Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh!!Kuna jamaa alisema humu yeye alikua anamla ng’ombe wao,yule ng’ombe akazoea mpk akawa akimuona tu msela ng’ombe anajisogeza mwenyewe karibu na jiwe jamaa alilokua analitumia kupanda ili afikie tamuuu ya ng’ombe ili kazi iendelee.
Natafuta sana hii advertiseHii Ni chai jaba[emoji1787]View attachment 2012234
😂😂😂haswaaaa Tena
green lebel yenye limao na tangawizi!
Anyway mwanaharamu Kabaka Haram kafanya kitu Haram
vyote ni Haram!
(In Black Mmatumbi sheikh from namtumbo Arabian voices)
😂😂😂fumbav weweKwani nguruwe mwenyewe amelalamika?
tatizo lenu huwa mnataka mmbembelezwe sana, muda wa kubembeleza unatoka wapi?. Mambo ni mengi muda mchache.Hapa sijasex since 2015 .sijapata mwanaume yaani.
Matumizi mabaya ya uume
Anyongwe
mjinga weye nilikua Natafuta hii picha afadhari umeweka hapa!Hii Ni chai jaba[emoji1787]View attachment 2012234
Nashauri aozeshwe TU uyo kiti Moto[emoji1787]Akiwa kwenye hali ya furaha sana baada ya kufunga ndoaView attachment 2012231
Kisa nini? ndiyo maana Vijana mnaambiwa oweniMkazi wa kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe.
Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia November 14 2021 ambapo mtuhumiwa huyo alifika katika machinjio ya wanyama hao huku akiwa amelewa na kukuta nguruwe akiwa amefungwa kamba kwa maandalizi ya kuchinjwa ndipo kijana huyo alimvamia na kufanya nae mapenzi.
Amesema wakati akiendelea na tendo hilo mlinzi wa machinjio hiyo alikuwa ametoka kidogo na aliporejea alimkuta kijana huyo akiendelea kufanya kitendo hicho ambapo alimkamata na kumpigia simu balozi na mtendaji wa kijiji ambao walifika katika eneo hilo la tukio.
Amesema kuwa walipomuhoji kijana huyo sababu za kufanya kitendo hicho alidai ni maamuzi yake binafsi hivyo hapaswi kuulizwa ambapo viongozi hao wakamchukua na kumkabidhi mikononi mwa polisi.
“Kitendo alichokifanya huyu kijana mwenzetu ni cha kusikitisha sana! Tunaomba sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho kwa wengine maana kama ameweza kufanya hivi kwa mnyama anaweza kufanya uharibifu hata kwa binadamu”,amesema Kihanga.
Akizungumza kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Njombe Hamiss Issa na mtandao huu amesema ni kweli tukio hilo lipo na kwa sasa Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa tukio hilo na mtuhumiwa amehifadhiwa katika kituo cha Polisi.
©Malunde blog