Madam, You better shut up if you cant grasp a point. Ukweli siku zote huwaga ni Mchungu, lakini huwezi kukwepa kuusikia hata kama haukupendezi, and this is the truth on its own, CDM is dead for good.Upupu
Baambie hawa jamaa zako, siasa za jaziba na mihemko ndo zimeua Chama chao. Haitatokea tena kuwa kama ilivyokuwa and the game is over.Nyie wengine mnazani kutukana na kutunushiana misuli na ccm ndio siasa, kumbe huko ndiko kuliko iua chadema na wengine kuishia magerezani, siasa za upinzani Tanzania zinahitaji akili sio jazba na mihemko. Chedema iko kaburini sasa na haiwezi kufufuka tena, Tundu Lisu ananyea debe sasa hiyo ndio faida yakufanya siasa bila akili.
Wao wanamuona eti ni adui, to me Commander Mbowe is a Hero and is among the best Matured Politicians in Tanzania, siyo kama yule mpiga kelele aliyeua Chama kwa mihemuko yake. Watamkumbuka Kamanda .Mbona mbowe mnamuona adui kisa tetesi za huhamia chauma
I am not a CHADEMA Member and I will not be , at least for now , but I used to support and admire the struggles of that CHADEMA which was under Mbowe, whose approaches and engagements were well balanced , unlike the current one.If there is no chadema and you're not a chadema member, why all this whining!
Tatizo lao hawashauriki na huu uongozi wao wa sasa ni hasara Tupu, Wamekatisha tamaa watz wengiCHADEMA inasikitisha sana, yaani inapotea katika ramani za siasa TZ na hakuna wa kuiponya. Yaani akili zote zile za wanachadema zimeishia hapa. NO ELECTION NO REFORM ndio shimo la CHADEMA.
Chama chetu kikubwa cha upingaji kilipokodishwa kwa Lowassa (rip) ili agombelee urais mbona hamkusema kitu? Au yeye alikuja miaka mingi kabla?!Yaan mtu si mwenzenu kwa miaka nenda rudi anakuja leo Kesho anakuwa bora kuliko nyote 😆
Stay the course.but I used to support and admire the struggles of that CHADEMA which was under Mbowe
Msikate tamaa, wanashaurika. Sioni njia nyingine yeyote zaidi ya mazungumzo, kuketi pamoja. Mbaya ni kufikiri matatizo yote yatatuliwe haraka haraka leo hii, na mbaya zaidi ajenda nyingi hujikita katika kuitoa CCM tu (madaraka). Si wananchi.Tatizo lao hawashauriki na huu uongozi wao wa sasa ni hasara Tupu, Wamekatisha tamaa watz wengi