kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Kiharabu ndio lugha gani tena?Mimi siongei kiharabu naongea kiswahili mkuu....
Nyie wakurya lahja mbovu mpk kwenye vidole?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiharabu ndio lugha gani tena?Mimi siongei kiharabu naongea kiswahili mkuu....
1.kosa la kawaida ilo tu basi ni kiarabuKiharabu ndio lugha gani tena?
Nyie wakurya lahja mbovu mpk kwenye vidole?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
1) Unaona mwenyewe umekiri (umesema) mwarabu wa tz hawezi kua na lugha nyingine tofauti na Kiswahili.Mwarabu huwez kua na lugha nyingne tofaut na kiswahil...ila ambae wazaz wake wana asili ya nchi hii ni lazima aanze kua mwanachama ww bantu ndo aje aseme kiswahil lugha yake...tuna kabila zaidi ya 120 zinazounda kiswahil...full Stop
Hebu tuandikie hapa paragraph moja ya lugha ya Kibantu yenye maneno ya Kiswahili.1.kosa la kawaida ilo tu basi ni kiarabu
2wakurya pia ni wabantu, kikurya ni moja ya lugha hiundayo kiswahili japokua mimi sio mkurya, kwaio kwangu mimi sina shindwa kuitwa mkurya
Kimbandu.....fafanuaHebu tuandikie paragraph moja ya lugha ya Kimbandu yenye maneno ya Kiswahili.
Acha kukurupuka usikimbilie hoja hoja...kimbandu ndo nini fafanuaHahaha, huna hoja (au haujui maana ya paragraph).
Ebu fafanua hii kitu labda hatujaelewana...nini maana ya 'kimbadu'Usikimbie, Hebu tuandikie hapa paragraph moja ya lugha ya Kimbandu yenye maneno ya Kiswahili.
Mimi naenda mbele wewe unarudi nyumba nipe maan ya Kimbandu...au huelewi umeandika niniJibu swali langu kwanza, nakuona unajibu swali kwa swali.
Hebu tuandikie hapa paragraph moja ya lugha ya Kimbandu yenye maneno ya Kiswahili.
Kijana hoja Huna.Ebu fafanua hii kitu labda hatujaelewana...nini maana ya 'kimbadu'
[emoji1] [emoji1] [emoji1] pole pole mkuu...mimi ukinita jina lolote lililo kwenye bible sina shida...nimesema situmii kiarabu natumia kiswahili mbona unanilazimisha kutumia kiarabuKijana hoja Huna.
Nimeshakwambia Wewe na Mswahili yyt hana budi Kutumia maneno ya kiarabu mpk Kufa.
Halafu nyie wakolosai watu wa ajabu sana.
Roho zenu zilivyo korosho kwa waislamu mnaamua KUUKATAA hata Ukweli kuwa Kiswahili Ni lugha iliotokana na KIARABU tu kwa sababu UISLAMU umehusishwa na Lugha hio!!
Yaani ingekuwa Kiswahili kimetokana na Kiingereza (wakoloni waliouleta Ugalatia hapo Africa) wewe ungepiga vigelegele hapa mpk kukuche.
Ajeeb nyie viumbe.
Duh....!
Yaani Sura zenu na roho zenu zinafanana kabisa.
Hahaha, kisha eti anadai Kiswahili ni lugha yake (na hali yeye mwenyewe kakiri hapo juu his mother tongue is not Swahili).Kiharabu ndio lugha gani tena?
Nyie wakurya lahja mbovu mpk kwenye vidole?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
C wanaigery wote ndo wanazungumza kihausa nenda shuleTakwimu hazipo Sawa.. Nigeria inazungumza English na inapopulation kubwa ila kwenye key ni tofaut
1.kosa la kawaida ilo tu basi ni kiarabu
2wakurya pia ni wabantu, kikurya ni moja ya lugha hiundayo kiswahili japokua mimi sio mkurya, kwaio kwangu mimi sina shindwa kuitwa mkurya
Ok kuna makabila na lugha...hivi vitu ni tofauti inawezekana humeshindwa kuelewa...kiswahil ni lugha imetokana na kabila za kibantu...kua muelewa mwarabu wewe...Hahaha, kisha eti anadai Kiswahili ni lugha yake (na hali yeye mwenyewe kakiri hapo juu his mother tongue is not Swahili).
Pia yeye mwenyewe kakiri (kasema) kwamba mwarabu wa tz hawezi kua na lugha nyingine tofauti na Kiswahili.
Ukweli wote anaujua sijui anabisha nini? Maneno yake yanajipinga yenyewe kama kitabu chake kitakatifu.