Lucky Dube Mwanamuziki Bora wa muda wote wa Reggae

Dube alikuja na style za Peter Tosh na kila kitu, ikitokea leo kuna show ya Dube side A na Bob side B, basi hata huyo Dube ataacha show yake na kwenda kwa Marley, Raggae ni Marley na Marley ni Raggae na kuna king 1 tu.
Sawa
 
Bilashaka wewe ni mchaga.
Maana huyo jamaa alikua msanii wa wachaga.
Ha ha ha , Arusha kila hiace inapiga reggae balaa. Dube alikuwa msanii wa watu wote na rika zote, nyimbo zake zilimvutia kila mtu.
 
Nyongeza [ Usizi, Prisoner, Mirror Mirror,.........n.k]
 
Lucky Philip Dube maarufu kama “Lucky Dube” mzaliwa wa Mpulanga Afrika kusini.

Huyu ni miongoni mwa wanamuziki ninao wahusudu na kuwapa heshima kubwa hapa barani Afrika na duniani kwa ujumla.

Hakika huyu mwamba ali utendea kazi iliyo bora muziki hasa katika muziki wa reggae alio onesha ustadi wa hali ya juu sana katika kuuimba.

Huyu mtaalamu aliimba vibao vingi sana vya kuvutia hadhira vilivyo jaa jumbe nzito kwa dunia.

Hivi hapa miongoni mwa vibao vikubwa sana vya mtaalamu lucky dube vilivyo tikisa na vinavyo endelea kutisa bara zima la Afrika na dunia kwa ujumla miaka nenda miaka rudi :-
i, Slave
ii, I've got you babe
iii, Reggae strong
iv, House of exile
v, Fugitive
Vii, Respect
viii, Think about the children
ix, War and crime
X, Born to suffer
xi, Hold on
xii, Victims
xiii, Crazy world
xiv, Don't cry
xv, Different colors, One people
xvi, Remember me
xvii, The way it is
xviii, Back to my roots
xix, Together as one
xx, It's not easy

Hakika huyu mwamba lucky dube ni mfalme wa muziki wa reggae hapa duniani, alifanya kilicho bora katika muziki wa reggae wakati wa uhai wake.
View attachment 2448797View attachment 2448798

:- Mdau nawe unaweza ongeza vibao vyako vikali unavyo vikubali kutoka kwa huyu mtaalamu wa reggae music karibu.
Alikuwa mwimbaji mzuri, pengine bora kwa Afrika, lakini kwamba ni mwimbaji bora kuliko wote duniani hapana. Labda kama huujui muziki wa reggae.
 
Hapana mkuu kila mtu ana machaguzi yake apendayo wala hakuna baya juu ya kauli yangu ikizingatia ni maoni yangu binafsi kutokana na kukubali kazi za huyu mtaalamu lucky.

Nawe pia una uwanja wa kutoa mtazamo wako kuhusu yupi ni mtaalamu wa reggae wa muda wote kwako.
 
Kumbe ni mapenzi yako tu na sio factual? Hapo sawa.
 
Nimezingatia vingi mpaka nikatoa hitimisho hilo.

Nawe upo huru kutoa hitimisho kwa msanii yoyote yule anaye kuvutia, upo uwanja huru wa kimaoni karibu.
 
Mimi pia maoni yangu naona luck dube ndio mwanamziki bora wa raggae kwa wakati wote, vigezo vilivyozingatiwa, utunzi mzuri ( melody, message, mirindimo) , Sauti nzuri, uwezo wa kushambulia jukwaa, nyimbo nyingi zenye radha tamu
 
Hakika ndugu.
 
No!Bob is King.Lyrical,Content n Presentation.
Uwezo wa luck dubr was beyond our imagination, sikia nyimbo kama Romeo and Juliet, till you lose it, kiss no frog, it is not easy, I wanna know what love is, victim, release me, good things, little hero, lovers in a dangerous time. I pay my humble respect to Bob but luck was monster
 
Kumbe ni mapenzi yako tu na sio factual? Hapo sawa.
Kwenye mziki huwa mara nyingi watu huja na subjective facts hivyo nivigumu kupata singe reality. Kwa mfano kwenye kundi la raggae roots bob Marley anakaa on the top lakini luck dube alituletea radha tamu sana kwenye mziki wa raggae, vibao vyake kama '' back to my roots ' utasikia vionjo vingi Sana, remember me ikipigwa kama imetoka leo, slave na prisoner utasikia utamu wa mziki. Bob Marley uimbaji wake sauti zilikuwa hazibadiliki Sana. Uwezo wa luck dube kuimba live, kucheza, kulia na kuteka jukwaa kama alivyoiteka Johannesburg na kibao cha '' I have got you baby' luck alikuwa ni music genius.
 
Hakika
 
Dube alikuja na style za Peter Tosh na kila kitu, ikitokea leo kuna show ya Dube side A na Bob side B, basi hata huyo Dube ataacha show yake na kwenda kwa Marley, Raggae ni Marley na Marley ni Raggae na kuna king 1 tu.
Huyo Bob Marley ni overrated raggae music Singer ever.

Tena sijaona chochote ktk nyimbo zake zaidi ya "Buffalo soldiers"

Kibaya zaidi enzi zake unakuta bit rate ni poor, poor, pua [emoji57]
 
Your the one!
Hiyo pin achana nayo
Kaa sawa sikiliza the way it is
Ule vitu

Ukitulia sikiliza victim
Utikise kichwa
Ukiona nima sikiliza
Slave feed

Rip dube
Walio kuuwa na wapate raana hata huko waliko
 
Back
Top Bottom