Lucky Dube ananifanya niipende imani ya Rastafarian, he was a saint..

Lucky Dube ananifanya niipende imani ya Rastafarian, he was a saint..

Haya mashairi kama bado Kuna MWANAUME akisikiliza hatasaka wanae popote alikowaacha!!
BASI TENA!!

Remember me
Daddy, where ever you are remember me
In what ever you do I love you
Daddy where ever you are remember me
In what ever you do I love you

You left for the city many years ago
Promised to come back
And take care of us
Many years have gone by now
Still no sign of you Daddy
Mother died of a heart attack
Many years ago when she heard
That you were married again
Now, I'm the only one left
In the family

Lucky has what we call, ALIVE MUSIC.
muziki wake hautaweza kufa..
Maneno alichagua kuwasilisha HISIA zake,
yanafanya nyimbo zake kupumua,kula,kutembea,kuuliza,kujibu,kuliza.
AND ALL!!
bonge moja la dude, heart touching track, ukisikiliza rhythm yake saaa ndio daaaa, that was reggae
 
Lucky dube hajawai kuwa Rasta but nimwimbaji mzuri sana wa reggae, tofauti yake alikuwa hakiishi kile anacho kiimba. Dube alipokuja bongo aliwaita marasta wa bongo ni wachafu tena wananuka..! Rasta wa kweli hayupo hivyo. Inawezeka kweli alihusika na kifo cha senzo pengine ndiyo maana bad karma ilimpata.
Sio kila mwenye rasta ni muumini wa imani hiyo. Senzo is still alive, mbona hamsikii?
 
Wewe unahisi kwanini dube atakua kamuua senzo?
Kwangu naona ni roho mbaya tu ya mtu mweusi..! Walio wengi wana penda waonekane wao tu ni bora kuliko walio wazunguka! Senzo alikua anakuja vizuri sana.
 
Lucky dube hajawai kuwa Rasta but nimwimbaji mzuri sana wa reggae, tofauti yake alikuwa hakiishi kile anacho kiimba. Dube alipokuja bongo aliwaita marasta wa bongo ni wachafu tena wananuka..! Rasta wa kweli hayupo hivyo. Inawezeka kweli alihusika na kifo cha senzo pengine ndiyo maana bad karma ilimpata.
Mbona mna vichwa vizito??
Senzo yupo hai hajafa!

Na Dube sio Tanzania tu, kokote alikoenda alisema; kama urasta ni kuvuta bangi, kuwa mchafu, kuamini kuwa haile Selassie alikuwa Mungu..... Basi mimi sio rasta!

Sijui umeelewa? Tafuta interview za dube you tube anasema hivyo!
 
Rasta na bangi nikitu kimoja marasta wanaamini bangi ni saktamenti. Dube alikuwa anavuta bangi kwa siri akiwaona marasta wakweli wanao vuta anawaponda.. Kumbuka mentor wake alikuw Peter Tosh na Tosh siku zote alitaka bangi ialalishwa dunia nzima.
 
Back
Top Bottom