ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Nakujua hauwapendi warabu hili ni tatizo lako mwenyewe lakini time ipo una fursa bado ya kubadilika, hata neno hili SWAHILI ni neno la kiarabu maana yake ni PWANI.
Endelea kusoma utajua tu bro.
Wa nijeria wengi huzungumza lugha za kikabila sana tu kuna wasio jua hata kingerezaTakwimu hazipo Sawa.. Nigeria inazungumza English na inapopulation kubwa ila kwenye key ni tofaut
SWAHILI = SAWAHEL = PWANI
badilisha heading. English, French, Arabic sio lugha za afrika1) Kiarabu 200 Million
2) Kiingereza 150 Million
3) Kiswahili 140 Million
4) Kifaransa 115 Milliion
5) Hausa 50 Million
6) Amrik 25 Million
Kwenye kujua asili ya lugha hatuangalii sana msamiati, kwa kuwa msamiati unabadilika sana jinsi lugha inavyokua bali tunaangalia muundo, kiswahili ni kibantu kimuundo, ingawa msamiati wake umeazimwa katika lugha nyingine kama kiarabu, kiajemi, kihindi, kijerumani, kireno na hata kiingereza.
Kuazima msamiati ni sifa kubwa ya lugha yoyote, kwa kuwa hakuna lugha inayojitosheleza. Hivyo kukiita Kiswahili ni kiarabu au lugha chotara kwa kuwa eti imeazima misamiati si sahihi. Kwani ingekuwa hivyo basi lugha kama kijerumani, kidachi, kiingereza hata kiswidi nazo zingekuwa lugha chotara kwa kuwa zimeazimana sana misamiati.
Lugha za kiroma: kilatini, kiitaliano, kifaransa, kihispania na kireno zimeazimana sana misamiati kiasi kwamba wazungumzaji wanaweza kusikilizana hata kama hawaongei lugha moja.
Hivyo, hata kama Kiswahili kina maneno mengi ya kiarabu hatuwezi kukiita kiarabu kwa kuwa hata kiarabu chenyewe kimeazima maneno mengi sana kutoka kihindi, kiajemi na hata kiebrania.
Tujivunie Kiswahili chetu, ni lugha yetu waAfrika.
Nakujua hauwapendi warabu hili ni tatizo lako mwenyewe lakini time ipo una fursa bado ya kubadilika, hata neno hili SWAHILI ni neno la kiarabu maana yake ni PWANI.
Endelea kusoma utajua tu bro.
Mimi nilisema ipo siku Kiswahili itakua lugha ya Africahapo ina maana kwamba ktk lugha za asili kiswahili namba moja. ukiachana na lugha za mkoloni
Acha uongo, unamaanisha nini unaposema majina yote ya namba yametoka kwenye kiarabu?Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.
Kwa mfano majina ya namba yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.
Pia,
Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, wizara, waziri, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu.
Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Hiki ndicho nilichojifunza na kukielewa nikiwa kidato cha tatu... kiswahili ni kibantu kutokana na muundo wa sentensi zake unafanana na kibantu....Kwenye kujua asili ya lugha hatuangalii sana msamiati, kwa kuwa msamiati unabadilika sana jinsi lugha inavyokua bali tunaangalia muundo, kiswahili ni kibantu kimuundo, ingawa msamiati wake umeazimwa katika lugha nyingine kama kiarabu, kiajemi, kihindi, kijerumani, kireno na hata kiingereza.
Kuazima msamiati ni sifa kubwa ya lugha yoyote, kwa kuwa hakuna lugha inayojitosheleza. Hivyo kukiita Kiswahili ni kiarabu au lugha chotara kwa kuwa eti imeazima misamiati si sahihi. Kwani ingekuwa hivyo basi lugha kama kijerumani, kidachi, kiingereza hata kiswidi nazo zingekuwa lugha chotara kwa kuwa zimeazimana sana misamiati.
Lugha za kiroma: kilatini, kiitaliano, kifaransa, kihispania na kireno zimeazimana sana misamiati kiasi kwamba wazungumzaji wanaweza kusikilizana hata kama hawaongei lugha moja.
Hivyo, hata kama Kiswahili kina maneno mengi ya kiarabu hatuwezi kukiita kiarabu kwa kuwa hata kiarabu chenyewe kimeazima maneno mengi sana kutoka kihindi, kiajemi na hata kiebrania.
Tujivunie Kiswahili chetu, ni lugha yetu waAfrika.
Napinga mawazo ya mahamoodUmekanusha au unakubaliana Mkuu?
Punguza uongo mkuu iv unaposema asilimia 60 almost lugha yote ya kiswahili ni kiarabu....ukwel ni kua theluthi moja ya maneno ya kiswahili ndio yanatokana na lugha ya kiarabu tofaut na hapo acha kutudanganya....Mkuu Makanjam, hakuna aliesema kiswahili ni kiarabu, ila tunasema kwenye Kiswahili kuna maneno mengi sana ya Kiarabu.
So what?Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.
Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.
Pia,
Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).
Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Kiarabu asili yake ni Uarabuni.Kumbe haujui kwamba kuna inchi za Kiarabu hapa Africa au haujasoma Jiografia bro?
wasomali ile lugha Yao inaitwaje Maana kama kikurya vile Kwan Kuna R R kibaoThe 6 most spoken language in Africa
View attachment 331818
1) Kiarabu 200 Million
2) Kiingereza 150 Million
3) Kiswahili 140 Million
4) Kifaransa 115 Milliion
5) Hausa 50 Million
6) Amrik 25 Milion
mm kuitwa Salehe haimanishi kua mimi kua mwarabu nitabaki kua mtanzaniaKumbe haujui kwamba hata neno hili SWAHILI ni neno la kiarabu maana yake ni PWANI.