UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Afadhali huyo kuliko wafuasi wa mr #dishlimetilt ambao kazi yao ni kupinga kila kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwahi kusikia kelele zangu? Mwandiko huwa unatoa sauti?Acha upuuzi weye!Kwani wewe ni mwanaCdm au mpiga kelele tu.
Kwani wewe ni mwanaCdm au mpiga kelele tu.
Usipende kung'ang'aniza mazoea nami dogo.Muda wa kwenda kugema ulanzi huu.Haya uende!Hujui maandishi huongea? Wewe ni mpiga kelele huna hata kadi.
Tukiacha serikali mhusika mkuu mwingine wa kujenga madaraja ni nani, ni CCM? Nijuavyo ni lazima serikali itumie pesa za wananchi kujenga madaraja nchini.Diwani wa kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu. https://t.co/YTBOtzBMNe
View attachment 2143682
View attachment 2143684
Jamani huyo ni diwani wa kata ya ruhuhu kupitia ACT WAZALENDO wala si chademaCDM hawana diwani wala mbunge
Nakubaliana na weweJamani huyo ni diwani wa kata ya ruhuhu kupitia ACT WAZALENDO wala si chadema
Huyu ni ACT Wazalendo tabia za akina ZittoNimeikuta hii habari kwenye page ya Dar Mpya, inafikirisha kidogo baada ya kumuona baba mtu mzimanakipiga magoti kwa nia ya kupongeza.
Jamaa wameandika hivi:
“Diwani wa Kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA, Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu.”
View attachment 2144392