Luck dube anaimba reggae roots kama ilivyokuwa kwa bob Marley, Joseph hill ( culture ) Peter Toshi na wangine wengi. Raggae root ni (genre) yaani tanzu ya mziki ambao maudhui yake ni ukombozi wa Africa. Wenyewe huita " gospel of redemption'' mziki huu umeanzia Jamaica lakini umetapakaa sehemu kubwa ya Africa especially south Africa, ivory Coast, Ethiopia na hata Tanzania.
Vibao kama ,together as one, victim, teach the world, gun and rose ni raggae roots. Raggae roots imeanzia Jamaica lakini luck dube alionesha uwezo wa ajabu kwenye hii genre.