The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Tatizo sio Kugombea Bali kupita,atanyooshwa na Polisi na TRA Hadi anyooke sawa sawa hata wale aliowachomea nyavu watamkaanga sawa sawa.2025 mpina anagombea ubunge kupitia cdm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sio Kugombea Bali kupita,atanyooshwa na Polisi na TRA Hadi anyooke sawa sawa hata wale aliowachomea nyavu watamkaanga sawa sawa.2025 mpina anagombea ubunge kupitia cdm
Nilikuuliza hivi, nitajie majina 100 tu ya ma Professor nchini ikiwa wasukuma hawatakuwa robo na kuzidiRudini kuchunga mbuzi 😁😁😁😁😁
Ndio itasaidia Mpina kurudi Bungeni 2025?Nilikuuliza hivi, nitajie majina 100 tu ya ma Professor nchini ikiwa wasukuma hawatakuwa robo na kuzidi
Ni kama mtu yule yule aliesema Lowasa fisadi ndio huyo huyo akaja na kusema Lowasa safii, tumpeleke ikulu.Issues zinatoka kwa watu sio miti!!! Hivi shetani akikwambia kitu utamuamini kisa tu ni "issues"?
Credibility Ina matter kwenye siasa haiwezekani mtu yule yule aliyesupport JPM kukopa Ili tujenge miradi eti ndio huyo huyo anatoa povu Samia akikopa!!
Mnafiki tu huyu hana credibility yoyote tena
Wewe chawa tu, endelea kutetea ugaliNdio itasaidia Mpina kurudi Bungeni 2025?
😁😁😁 Maumivu Maumivu 😂😂Wewe chawa tu, endelea kutetea ugali
Atarudi kama wewe ulivyotembezewa na Magufuli na ikarudi na wizi wako kwa kasi mpyaNdo hivyo keshamtembezea Moto Mpina 😂😂.
Hayo mengine unajifariji tuu.
Bwashee utashitakiwa kwa kuchochea mauaji 🤣🤣Uaneni.
Hahahaha alafu yule mliyemuita mpinga ufisadi pamoja na Polepole wakaenda mpokea Lowassa pale Lumumba!!Ni kama mtu yule yule aliesema Lowasa fisadi ndio huyo huyo akaja na kusema Lowasa safii, tumpeleke ikulu.
Alafu anataka tumuamini.
Ni takataka kabisa
Hahahaha, haishangazi, 2025 Makonda anaweza kuwa mgombea wenu wa Urais, hamjawahi kuwa na mipango pre and post termsYapo Mengi mkuu atapewa....Tutavuka daraja tutakapolifikia.
Hawakukatwa sababu ya kutoka CCM, walikatwa sababu walikuwa ni masamaki makubwa yaliyogoma kufanya NDIYO MZEE, yakataka kupambana na mwenyekiti wa MILELE wa chama,WAZIRI MKUU MSTAAFU huwezi kumpelekesha unavyotaka wewe kama unavyompelekesha MNYIKA!!!!!Hahahaha alafu yule mliyemuita mpinga ufisadi pamoja na Polepole wakaenda mpokea Lowassa pale Lumumba!!
Wapinzani waligundua kosa ndio maana mamluki wote wa CCM kuanzia nyalandu, mwambie, sumaye, walikatwa kwenye chaguzi
Awamu ya 5 ilituletea viongozi na uongozi bora sana na ikatuletea wanafiki pia , Mfano wa viongozi bora ni D.Biteko, Mabeyo, Majaliwa Kasimu! Wa hovyo/wanafiki ndiyo hawa akina Luhaga, Kaijage, Makonda na wenzao ambao walipewa vyeo sababu ya ukanda, uzuri washatolewa kwenye network, kwa sasa wanasubiriwa wahamie chama kileeKwa ujumla, hata siku moja usimwamini mnafiki kwa jambo lolote.
Huyu Mpina, aliyewatia umaskini wavuvi na wafanyabiashara wa samaki, na kuwapiga faini kubwa wenye mabasi eti kwa vile tu ndani ya mabasi yao kulipatikana abiria waliokuwa wamebeba samaki wa mboga, leo eti ana huruma na wananchi! Siwezi kuamini.
Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka, 'kiongozi akitamka kuwa anachukia rushwa, umtazame na usoni anapoyaongea hayo. Anakuambia, mimi nachukia sana rushwa, unamtazama usoni, unasema, huyu! Huyu anachukia rushwa, hapana'.
Mpina huyu, aliyefikia mpaka kuwapima samaki waliopo kwenye sahani kwa rula, aliyewafuata wavuvi wenye makokoro ambao walikuwa wameyaondoa makokoro yao toka ziwani, yapo majumbani mwao, lakini bado akawapiga faini ya zaidi ya sh 200m, leo eti anawatetea Watanzania.
Tujiulize, ikitokea kuna jambazi sugu mtaani kwenu, na mnamjua maana amekwishawaumiza wengi hapo mtaani, halafu siku moja huyo jambazi akawa anapita kila nyumba kuwaambia majambazi ni watu wabaya, tuchukue hatua dhidi yao, mtamwamini?,
Hili jicho mnalowatazamia wengine, mkitazamwa nalo nyie mnaona mnaonewa, unataka kusema kuna kundi la malaika kwenye siasa zetu ambalo halijawahi kukosea linalostahili kuwa linasema lenyewe tu kila siku, acheni huu ushabiki wa kilevi.Issues zinatoka kwa watu sio miti!!! Hivi shetani akikwambia kitu utamuamini kisa tu ni "issues"?
Credibility Ina matter kwenye siasa haiwezekani mtu yule yule aliyesupport JPM kukopa Ili tujenge miradi eti ndio huyo huyo anatoa povu Samia akikopa!!
Mnafiki tu huyu hana credibility yoyote tena
Naona hamjifunzi tu waTanzania Kila siku mnageuzwa kama chapati kesho Tena mnaanza kulia.Hili jicho mnalowatazamia wengine, mkitazamwa nalo nyie mnaona mnaonewa, unataka kusema kuna kundi la malaika kwenye siasa zetu ambalo halijawahi kukosea linalostahili kuwa linasema lenyewe tu kila siku, acheni huu ushabiki wa kilevi.
Hoja lazima ijibiwe kwa hoja, sio kuleta story za miti.
Huyu Mpina hana lolote ndio wale wale.