blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Mkuu ipi hiyo?Mkuu hiyo comment umeisoma????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ipi hiyo?Mkuu hiyo comment umeisoma????
Zamani nilikuwa nikidhani Reggae music ni uhuniuhuni kama bongoflaves lakini nilipo jua kiingereza ndipo niliona reggae is the best music
Mkwee malizia salaMkwee wa Da'Vinci
Kama ni ile ya senzo huko utube nimehiona! Huko utube kuna habari za kweli na zauongo pia.Nilikua nimeziunganisha hapo hukuiona?
bonge moja la dude, heart touching track, ukisikiliza rhythm yake saaa ndio daaaa, that was reggaeHaya mashairi kama bado Kuna MWANAUME akisikiliza hatasaka wanae popote alikowaacha!!
BASI TENA!!
Remember me
Daddy, where ever you are remember me
In what ever you do I love you
Daddy where ever you are remember me
In what ever you do I love you
You left for the city many years ago
Promised to come back
And take care of us
Many years have gone by now
Still no sign of you Daddy
Mother died of a heart attack
Many years ago when she heard
That you were married again
Now, I'm the only one left
In the family
Lucky has what we call, ALIVE MUSIC.
muziki wake hautaweza kufa..
Maneno alichagua kuwasilisha HISIA zake,
yanafanya nyimbo zake kupumua,kula,kutembea,kuuliza,kujibu,kuliza.
AND ALL!!
Dube anahusika na kifo cha senzoWewe binafsi umeamini nini?
Machale yangu tu mkuu! Na kwajinsi mfumo wa dunia ulivyo.Kwa ushahidi upi ulionao???
Sio kila mwenye rasta ni muumini wa imani hiyo. Senzo is still alive, mbona hamsikii?Lucky dube hajawai kuwa Rasta but nimwimbaji mzuri sana wa reggae, tofauti yake alikuwa hakiishi kile anacho kiimba. Dube alipokuja bongo aliwaita marasta wa bongo ni wachafu tena wananuka..! Rasta wa kweli hayupo hivyo. Inawezeka kweli alihusika na kifo cha senzo pengine ndiyo maana bad karma ilimpata.
Stori za vijiwe vya wauza ulanzi hiziMachale yangu tu mkuu! Na kwajinsi mfumo wa dunia ulivyo.
Kwangu naona ni roho mbaya tu ya mtu mweusi..! Walio wengi wana penda waonekane wao tu ni bora kuliko walio wazunguka! Senzo alikua anakuja vizuri sana.Wewe unahisi kwanini dube atakua kamuua senzo?
Mbona mna vichwa vizito??Lucky dube hajawai kuwa Rasta but nimwimbaji mzuri sana wa reggae, tofauti yake alikuwa hakiishi kile anacho kiimba. Dube alipokuja bongo aliwaita marasta wa bongo ni wachafu tena wananuka..! Rasta wa kweli hayupo hivyo. Inawezeka kweli alihusika na kifo cha senzo pengine ndiyo maana bad karma ilimpata.
Rasta na bangi nikitu kimoja marasta wanaamini bangi ni saktamenti. Dube alikuwa anavuta bangi kwa siri akiwaona marasta wakweli wanao vuta anawaponda.. Kumbuka mentor wake alikuw Peter Tosh na Tosh siku zote alitaka bangi ialalishwa dunia nzima.Mbona mna vichwa vizito??
Senzo yupo hai hajafa!
Na Dube sio Tanzania tu, kokote alikoenda alisema; kama urasta ni kuvuta bangi, kuwa mchafu, kuamini kuwa haile Selassie alikuwa Mungu..... Basi mimi sio rasta!
Sijui umeelewa? Tafuta interview za dube you tube anasema hivyo!
Sawa mkuu! Weka zako basi tuzione.Stori za vijiwe vya wauza ulanzi hizi