Lucky Dube Mwanamuziki Bora wa muda wote wa Reggae

zitaishi kizazi mpaka kizazi nina album yake ko nikipata mda huwa nakaa nakula zangu ngoma
 
Dube alikuja na style za Peter Tosh na kila kitu, ikitokea leo kuna show ya Dube side A na Bob side B, basi hata huyo Dube ataacha show yake na kwenda kwa Marley, Raggae ni Marley na Marley ni Raggae na kuna king 1 tu.
 
Dube alikuja na style za Peter Tosh na kila kitu, ikitokea leo kuna show ya Dube side A na Bob side B, basi hata huyo Dube ataacha show yake na kwenda kwa Marley, Raggae ni Marley na Marley ni Raggae na kuna king 1 tu.
Exactly [emoji817]
 
Fun fact: Lucky dube hakuwahi kuvuta bangi, sigara wala kunywa pombe maishani mwake...

Kwa jinsi alivokua anaimba kwa hisia, obvious alipitia maisha magumu sana au strugles. Kuna community ya marasta wachache hawavuti bangi, majority wanasema ni sehemu ya dini yao.
 
Hold on
Think about the children
Group areas act
Usizi
 
Dube hakuwa mfalme wa Reggae, ila alikuwa mwanamuziki mzuri sana wa reggae kuliko wote Africa. Hakuwazidi magwiji wa UB40, Gregory Issacs, Robert Marley, Peter Tosh, Jimmy Cliff, Burning Spear na wengineo waanzilishi wa reggae wenyewe. labda useme Raggae ya Luck dube ndiyo uliyowahi kusikia tu, hujawahi kusikia reggae ya wasanii wengine.





 
Mama yake alipata tabu sana kupata mimba ya lucky.
 
Nimeshangaa sana umeshindwa kutambua ni watu gani wameufikisha mziki wa rege hapa ulipo huwezi kuzungumzia rege bila kumtaja Bob marley na ndio anastahili hiyo sifa uliyomvika Lucky Dube
Kwangu mimi navutiwa zaidi na ustadi wa Lucky lakini sipingi uwezo na umahiri wa Robert na mchango wake katika kukuza muziki wa reggae duniani.wote waimbaji wa reggae wana stahili hiyo heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…