Lucky Dube ananifanya niipende imani ya Rastafarian, he was a saint..

bonge moja la dude, heart touching track, ukisikiliza rhythm yake saaa ndio daaaa, that was reggae
 
Sio kila mwenye rasta ni muumini wa imani hiyo. Senzo is still alive, mbona hamsikii?
 
Wewe unahisi kwanini dube atakua kamuua senzo?
Kwangu naona ni roho mbaya tu ya mtu mweusi..! Walio wengi wana penda waonekane wao tu ni bora kuliko walio wazunguka! Senzo alikua anakuja vizuri sana.
 
Mbona mna vichwa vizito??
Senzo yupo hai hajafa!

Na Dube sio Tanzania tu, kokote alikoenda alisema; kama urasta ni kuvuta bangi, kuwa mchafu, kuamini kuwa haile Selassie alikuwa Mungu..... Basi mimi sio rasta!

Sijui umeelewa? Tafuta interview za dube you tube anasema hivyo!
 
Rasta na bangi nikitu kimoja marasta wanaamini bangi ni saktamenti. Dube alikuwa anavuta bangi kwa siri akiwaona marasta wakweli wanao vuta anawaponda.. Kumbuka mentor wake alikuw Peter Tosh na Tosh siku zote alitaka bangi ialalishwa dunia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…