Mbona mnateseka sana?
JPM aliwagaragaza akiwa hai, na atawagaragaza akiwa ma....!
JPM hajawahi kumgaragaza yoyote kisiasa maana hakuwa na uwezo wala mvuto wa kisiasa. Sana sana alikuwa na kiburi cha madaraka.
Ulitaka nini kifanyike cha maana labda ili uone hiyo 2025 kuna kilichofanyika, maana kama ni ushindani wa kisiasa kwa sasa ccm haiuwezi. Ama unataka wapinzani waingie msituni kuja kupambana na vyombo vya dola? Maana ccm kama chama hakipo tena, zaidi ni nguvu za dola ndio zinafanya siasa kwa niaba ya ccm.
mwendazake amefariki lissu ana mpango wa kurudi nyumbani au adui yake bado yupo[emoji23][emoji23][emoji23].Huo ndio ubovu mlionao wivu tu kama wanawake waliolewa kwa mtu mmoja,mmehatarisha maisha ya Tundu Lissu kwa huu ujinga wa kusifia wengine na kubeza wengine kisa nguvu ya hela na madaraka pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama,sheria za haki na upendo hamzitaki kabisa kwa sababu mna maslahi kwenye siasa chafu
Watz wana akili mkuu,
Ni kama walivyompuuza yule mbelgiji aliposema waandamane ili kutetea ugali wake!
.
Wakajisemea huyu mbelgiji katoka wapi tena? Yani watu tuache shughuli zetu za kujiingizia kipto badala yake tuingie barabarani kumpigania yeye na amsterdam waende ikulu? Si upumbavu huu?
Akaondoka kajiinamia kichwa chini.
Ni ujinga kudhani CCM chama dola hakitajinufaisha na vyombo vya dola.kabla ya maandamano hao viongozi wote walikamatwa, na vyombo vya dola vilivyotumika kupora kura ndio vilikuwa vimejiandaa kufanya mauaji. Mbona wanaccm hamkujitokeza kupambana na hao waliotaka kuandamana, na vyombo vya dola vitazame kama watu wasingeandamana?
Unataka kuniambia wananchi walikataa kuandamana kumpambania Lissu sababu wana hela na madaraka makubwa sana?Huo ndio ubovu mlionao wivu tu kama wanawake waliolewa kwa mtu mmoja,mmehatarisha maisha ya Tundu Lissu kwa huu ujinga wa kusifia wengine na kubeza wengine kisa nguvu ya hela na madaraka pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama,sheria za haki na upendo hamzitaki kabisa kwa sababu mna maslahi kwenye siasa chafu
sasa mnapambana na ccm huku mkijua inatumia dola!!!!
mnahadaa wananchi kwamba mtashinda?kwanini mnawaambia uongo??
Hajwahi kumagaragaza yeyote? Ndio mnavyojidanganya hivyo?JPM hajawahi kumgaragaza yoyote kisiasa maana hakuwa na uwezo wala mvuto wa kisiasa. Sana sana alikuwa na kiburi cha madaraka.
Ulitaka nini kifanyike cha maana labda ili uone hiyo 2025 kuna kilichofanyika, maana kama ni ushindani wa kisiasa kwa sasa ccm haiuwezi. Ama unataka wapinzani waingie msituni kuja kupambana na vyombo vya dola? Maana ccm kama chama hakipo tena, zaidi ni nguvu za dola ndio zinafanya siasa kwa niaba ya ccm.
Nyinyi ni matapeli.Sisi tunapambana na ccm, tunashangaa vyombo vya dola vinatokea wapi.
Tunawadanganya wananchi wakati wananchi wanajua uhalisia kuwa ccm huwa hawashindi, zaidi ya kushurutisha kutangazwa washindi?
Wazee wa legacy uchwara.Wako hoi !
Sasa kama mnategemea kunufaika na mbeleko ya vyombo vya dola, ubora ama kukubalika kwenu mnakupimaje? Ccm ni sawa na mtoto wa mwalimu Mkuu anayejifanya ana akili kwa kuongoza darasani, kisa mzazi wake anampa majibu ya mtihani.ni ujinga kudhani ccm chama dola hakitajinufaisha na vyombo vya dola.
hata kwenda na ccm vitani bila kutambua hilo ni upumbavu.
sijui unalia makusudi hapa,ama hufahamu hilo!!!!
Baada ya kukamatwa sasa si ndio ilikuwa starting point ya nyie wafuasi kuandamana? Hivi mlitaka Lissu aongee lugha gani ili muelewe kama anataka muende barabarani?kabla ya maandamano hao viongozi wote walikamatwa, na vyombo vya dola vilivyotumika kupora kura ndio vilikuwa vimejiandaa kufanya mauaji. Mbona wanaccm hamkujitokeza kupambana na hao waliotaka kuandamana, na vyombo vya dola vitazame kama watu wasingeandamana?
Mitano tenaMuda unaenda kasi sana ! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa .
Eti Tunampambania , anatupambania ! Too low ! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa barabarani huyo anakupambania nini ? hivi mtakuwa watu duni hadi lini wanafiki nyie ! bora mmetoweka wenyewe , mlikuwa mnatia aibu sana !
View attachment 1783006View attachment 1783012
nyinyi ni matapeli.
kwani huwa hamjui kama ccm inatumia dola,au huwa mnakuja kugundua baadae!!!!
Nyie mnapimaje kukubalika kwenu!!Sasa kama mnategemea kunufaika na mbeleko ya vyombo vya dola, ubora ama kukubalika kwenu mnakupimaje? Ccm ni sawa na mtoto wa mwalimu Mkuu anayejifanya ana akili kwa kuongoza darasani, kisa mzazi wake anampa majibu ya mtihani.
Unapambana na CCM ipi?Sisi tunapambana na ccm, tunashangaa vyombo vya dola vinatokea wapi.
Tunawadanganya wananchi wakati wananchi wanajua uhalisia kuwa ccm huwa hawashindi, zaidi ya kushurutisha kutangazwa washindi?
Siku ukija kujua CCM ni zaidi ya chama cha siasa utaenda kulima tu.Ndio hiyo tunawalambisha mchanga mpaka siku vyombo vya dola vitaamua vikae pembeni tuwashikishe ukuta vizuri.
Samia mi 10 tena ili awakomeshe mataga
Haahaahaahhaa MATAGA OyeeeeeSamia mi 10 tena ili awakomeshe mataga