kiasi Gani ? unadhani kuna mtu atapenda Kuchukua mkopo Kma una hela za ndani kutosha Kuendesha Miradi na bajeti ya nchi yako. Tusijisahulishe kuwa sisi ni moja ya nchi Maskini wa kutupa kutokana na pato la kila mmoja mmoja na wengi weti zaidi ya 60% hatulipi kodi ya aina yoyote tofauti na kodi ya manunuzi ambayo nyingi haifiki serikalini lakini bado tunataka Elimu bure, Tiba nafuu na huduma nyingine zakijamii kwa unafuu. Kiufupi kuendesha taifa maskini na la wajinga kama Tz ni mzigo na yataka Moyo ndio maana viongozi wasiojali wanaona bora wachukue chao mapema.Kagame anazungumzia viongozi kutoka nchi zenye Rasilimali nyingi kama Tanganyika. Muwage mnasoma na kuelewa