Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Kiharabu ndio lugha gani tena?
Nyie wakurya lahja mbovu mpk kwenye vidole?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
1.kosa la kawaida ilo tu basi ni kiarabu
2wakurya pia ni wabantu, kikurya ni moja ya lugha hiundayo kiswahili japokua mimi sio mkurya, kwaio kwangu mimi sina shindwa kuitwa mkurya
 
Mwarabu huwez kua na lugha nyingne tofaut na kiswahil...ila ambae wazaz wake wana asili ya nchi hii ni lazima aanze kua mwanachama ww bantu ndo aje aseme kiswahil lugha yake...tuna kabila zaidi ya 120 zinazounda kiswahil...full Stop
1) Unaona mwenyewe umekiri (umesema) mwarabu wa tz hawezi kua na lugha nyingine tofauti na Kiswahili.

2) Pia mwenyewe umekiri kwamba Kiswahili sio lugha yako (it is not your mother tongue).

Sasa unabisha nini?

Sema kweli hata kama ni chungu.
 
1.kosa la kawaida ilo tu basi ni kiarabu
2wakurya pia ni wabantu, kikurya ni moja ya lugha hiundayo kiswahili japokua mimi sio mkurya, kwaio kwangu mimi sina shindwa kuitwa mkurya
Hebu tuandikie hapa paragraph moja ya lugha ya Kibantu yenye maneno ya Kiswahili.
 
Kwa mujibu wa kipindi cha E-TV ile ya SOUTH AFRICA, kwenye je wajua wanakiri kwa bara la AFRICA, lugha ya Kiarabu ndiyo yenye wazungumzaji wengi zaidi kuliko yoyote BARANI AFRIKA
 
Ebu fafanua hii kitu labda hatujaelewana...nini maana ya 'kimbadu'
Jibu swali langu kwanza, nakuona unajibu swali kwa swali.

Hebu tuandikie hapa paragraph moja ya lugha ya Kibantu yenye maneno ya Kiswahili.
 
Jibu swali langu kwanza, nakuona unajibu swali kwa swali.

Hebu tuandikie hapa paragraph moja ya lugha ya Kimbandu yenye maneno ya Kiswahili.
Mimi naenda mbele wewe unarudi nyumba nipe maan ya Kimbandu...au huelewi umeandika nini
 
Ebu fafanua hii kitu labda hatujaelewana...nini maana ya 'kimbadu'
Kijana hoja Huna.
Nimeshakwambia Wewe na Mswahili yyt hana budi Kutumia maneno ya kiarabu mpk Kufa.

Halafu nyie wakolosai watu wa ajabu sana.
Roho zenu zilivyo korosho kwa waislamu mnaamua KUUKATAA hata Ukweli kuwa Kiswahili Ni lugha iliotokana na KIARABU tu kwa sababu UISLAMU umehusishwa na Lugha hio!!

Yaani ingekuwa Kiswahili kimetokana na Kiingereza (wakoloni waliouleta Ugalatia hapo Africa) wewe ungepiga vigelegele hapa mpk kukuche.

Ajeeb nyie viumbe.
Duh....!
Yaani Sura zenu na roho zenu zinafanana kabisa.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] pole pole mkuu...mimi ukinita jina lolote lililo kwenye bible sina shida...nimesema situmii kiarabu natumia kiswahili mbona unanilazimisha kutumia kiarabu
 
Kiharabu ndio lugha gani tena?
Nyie wakurya lahja mbovu mpk kwenye vidole?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha, kisha eti anadai Kiswahili ni lugha yake (na hali yeye mwenyewe kakiri hapo juu his mother tongue is not Swahili).

Pia yeye mwenyewe kakiri (kasema) kwamba mwarabu wa tz hawezi kua na lugha nyingine tofauti na Kiswahili.

Ukweli wote anaujua sijui anabisha nini? Maneno yake yanajipinga yenyewe kama kitabu chake kitakatifu.
 
1.kosa la kawaida ilo tu basi ni kiarabu
2wakurya pia ni wabantu, kikurya ni moja ya lugha hiundayo kiswahili japokua mimi sio mkurya, kwaio kwangu mimi sina shindwa kuitwa mkurya

Mkuu kiswahili kinakupa shida sana wewe.
Hebu tazama Utumbo ulioandika hapo juu.
We ndio maana Unakichukia kiarabu manake km kiswahili kinakupa Shida Hicho Kiarabu cha asili Utakipenda kweli?
Tazama makosa yako hapa.:-

ilo- HILO..
hiundayo -IUNDAYO..
kwaio -KWA HIO..
sina shindwa -SIONI SHIDA..

Yaani umeandika Mistari minne na Makosa manne?

Hii hatari sana kwa lugha yetu ya Taifa.
 
Hahaha, kisha eti anadai Kiswahili ni lugha yake (na hali yeye mwenyewe kakiri hapo juu his mother tongue is not Swahili).

Pia yeye mwenyewe kakiri (kasema) kwamba mwarabu wa tz hawezi kua na lugha nyingine tofauti na Kiswahili.

Ukweli wote anaujua sijui anabisha nini? Maneno yake yanajipinga yenyewe kama kitabu chake kitakatifu.
Ok kuna makabila na lugha...hivi vitu ni tofauti inawezekana humeshindwa kuelewa...kiswahil ni lugha imetokana na kabila za kibantu...kua muelewa mwarabu wewe...

Niliposema mtz asili yake ni kibantu maan ni kua kibantu ndo kimeunda kiswahili...mkuu ebu nambie umesoma somo la kiswahili mpka kidato cha ngapi....maana kuna kidato ukifika tunasoma chanzo cha kiswahili maendeleo yake na maneno yaliokopwa kutoka lugha jirani
 
Back
Top Bottom