Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

Humtendei haki Lucas Mwashambwa, ungemtafsiria si unajua tena elimu yake ni ile ya MEMKWA.
Hata hyo Memkhana
We jamaa kama huwa una maanisha dawa yako utainywa ipo siku
 
Yaani we jamaa ni mweupe sana 😂😂😂
Alafu umemtolea mfano Rais Samia na bado umepuyanga, na huyo PK hujamwelewa na hapa ishu sio kukopa ishu ni Kwanini Wewe una rasirimali unaenda kuzunguka zunguka huko Duniani? Kwanini wasije wenyewe wewe ndiyo unawafuata? Nahisi kuna dili za udalali zinafanyika aisee.
 
Kagame mwenyewe amejaa mikopo mingi kuliko hata Makopo ya maji ya Kilimanjaro yaliyopo mitaaani na majalalani.
 
Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shuleni mpaka wanafunzi wanashangilia kwa kelele za shangwe huku wanabubujikwa na machozi ya furaha.
Utakuwa ulisoma na vilaza tupu,kama kwa pumba hizi wanaweza kukushangilia basi hayo yalikuwa matutusa kabisa.
 
Kagame mwenyewe amejaa mikopo mingi kuliko hata Makopo ya maji ya Kilimanjaro yaliyopo mitaaani na majalalani.
Kwa taarifa yako nchi ya Rwanda hata kwenye top 10 ya nchi zenye madeni haipo na hapa unazungumzia kuhusu kwanini una rasilimali unaenda kuzunguruka huko duniani? Kwann wao wasikufuate? Kuna udalali aisee, halafu ni huku bara tu kule Visiwani kuna bahari tena kubwa sana na kuna mbuga ile ya Jozani Forest yenye manyani (collubus) kwanini haiguswi?
Kiuhalisia Job Ndugai alikuwa sahihi sana na yale matamshi yake.
 
Na sasa huna kazi ya kufanya, mwanaume wa hovyo unasifia sifia tu wanaume wenzako.
Kama una hasira kunywa sumu UFE na kufa kabisa tu ndugu yangu maana huna faida kabisa hapa Nchini. Unamaliza tu hewa safi ambayo ingeweza hata kumpepea ephen akiwa anatembea.kuliko hewa hiyo safi ukivuta wewe usiyejitambua.
 
Kwani ni Listi ipi iliyotolewa inaonyesha kati ya nchi kumi zinazodaiwa madeni makubwa na Tanzania ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…