Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Wivu unamsumbua na ukabila tu. Kila siku makamba makamba wakati was shetani wao walisumbua sana
 
Watu wanataka umeme, kama hakuna umeme utashambuliwa tu hii siyo nchi ya mama yako
Wewe MATAGA tulia! Muache Mama na wasaidizi wake waupige mwingi. Muda wa mapambio na kutishana tishana haupo tena. Na kama huridhiki, basi hamia kwa ndugu zako Wahutu wa Burundi.

Nchi sasa iko mikononi mwa watoto wa mjini. Nyinyi Washamba na malimbukeni, rudini Kijijini mkalime na kuchunga ng'ombe. Na baada ya mavuno, pelekeni mazao yenu mjini mkawauzie wenye nchi, ili wale na kusaza.
 
Hoja za Mpina zina mantiki
Ila wajinga kama nyinyi ndio mnataka kutibua mjadala..
KIla kitu lazima ukihusishe na marehemu Magufuli!
Ndo ujue kuwa hawa watu hawana mantiki yeyote ile zaidi ya kujawa na ujinga tu!

Mradi wa Stiglers ucheleweshaji ulianza tangu wakati wa Kalemani! Kila siku ikawa sound tu alafu leo lawama anapewa makamba

Bei ya mafuta duniani kote imepanda saaa kwa nini lawama apewe Makamba?
 
Kwa hiyo aliyesema sababu ni Vita ya Ukraine ndo ana hoja konki?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe ndo mjanja? Huyo Mpina anakuzidi kila kitu na ukoo wako wote. Ujanja sio kuvuka rami ni kutafuta fursa na kuiona ndo maana wengi wenye mafanikio mjini ni watu wa kuja.
 
pilipili kichaa mtu wa ajabu sana. Unatumia fake name, bado unaandika kwa mafumbo taarifa yako. Huna sababu ya kuwa JF
 
Watoto wengi wa viongozi wameandaliwa kuwa watawala ndio maana wanashindwa katika mengi.
 
Makamba kawekwa hapo ili aharibikiwe Mtoto mwingine apande

Wana mtandao ni kama genge la Mafia wanashirikiana sana kumtokomeza adui lakin wakishashangilia ushindi wanamtafuta miongoni mwao wanampa kijiti cha uadui nae anaanza kupigwa vita…mwisho wa vita moja ni mwanzo wa vita nyingine

Lowassa, Mzee Sitta, Rostam, Mzee Ulimwengu na Shamsi Vuai Nahodha have something to comment
 
Hawajui kulinda goli

Refa aliwabeba akawapa goli wakaanza kumzodoa Refa na Benchi la Ufundi wakawaachia wacheze fair play matokeo yake wakajifunga
Wasukuma ndio wengi nchi hii na ndio wapiga kura wengi au nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuuuu?[emoji16][emoji16][emoji16]
 
This is fallacy!
Hakuna kitu kama icho!

Luhaga Mpina na Joseph Msukuma ajenda zao zinajulikana!

Utakuwa mgeni wa siasa za Tanzania kama hulijui hili
 
Ukabila kwa lipi? Kwa hiyo unataka watu wote wawe wapiga mapambio?
Wasukuma ni wabinafsi na wakabila sana. Hii miaka sita miradi na pesa yote ilipelekwa Kanda ya ziwa. Pumbafu sana, wanahangaika Bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…