Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi


Kila jambo lina wakati wake, hayo ya maandamano iko siku yatakuja tu, cha muhimu hiyo mbegu ya kuandamana imeshatangazwa. Uzuri sisi waandamanaji tunaongea na Mungu na tukamuomba ampeleke ibilisi motoni. Lissu atarudi kwa muda wake, na Urais akitaka atagombea kimpango wake.
 
nyie mnapimaje kukubalika kwenu!!

maana kama ni watu kwenye mikutano wanajaa hata ccm pia,achana na zile story za kusomba na maroli.

Wanaoenda upinzani wanaenda kwa ridhaa yao, wengi wa wanaoenda kwenye mikutano ya CCM ni kwa shuruti na hadaa. Hao kubebwa kwenye malori tunaona kwa macho yetu.
 
Wanaoenda upinzani wanaenda kwa ridhaa yao, wengi wa wanaoenda kwenye mikutano ya ccm ni kwa shuruti na hadaa. Hao kubebwa kwenye malori tunaona kwa macho yetu.
[emoji23][emoji23]huu ujinga siku moja utaudharau.
 
😆😆😆 Maisha yanabadilika haraka sana !
 
siku ukija kujua ccm ni zaidi ya chama cha siasa utaenda kulima tu.

mbowe ni ccm pia.

Ndio maana nasema kila siku, CCM sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilochovaa koti la chama cha siasa. Acha Mbowe kuwa CCM, hata mke wake akiwa CCM is none of our business.
 
Ndio maana nasema kila siku, ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilochovaa koti la chama cha siasa. Acha Mbowe kuwa ccm, hata mke wake akiwa Ccm is none of our business.
Non of your business wakati ndio mwenye chama[emoji23][emoji23][emoji23]

wewe!!!!
 
non of your business wakati ndio mwenye chama[emoji23][emoji23][emoji23]

wewe!!!!

Ni kweli ndio mwenye chama, lakini sio ndio wenye ushawishi. Bila sisi hicho chama chake kitakuwa kama cha Lyatonga au Cheyo.
 
Ni kweli ndio mwenye chama, lakini sio ndio wenye ushawishi. Bila sisi hicho chama chake kitakuwa kama cha Lyatonga au Cheyo.
Nyinyi ndio wenye ushawishi, mmeshindwa hata kumchallenge aachie uenyekiti!!!! Mna ushawishi wa kitu gani hapo??
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti kuongea na Mungu,

Hivi kilichofanya msishiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la kule kigoma ni kitu gani wakati mlishaongea na mungu wenu akampeleka huyo ibilisi wenu motoni?
 
Wanaoenda upinzani wanaenda kwa ridhaa yao, wengi wa wanaoenda kwenye mikutano ya ccm ni kwa shuruti na hadaa. Hao kubebwa kwenye malori tunaona kwa macho yetu.
Hata Lisu alipokuwa kwa amsterdam ubelgji alikuwa na nawazo kama haya, alipofika field akaishia kusingizia kwamba anataka kutekwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Msemo wa kuishi Kama mashetani umewarudi, chezea mungu, leo kelele zao kwisha, kila wakitazama upepo haupo upande wao, muda ni MWALIMU mzuri Sana mkuu
 
Ni kweli ndio mwenye chama, lakini sio ndio wenye ushawishi. Bila sisi hicho chama chake kitakuwa kama cha Lyatonga au Cheyo.
Ninyi kina nani?

Ninyi ni vidagaa tu pale! Anachoamua yeye na genge lake hamna wa kupinga, kama unabisha niambie ulipopinga ujio wa Nyarandu na kupewa vyeo nani alikusikiliza? Ulipopinga ujio wa Lowasa nani alikusikiliza?

Bwashee usifikiri kila mtu ni mtoto humu.
 
Hata Lisu alipokuwa kwa amsterdam ubelgji alikuwa na nawazo kama haya, alipofika field akaishia kusingizia kwamba anataka kutekwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mataga wote wamekimbia umebaki wewe tu , hongera !
 
Msemo wa kuishi Kama mashetani umewarudi,chezea mungu,leo kelele zao kwisha,kila wakitazama upepo haupo upande wao, mda ni MWALIM mzuri Sana mkuu
Kina nani sasa hao? Hebu wataje angalau wawili tuone jinsi wanavyoteseka
 
Hatarii Sana, tulionya kitambo Sana, Kitendo cha shujaa kuimaliza kazi yake ya hapa duniani na kwenda huko Kwa njia ambayo kila mmoja ataipitia, hili jukwaa tusipoangalia litakosa hoja za maana kipindi kirefu Sana,

Kipindi chake, kila alilokuwa akilisema lilionekana ni kama geni masikioni mwa wengi hasa wapinzani wake, na ndio Maana kulikuwa kunazaliwa mijadara kibao, na Kwa sasa kumebakia mijadara ya kijinga tu kama Uzi huu, si ni upumbavu tu wala hakuna hoja yoyote

Kilichobaki Kwa wandishi wengi ni zile dhihaka zisizosaidia chochote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…