Ludewa: Kiongozi wa CHADEMA apiga magoti kuishukuru CCM kwa kutekeleza ilani yake. Hii ni baada ya mto Ruhuhu kukamilika

Ludewa: Kiongozi wa CHADEMA apiga magoti kuishukuru CCM kwa kutekeleza ilani yake. Hii ni baada ya mto Ruhuhu kukamilika

Diwani wa kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu. https://t.co/YTBOtzBMNe
View attachment 2143682
View attachment 2143684
Tukiacha serikali mhusika mkuu mwingine wa kujenga madaraja ni nani, ni CCM? Nijuavyo ni lazima serikali itumie pesa za wananchi kujenga madaraja nchini.
 
Nimeikuta hii habari kwenye page ya Dar Mpya, inafikirisha kidogo baada ya kumuona baba mtu mzimanakipiga magoti kwa nia ya kupongeza.

Jamaa wameandika hivi:

“Diwani wa Kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA, Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu.”
FNV6Ci1WQAUeZzi.jpg
 
Duuh, asubiri kesi ya kuunga mkono juhudi..
 
duuu sijui ma-CCM mlimlipa shilingi ngapi apo ili kuwafurahisha na kufanya hayo maigizo mbele ya ma kamera yenu……...
 
Nimeikuta hii habari kwenye page ya Dar Mpya, inafikirisha kidogo baada ya kumuona baba mtu mzimanakipiga magoti kwa nia ya kupongeza.

Jamaa wameandika hivi:

“Diwani wa Kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA, Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu.”
View attachment 2144392
Huyu ni ACT Wazalendo tabia za akina Zitto
 
Back
Top Bottom