Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Tuliwaonya kwamba hakujawahi kuwepo eneo lolote duniani ambalo SHETANI AMEWAHI KUMSHINDA MUNGU, lakini mkabisha, sasa moto umewawakia, Mamluki nyie!
 
Zilikuwa lugha rasmi za yule propesa almaarufu kutokea jalalani.
 
Japo mkuu wangu nakueshim ila wenda hu mmoja wao ,ndo ivyo kunywa maji mengi kila siku kusaidia moyo usipanuke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa kipi sasa?

Ccm tuko madarakani kupitia rais wetu Mama Samia,

Na mifumo ya kuwagaragaza chadema ni ileile,

Niambie sasa natakiwa kunywa maji kwa lipi?
 
Wasamehe mkuu,

Hawa akili huwa zinawarudi kila oktoba ya mwaka wa uchaguzi.

Kwa sasa wako kipindi cha mpito
 
Tuliwaonya kwamba Hakujawahi kuwepo eneo lolote duniani ambalo SHETANI AMEWAHI KUMSHINDA MUNGU , lakini mkabisha , sasa moto umewawakia ,Mamluki nyie !
Narudia tena, huna hoja Kwa sasa, zaidi Sana hoja zenu ni zile dhihaka zisizo badirisha chochote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa kipi sasa?

Ccm tuko madarakani kupitia rais wetu Mama Samia,

Na mifumo ya kuwagaragaza chadema ni ileile,

Niambie sasa natakiwa kunywa maji kwa lipi?
Fulsa za kuabudu,kusifu, kuumiza chadema ili mpate teuzi hakuna,zimeenda na MWENDAZAKE ,aliopo ni ccm ni kitu kimoja na MWENDAZAKE ila Sio sawasawa na MWENDAZAKE mwafaa,mkuu
 
Wasamehe mkuu,

Hawa akili huwa zinawarudi kila oktoba ya mwaka wa uchaguzi.

Kwa sasa wako kipindi cha mpito
😀😀 Mpaka maji mtaita mma, maana mama anawachoma I/m benzathine pale pale anawapa morphine kuwapunguzia maumivu
 
Fulsa za kuabudu,kusifu, kuumiza chadema ili mpate teuzi hakuna,zimeenda na MWENDAZAKE ,aliopo ni ccm ni kitu kimoja na MWENDAZAKE ila Sio sawasawa na MWENDAZAKE mwafaa,mkuu
Kwani sasa hivi wanaccm wamekatazwa kusifu? Je chadema sasa haiumii? Je, wana ccm sasa hawateuliwi?

Niambie sasa twafaa kwa sababu ipi ikiwa hayo hapo juu bado yanaendelea?

Au wewe unafikiri ukiandika kipropaganda namna hii ndio Rais wetu Samia atawafukuza ccm wote na kuwaita chadema?

Kwanza niambie kilichofanya msishiriki uchaguzi mdogo kule kigoma ni kipi wakati huyo mbaya wenu kafa?
 
[emoji3][emoji3] Mpaka maji mtaita mma, maana mama anawachoma I/m benzathine pale pale anawapa morphine kuwapunguzia maumivu
Mama ametuchomaje sasa? Hivi unaweza kuchoma au kukata tawi ulilolikalia?
 
Mkuu Yani unavyolalamika nimecheka sana,
Kwa Sasa uchaguzi kwetu sio kipaumbele kwetu ,yapo Mambo ya msingi Sana kwa Sasa kulikochaguzi ,tutashiriki chaguzi mda mhafaka na kwa wakati muhafaka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…