Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.

Itokee na kwa waislam kupingana, Masheikh wanaotishia amani ya nchi wajitokeze waumini wao watakaowapinga. Hii itaondoa ushenzi wa uchochezi wa kidini unaotishia amani ya nchi, wananchi watakuwa wamoja katika kuamua mustakabali wa nchi yao