Luhaga Mpina aenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

Luhaga Mpina aenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

Issues zinatoka kwa watu sio miti!!! Hivi shetani akikwambia kitu utamuamini kisa tu ni "issues"?

Credibility Ina matter kwenye siasa haiwezekani mtu yule yule aliyesupport JPM kukopa Ili tujenge miradi eti ndio huyo huyo anatoa povu Samia akikopa!!

Mnafiki tu huyu hana credibility yoyote tena
Ni kama mtu yule yule aliesema Lowasa fisadi ndio huyo huyo akaja na kusema Lowasa safii, tumpeleke ikulu.

Alafu anataka tumuamini.

Ni takataka kabisa
 
Ccm kumeja mashetani watupu,hata huyo Mpina naye ni shetani tu...Mpina enzi za Magoo fool alikuwa ni kiranja Mkuu sasa mambo yamebadilika anapaswa kutulia kwa kuwa shetani hana undugu wa kudumu na kiumbe chochote!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha alafu yule mliyemuita mpinga ufisadi pamoja na Polepole wakaenda mpokea Lowassa pale Lumumba!!

Wapinzani waligundua kosa ndio maana mamluki wote wa CCM kuanzia nyalandu, mwambie, sumaye, walikatwa kwenye chaguzi
 
Hawakukatwa sababu ya kutoka CCM, walikatwa sababu walikuwa ni masamaki makubwa yaliyogoma kufanya NDIYO MZEE, yakataka kupambana na mwenyekiti wa MILELE wa chama,WAZIRI MKUU MSTAAFU huwezi kumpelekesha unavyotaka wewe kama unavyompelekesha MNYIKA!!!!!
 
Kwa ujumla, hata siku moja usimwamini mnafiki kwa jambo lolote.

Huyu Mpina, aliyewatia umaskini wavuvi na wafanyabiashara wa samaki, na kuwapiga faini kubwa wenye mabasi eti kwa vile tu ndani ya mabasi yao kulipatikana abiria waliokuwa wamebeba samaki wa mboga, leo eti ana huruma na wananchi! Siwezi kuamini.

Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka, 'kiongozi akitamka kuwa anachukia rushwa, umtazame na usoni anapoyaongea hayo. Anakuambia, mimi nachukia sana rushwa, unamtazama usoni, unasema, huyu! Huyu anachukia rushwa, hapana'.

Mpina huyu, aliyefikia mpaka kuwapima samaki waliopo kwenye sahani kwa rula, aliyewafuata wavuvi wenye makokoro ambao walikuwa wameyaondoa makokoro yao toka ziwani, yapo majumbani mwao, lakini bado akawapiga faini ya zaidi ya sh 200m, leo eti anawatetea Watanzania.

Tujiulize, ikitokea kuna jambazi sugu mtaani kwenu, na mnamjua maana amekwishawaumiza wengi hapo mtaani, halafu siku moja huyo jambazi akawa anapita kila nyumba kuwaambia majambazi ni watu wabaya, tuchukue hatua dhidi yao, mtamwamini?,
Awamu ya 5 ilituletea viongozi na uongozi bora sana na ikatuletea wanafiki pia , Mfano wa viongozi bora ni D.Biteko, Mabeyo, Majaliwa Kasimu! Wa hovyo/wanafiki ndiyo hawa akina Luhaga, Kaijage, Makonda na wenzao ambao walipewa vyeo sababu ya ukanda, uzuri washatolewa kwenye network, kwa sasa wanasubiriwa wahamie chama kilee
 
Issues zinatoka kwa watu sio miti!!! Hivi shetani akikwambia kitu utamuamini kisa tu ni "issues"?

Credibility Ina matter kwenye siasa haiwezekani mtu yule yule aliyesupport JPM kukopa Ili tujenge miradi eti ndio huyo huyo anatoa povu Samia akikopa!!

Mnafiki tu huyu hana credibility yoyote tena
Hili jicho mnalowatazamia wengine, mkitazamwa nalo nyie mnaona mnaonewa, unataka kusema kuna kundi la malaika kwenye siasa zetu ambalo halijawahi kukosea linalostahili kuwa linasema lenyewe tu kila siku, acheni huu ushabiki wa kilevi.

Hoja lazima ijibiwe kwa hoja, sio kuleta story za miti.
 
Naona hamjifunzi tu waTanzania Kila siku mnageuzwa kama chapati kesho Tena mnaanza kulia.
Mtu alikua bungeni tokea 2020 hakusema tudai trillion 360, hakuongelea deni LA taifa, hakupinga matumizi nje ya bajeti.

Ila eti mbunge huyo huyo baada ya kuona JPM kafa ndio anaanza ndio anagundua hatukulipwa trillion 360!! Ndio eti anagundua mikopo haifai..... Huuuh unafiki wa CCM tumeuchoka, kama wewe unataka kuendelea kuchezewa akili then uko peke Yako lakini majority hatutaki huu ujing Tena.

Akipewa uwaziri nitakutag hapa jinsi atakavyokana hizi kauli zake maybe ndio macho Yako yatafunguka uelewe nachosema
 
Back
Top Bottom